kujifunza

  1. youngkato

    UNATAKA KUJIFUNZA VIDEO EDITING KAMA PRO LAKINI HUNA PESA YA KULIPIA KOZI? NINA HABARI NZURI KWAKO! 🔥

    Fikiria kuwa na uwezo wa kutengeneza video zinazovutia, zenye transitions nzuri, effects za kuvutia, maandishi yanayosogea na audio iliyopangwa kitaalamu, ukitumia simu yako tu! Unajua kitu kizuri zaidi? UNAWEZA KUJIFUNZA CAPCUT BURE! Watu wengi wanatamani kuwa Content Creators, Video Editors...
  2. R

    ANC yakubali matokeo ya kura ya serikali za mitaa. CCM ina cha kujifunza?

    98% Samia kwa mauaji 31% Ramaphosa bila mauaji
  3. Dronephonex

    Kijana aliyemrekodi mwanafunzi wakiwa faragha anaitwa Kelvin. Polisi wamdaka na kutoa maelezo haya…

    Kijana aliyemrekodi mwanafunzi wakiwa faragha anaitwa Kelvin,polisi wamdaka nakutoa maelezo haya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetangaza kumkamata kijana aitwaye Kelvin Daniel, mwenye umri wa miaka 26, kwa tuhuma za kumrekodi mwanafunzi wakiwa faragha na kusambaza picha...
  4. Ghost MVP

    Ifahamu "TRAUMA BONDING" 😰

    Je nani naaweza Elezea vizuri juu ya swala hili?
  5. M

    Je mtu unaweza kujifunza kuendesha pikipiki Kama hujawahi jifunza baiskeli?

    Wakuu Nina miaka 34 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk. Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel? Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel? Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
  6. Ngurukia

    WASANII WA KIBONGO WANAOTUMIKA KISIASA WANA LA KUJIFUNZA KUTOKA KWA 50CENT

  7. Mlinzi Shujaa_

    Kama unahitaji kujifunza mbinu za kujihami za ngao - self defense

    Tmbelea katika mitandao yetu ya kijamii, ikiwemo fFacebookYou tube
  8. Kyenju

    Pamoja na mapungufu yake, hapa kuna kitu cha kujifunza

    Sikiliza hii hotuba ya Rais wa Uganda Yoeli Kaguta Miseveni, bila kujali mapungufu na madhaifu yake na makosa yake ya kisasa na kiuongozi. Kuna kitu gani kingine umeking'amuhttps://youtu.be/585IMBb14Kg?si=ZnO8wzvvxewNUGP-a?
  9. Kyenju

    Pamoja na mapungufu yake, hapa kuna cha kujifunza.

    Sikiliza hii hotuba ya Rais wa Uganda Yoeli Kaguta Miseveni, bila kujali mapungufu na madhaifu yake na makosa yake ya kisasa na kiuongozi. Kuna kitu gani kingine umeking'amua? https://www.jamiiforums.com/attachments/3535461/
  10. M

    Sheria ya kuishi na ndugu niliyowahi kujifunza kwa uchungu, Usijihusishe na taabu zao ambazo hazikusumbui,

    Family Rule: dont bother the trouble if the trouble isnt bothering you Kuna kipindi niliwahi kuitwa kutoa ushauri wa tabia mbovu ya mtoto wa kaka ya kutofanya baadhi ya majukumu alipokuwa kwa bimkubwa Basi mimi nikajitia fronti nikaanza kumkanya huyo mtoto, nilimcharaza maneno kisawa sawa hadi...
  11. Nuel27

    Niko tayari kujifunza mambo ya sheria - Ulega

    Kwani hii nchi tumerogwa na nani wakuu? Hivi unaweza kusomea udobi halafu ukaajairiwa kama Daktari? Kwamba wabunge wote hakuna hata mmoja mwenye ujuzi na sheria apewe wizara? Haya bwana Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega amesema yuko tayari kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu wizara...
  12. Jannatul Firdaus

    Tanzania kujifunza Qatar kuondoa msongamano wa magari

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameipongeza Serikali ya Qatar kwa mafanikio makubwa ya matumizi ya teknolojia ya kisasa na nishati safi katika mifumo ya usafiri wa umma. Dkt. Nchemba ametoa pongezi hizo leo, Jumamosi, Septemba 26, 2026, jijini Doha, Qatar...
  13. Carlos The Jackal

    Mwaipopo ni Muislam mwenye Misimamo Mkali, Mjinga asiyekua na akili , Mwenye Chuki na Ukristo , aliyeshindwa kujifunza Somo kupitia SHEIKH MAJINI .

    Uislam ni Dini iloanzishwa na Ukatoliki !!. TUNAJUA , Mpumbavu alipata MADARAKA, Jambo la kwanza ni kúanzisha vita na wenye Akili ili kuwadhoofisha. Hatua nyingine ,Huwa ni Kuwaita Wapumbavu wenzie na kuwaleta karibu. Mambo hayo mawili , huleta Anguko la TAASISI/NCHI. Endeleeni kumtuma...
  14. Wizara ya Ardhi

    Wananchi wahimizwa kujifunza kutumia mfumo wa e-ARDHI

    SINGIDA Wataalamu wa sekta ya ardhi Mkoa wa Singida wakiambatana na wale wa kutoka Makao makuu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wametoa elimu kuhusu matumizi ya mfumo wa e-Ardhi na kuhimiza wananchi kujifunza na kutumia mfumo huo kwa usahihi. Elimu hiyo imetolewa leo...
  15. N

    Fursa adimu kwa vijana ya kujifunza AI, kukuza ujuzi wa kiteknolojia jiunge na team yetu leo

    Tunatafuta vijana wenye bidii, ubunifu na shauku ya kujifunza na kufanya kazi katika teknolojia ili kujiunga na timu yetu ya AI na Social Media. Tunatafuta watu wenye uwezo katika: Marketing Social Media Specialist Content Management Moderation (Mods) Graphic Design Tunathamini mtu anayejua...
  16. BICTEM

    Nahitaji kujifunza ufundi ujenzi

    Kama title isemavyo, nahitaji kupata fundi kujenga anifundishe kujenga, nitafanya kazi kama saidia huku akinipa ujuzi, mkoa wowote ule nitafika. Nawasilisha.
  17. Z

    Kuporomoka kwa ndugu Nchimbi kutoka cheo cha uMakamu hadi kutokuwa mwanachama kuna mafunzo mengi ya kujifunza

    Poromoro la kisiasa la ndugu nchimbi kutoka umakamu hadi kuwa raia wa kawaida asiye na chama kuna mambo mengi ya kujifunza kwa viongozi waliobaki: 1. Cheo ni dhamana au ni sawa na koti la kuazima hivyo tusiinue mabega juu. 2. Hakuna mkubwa kuliko chama. 2. Tuwe na nidhamu na maadili kwa...
  18. M

    Kuku ana mbawa ila hajui kuwa kazi yake ni kuruka na hataki kujifunza kuruka, karidhika 😊 kataa kuwa kuku ✍️

    Msemo huo una ukweli mchungu sana kuhusu maisha! Kuku ana kila vigezo vya kuruka na kufika mbali—ana mabawa, ana manyoya, na ana mwili unaoweza kuinuka—lakini amechagua kubaki chini akitafuna makombo kwa sababu tu alikuta wenzake wakifanya hivyo, na amezoea mazingira hayo. KATAA KUWA KUKU...
  19. Ndagullachrles

    DIwani Haruna Mushi apongeza serikali kutoa vifaa vya kujifunza kwa vitendo elimu ya watu wazima Kata ya miembeni

    Moshi Manispaa- 18/8/2026 Moshi, Kilimanjaro — Diwani wa Kata ya Miembeni katika Manispaa ya Moshi, Mhe. Haruna Mushi, amepongeza juhudi za Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia katika shule mbalimbali, hatua inayochochea...
  20. Mlimani health center

    Kuna somo kubwa nimejifunza

    Miaka michache iliyopita kulikuwa na dada mmoja ambaye nilikuwa namfahamu kwa mbali. Alikuwa mfanyabiashara. Kwenye mitandao ya kijamii alikuwa anaonekana kuishi maisha ambayo wengi walikuwa wanayatamani. Mara vacation, hoteli za kifahari, simu za gharama, shopping za kila mara. Ukiangalia...
Back
Top Bottom