kujenga nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. instinct desire

    Lissu wa CHADEMA amekaa Miaka 10 Bungeni ameshindwa kujenga nyumba kijijini, tukisema mshahara wa mbunge hautoshi muwe mnaelewa tuache kupotosha umma

    Mbunge anahudumia eneo kubwa na Kila eneo analopita wanamuona anahela wanataka achangie shughuli za maendeleo za eneo husika na ni kweli huwa wanachangia na wanatoa rambirambi laki Moja kwenye Kila msiba unaotokea jimboni. Kwahili nawapongeza sana wabunge. Ingawa wabunge wa chadema hawajawahi...
  2. BIOTOXINS

    Maisha ni safari, si mashindano hongereni wanaume mliofikia hatua ya kujenga nyumba zenu, sisi bado tunapambana

    Wanaume mlijenga nyumba na kufika hatua ya kufika nyumbani, geti linafunguliwa, hongereni sana. Kwa kweli mmepiga hatua kubwa katika maisha. Si jambo dogo kufikia mafanikio hayo, kwani nyuma ya kila nyumba kuna juhudi, kujinyima, uvumilivu, mipango na mapambano mengi ambayo huenda hakuna...
  3. Kaunara

    Unataka kujenga nyumba ya ndoto zako kwa gharama nafuu?

    FUNDI UJENZI WA NYUMBA – MBEYA MJINI NA MIKOA YOTE YA TANZANIA 🇹🇿 Habari ndugu zangu! Mimi ni fundi wa ujenzi wa nyumba, napatikana Mbeya mjini. Ninatoa huduma za ujenzi wa nyumba kuanzia MSINGI HADI FINISHING, kwa bei nafuu na makubaliano mazuri kulingana na mahitaji na uwezo wako. 🏠 HUDUMA...
  4. Binti wa zamani

    Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    #FACT-CHECKING Usidanganyike, mambo kwa ground yapo tofauti sana. Kwa ushahidi, tupitie ni yapi ya kweli na yapi si kweli kuhusu kifo cha Jane Maloo Urassa ⚰️ aliyeuawa na Laurence Kweka, mwanaume aliyekosa akili, busara na utashi wa kibinadamu. Jane na Bw. Kweka waliishi kwenye ndoa kwa...
  5. M

    Je, ni lini Serikali imeanza project ya kujenga nyumba za ibada?

    Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:- "Mimi naheshimu sana mawazo ya Sheikh Shafii lakini naomba asiingilie serikali kwenye masuala ya ujenzi wa...
  6. OMKEIT 93

    Je, kujenga nyumba ya makazi bila kibali ni kosa? Kwanini watu wengi hufanya hivyo bila kusumbuliwa?

    Wakuu, Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kwa muda na naamini kuna watu humu wanaweza kuwa na uzoefu au uelewa mzuri wa sheria za ujenzi Tanzania. Je, mtu anayejenga nyumba yake ya makazi kwenye kiwanja chake anatakiwa kuwa na kibali cha ujenzi kabla ya kuanza kujenga? Kwa sababu ukienda mikoani...
  7. Dennis Robert Shughuru

    Tanzania watu binafsi wasirusiwe kujenga nyumba bali makampuni ya real estate

    Najua wengi mtapinga ila ukweli ni kwamba kama nchi tunataka miji yetu iwe mizuri swala la kujenga nyumba wapewe makampuni ya real estate Nchi zote zilizofanikiwa kwenye mipango miji za ulaya, north america, east asia (china, japan na korea kusini na singapore) na australia huamki tu na kuanza...
  8. instinct desire

    Maboss wetu makazini, watunga sera na wadau wengine, mna nafasi kubwa ya kutuokoa sisi watumishi tusisitafie kwenye nyumba za serikali

    Mimi leo ndo napata majibu ya kwanini zamani tulikuwa tunaona watu wana-staff hawana nyumba Wala kiwanja licha ya kuwa walikuwa na vyeo vikubwa sana serikalin/private sectors. Baadhi ya Sababu za mtu kushindwa kujenga kipindi cha utumishi ni: • kuwa na boss asiyeamini kwenye uwekezaji wa...
  9. Lagertha

    Kwa kipato cha Tsh. 200,000/- kwa mwezi naweza kujenga nyumba?

    Salaam waungwana, Mimi ni mwanamke mwenye mtoto mmoja kiu yangu kubwa ni kupata kijumba changu kidogo tustirike na mwanangu, naombeni mnitie moyo je kwa shilingi laki mbili kwa mwezi naweza kujenga chumba, sebule, jiko dogo na choo? kiwanja kipo tayari maeneo ya Mkuranga, hili jambo...
  10. D

    Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Wakuu habari, ninaishi kwenye upangaji kwa sasa hivyo naendelea kupambana na adha za baba mwenye nyumba lakini kwa bahati nzuri nimeweza kununua kiwanja na sasa najipanga na ujenzi lakini wakati huo mawazo ni mengi kichwani mwangu nikiwaza kujenga nyumba ya ndoto yangu ambayo itanichukua muda...
  11. U

    PPPTZ: TBA Yatangaza Fursa za Uwekezaji wa Ubia (PPP) katika Viwanja vya Serikali Nchini, Mnaotaka kujenga nyumba za biashara changamkeni

    Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umetangaza rasmi fursa za uwekezaji kupitia mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), kwa kualika wawekezaji wenye uwezo, uzoefu na sifa stahiki kuwasilisha Expression of Interest (EOI) kwa ajili ya kuendeleza viwanja mbalimbali vya Serikali...
  12. Room 28

    Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  13. Room 28

    Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  14. Room 28

    Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  15. Room 28

    Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  16. D

    Inawezekana kujenga nyumba ya vyuma kwa kipato Cha 800k?!!

    Habarini wadau. Kutokana na udogo wa kipato na changamoto ya kutopatikana kwa miti ya maana ya kupaulia, napata wazo kichwani la kujenga na kupaua kwa kutumia vyuma. Sijajua gharama yake ila hiyo ndo ndoto niliyonayo......nahisi hilo litakuwa nafuu huko mbele (kwa maana nitatulia muda mrefu...
  17. M

    Nina Milioni hamsini, naweza kujenga nyumba Dar?

    Wakuu hbr za majukumu, Nina milioni 50, nataka ninunue kiwanja milionin 15, afu milion 30, nijenge nyumba vyumba vitatu, Vipi wadau ntatoboa kweli?
  18. Traxtion

    Siku hizi Watanzania wanajitahidi kujenga nyumba standard

    Kiukweli licha ya kuwa kuna makazi mengi duni Tanzania lakini sikuhizi watu wanajenga nyumba standard na nyumba nzuri Kwenye miji yetu yenye mazingira ya uswazi utagundua kuwa uswazi huo ulijengwa miaka mingi iliyopita, ila ukisikia kuna mtaa wowote mpya unajengwa, basi lazima utakuta nyumba...
  19. The dumb Professor

    Kwa mil. 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Dar?

    Wakuu, Kwa mil 20 naweza kujenga iyo nyumba nikisimamia mwenyewe?
  20. Mwanamwana

    Polepole: Wanatakatisha pesa kwa kununua magari ya kifahari na kujenga nyumba Masaki

Back
Top Bottom