kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi

    Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi
  2. JamiiForums Tanzania Unamjua Wu Zunyou, Mchina aliyejaza upepo kwenye puto kwa kutumia macho?

    Bwana Zunyou alizaliwa huko nchini china mwaka 1963 na baadae alihudumu kama Mtaalamu wa Magonjwa katika kituo cha China cha Magongwa na tiba. Zunyou alihumu kama mkufunzi wa maswala ya magongwa na utafiti katika chuo kikuu cha California, Los Angeles. Mwaka 2011 Zunyou aliwaacha mashabiki...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima D naleta malalamiko kuhusu SHK.Zaid Makubuli na mada za ukabila kuhusu wanawake

    Nimejaribu kufichua ila lijafanyiwa kazi na serikali inatakiwa kuchukua sheria kali kwa watu kama hawa wakina shk zid makubuli kuhusu na chuki za kupandikiza haswa makabila. Dkt. Gwajima D nafahamu TCRA na wizara yako mnaweza kuwashugulikia wote walishiriki kutoa kipindi hiki online kuhusu...
  4. JamiiForums Tanzania Watu wengi watajiuliza kuhusu Iran ajali iliyotokea ila ni wajuze kuhusu Helikopta

    Mimi nashangaa sana tena hapa kwetu kila kukicha wanaojitokeza kwa kusema wanavipaji vya kutengeneza helikopta. Helikopta sio maputo wala utani kama wanvofikiria watu wengi na usalama wake ni mdogo sana sababu balance yake inategemea uwezo wa panga zake ikishindikana basi. Idadi ya mafundi...
  5. JamiiForums Tanzania Wimbo huu ulisababisha gumzo 'Tata' kuhusu Imani za Dini ya Kikristu na Kiislamu

    Kuna wakati Rais Mobutu Seseseko alianzisha sera ya "African Authentication" iliyokuwa na lengo la Afrika kujitambua. Kama mfano aliamua kubadili jina la nchi hiyo kutoka Belgium Congo na kuiita Zaire. Hata yeye alibadili jina lake la ubatizo la Joseph Desire na kujiita Mobutu Seseseko Kuku...
  6. JamiiForums Tanzania Kama hakuna atakayezungumza ukweli kuhuru Iran mimi nitazungumza

    Huu uzi umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine. Eti nini? Eti hali mbaya ya nini? LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space laser. Naomba unionyeshe hiyo "hali mbaya ya hewa" Hii chopa imeshushwa na sio ajali. I think...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nampa maua yake DTO wa Korogwe ila Kampuni ya BM ijitafakari kuhusu huduma zao

    Basi tulilolitumia ambalo lilikwama njiani tukasaidiwa na RTO (Regional Traffic Officers) Nikiwa mmoja wa Wasafiri katika Basi la BM, tukitoka Dar kuelekea Arusha, ambapo liliondoka Dara majira ya Saa Nane Mchana jana Mei 19, 2024, tulikutana na changamoto ya kiufundi njiani. Picha linaanza...
  8. JamiiForums Tanzania Mradi wa NHC wa Safari City Arusha umetelekezwa?

    Vipi kuhusu mradi wa NHC wa safaricity arusha umetelekezwa? Anayejua muendelezo tafadhali atuhabarishe
  9. JamiiForums Tanzania DAWASA yatoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya maji Malamba Mawili

    Eneo la Malamba Mawili ambalo lipo kata ya msigani linahudumiwa kupitia mtambo wa Maji Ruvu Juu. Kutokana na maeneo hayo kuzungukwa na vilima vikali na hupata maji siku ya Jumanne, Alhamis na Jumapili, lakini baadhi ya maeneo kushindwa kupata maji pindi msukumo wa maji unapokuwa mdogo. Mamlaka...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu. Anayejua hili kuhusu NSSF

    Ndugu zangu, kwasasa nipo nje ya ajira. Nahitaji kuchukua mafao yangu ya NSSF. Sasa, jina langu la kwenye account ya NSSF limetofautiana kidoogo na jina langu la kwenye kitambulisho Cha kupigia kura ambacho ndicho kitambulisho pekee nilichonacho. Yaani Kwa mfano, kwenye NSSF jina ni ZIGONDWA...
  11. JamiiForums Tanzania USHAURI KWA SERIKALI YA MKOA WA DAR ES SALAAM KUHUSU KUBADILISHA MATUMIZI KWA STAND YA MABUS MAGUFULI MBEZI.

    Baada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la...
  12. JamiiForums Tanzania MAGARI YAENDAYO KWA KASI PIA YAZINGATIWE

    Kuhusu usafiri wa haraka nchini Tanzania, kuna jitihada za kuboresha miundombinu na huduma za usafiri, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Mradi wa mabasi yaendayo kasi ni moja ya mikakati inayolenga kupunguza msongamano wa trafiki na kuboresha usafiri mijini. Hata hivyo, bado kuna...
  13. JamiiForums Tanzania Papa abananishwa kuhusu wapenzi wa jinsia moja katika interview

    Katika video hii papa anapigwa maswali konki kuhusu kubaliki wapenzi wa jinsia moja, ambapo anasikika akikanusha na kusema ni kinyume cha sheria za kanisa, huku akisisitiza kuwa kubalika mtu mmoja mmoja ni sawa, ila sio kubaliki muunganiko wao
  14. JamiiForums Tanzania Mafundisho mapya ya kuhusu miujiza (masuala ya kiroho) kutolewa na Kanisa leo: Kwa nini historia inajirudia leo kutoka mwaka 1978?

    Mafundisho mapya ya kanisa kuhusu "matukio ya kimuujiza" yatatangazwa kwenye mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika na Vatican siku ya Ijumaa. Taarifa hii imechapishwa kwenye tovuti ya Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Holy See, na ndio sababu baadhi ya machapisho yameripoti kimakosa kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba Malumbano mbashara na kijana Lucas Mwashambwa juu ya mambo ya msingi kuhusu Maendeleo ya Taifa hili.

    Wasalam, Kwa kipindi kirefu tumeshuhudia wanabodi wengi wakisifia na kuimba mapambio ya kukisifu chama cha mapinduzi CCM kuwa Kimefanya mambo makubwa na yakupendezwa bila kusahau mapungufu yake. Naomba jamii forum tukubaliane muda na siku ili malumbano yetu yawe mubashara hapa kwa jukwaa kila...
  16. JamiiForums Tanzania Anayejua kuhusu huyu Roboti wa Tanzania anisimulie vizuri. Naona mitandaoni amekua gumzo

    Kwenu wataalam wa maroboti.
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya mnaitia aibu Africa. Hivi ndivyo Dunia inavyofahamu kuhusu Kenya 🇰🇪

    WELCOME TO KENYA WHERE:- 1. Girls handbags carry everything necessary for sleepover except their fare back home 2. When you are served little chips in a restaurant, you drink their Tomato Sauce like Pepsi 3. Youths don't pray before eating but take pictures of the meal first then post it on...
  18. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Taasisi zinazotoa mikopo zitunze faragha za wateja wao

    Napenda kulalamikia makampuni ya mikopo madogomadogo na assasi zisizo za kiserikali, kurekebisha kauli zao na misimamo yao, Mtu anapoomba mkopo nikwamba anahitaji mkopo ule ajikimu na matatizo aliyonayo, lakini badala yake wao hu (upload users devices data) mfano Phonebooks na meseji kisha mteja...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Bonnah Kamoli kushikilia shillingi ya waziri kuhusu Kipunguni ilikuwa danganya toto, hata wewe jamani

    Nilimsikia Mbuge wa Segerea akitoa notisi ya kushikilia shilingi ya Waziri wa Uchukuzi kuhusu malipo ya fidia Kipunguni A lakini ghafra ikawa kimya je kulikoni na wewe unatusaliti Mungu yupo naamini atatulipa tu. Asanteni sana kwa kututesa
  20. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kushare habari mbalimbali kuhusu ushamba kwenye vitu mbalimbali

    Mimi vitu vya kishamba ambavyo nimewahi kuviona ni kama ifuatavyo. 1. Hii ilikua kipindi Cha redio za cassette msukuma ameweka Kanda na amenyanyua antenna kana kwamba anasikiliza radio stations. 2. Mzee mmoja alipeleka radio kwa fundi ili apate radio taifa (tbc) maana zilikua zinasikika radio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…