kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tofauti na watoto hakuna kingine special kuhusu ndoa za kileo.

    Tofauti na hako katoto innocent hapo juu, hakuna cha maana tena. Too bad kakishafikisha miaka 14 kataanza fundishwa kumchukia baba yake. Modern Weak Men alafu wanakutana Modern Independent Women unadhania nini kitafuata? Ndoa imekuwa engineered katika panels zinazo hamasisha ukosefu wa furaha...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nipeni majibu kuhusu hawa waturuki

    Hapo nyuma kulikua na wimbi kubwa la nyama za waturuki wanazogawa Bure Ingawa saivi zipo ila si kwa wingi km mwaka Jana Sijui na nyie mmekutana na hzo habari, ktk zunguka yangu vijijini nimekutana nazo sana kia's kwamba baadhi ya mabucha walifunga biashara kwa sababu nyama za Bure zipo nje...
  3. JamiiForums Tanzania Yanayosemwa vijiweni kuhusu kufungiwa kwa mwamuzi Kayoko

    Siku mbili kabla ya derby kulifanyika kikao kati ya Kayoko,afisa wa TFF na afisa toka GSM Bila kujua kulikuwa na mtu anawarekodi kwenye simu. Siku ya mechi kuna maamuzi ya utata yalitokea. Wazee wa Simba wajaja juu kuwa Kayoko aliwahujumu TFF wanawaita wazee wa Simba kuwa wanaharibu brand ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nimelia machozi baada ya kusikiliza Mahubiri ya Nabii Denis Kuhusu Tanzania

    Mungu alipoona Taifa lake la Waarabu linaangamia kwa kukengeuka aliwateremshia Mtume Muhammad (SAW) kuwafindisha namna bora ya kuishi kwa kumpendeza Mungu. Akawaamrisha mema na kuwakataza mabaya kwa Mujibu wa Mafundisho ya Allah Tabaraq wa Taallah. Mungu pia alidhihirika nyakati za Rais Sauli...
  5. JamiiForums Tanzania Kash Patel, Mkurugenzi wa FBI ameanza kwa kuilisha matango pori seneti ya US kuhusu mauaji ya dikteta Idi Amin!

    Akiwa katika mahojiano yake ya kuthibitishwa kuwa Mkurugenzi mpya wa FBI, Kash Patel alipoanza kwa kuelezea historia ya familia yake alisema baba yake alikimbia Uganda ya Idi Amin, dikteta muuaji wa kimbari ambapo Wahindi laki tatu(300,000) waliuwawa kwasababu ya kuwa Wahindi kama yeye tu. Huu...
  6. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kuhusu Ontario(Sirjeff Denis)

    Je Kuna kitu kime kuinspire kuhusu huyu mwamba ingawa last seen yake ni 2019. Tujuzane wadau
  7. JamiiForums Tanzania Kuuliza Sio Ujinga; Nimepokea Sms hii Je kuna anaye fahamu kuhusu Hili?

    Nimepokea sms ambayo Imenichanganya sana Sio nimechanganywa labda na tamaa Au Kishawishi kilichopo hapo kwenye Sms hapana Kilicho Nichanganya ni Mtumaji . Huyu mtumaji Nimejaribu Kwenda Hata Google Sioni Majibu Yanayo Eleweka kabisa Mimi muoga sana Kufunga Kitu kinaitwa Link Kutoka Sehemu...
  8. JamiiForums Tanzania Makala mengi kuhusu Freemason yanatofautiana sana. Naamini hakuna mwenye concrete info juu yao. Hii ni ishara jinsi gani FM walivyo na weledi mkubwa.

    Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂 Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂 Anyway, Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hatari sana: Utapeli unaoenea kwenye biashara ya forex Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, biashara ya Forex imekuwa kivutio kikubwa kwa vijana wa Kitanzania wanaotafuta njia mbadala za kujiongezea kipato. Wakati Forex ni fursa halali kwa wale wenye uelewa na utaalamu wa masoko ya kifedha, inasikitisha kuona jinsi baadhi ya watu wameigeuza kuwa mtandao...
  10. JamiiForums Tanzania Parkinson's Law of Money (Sheria ya Parkinson Kuhusu Fedha)

    Habari wanaJF, Ni mimi tena, na nimeamka salama. Nimechelewa kuingia kazini leo, ila Mungu ni mwema nimeanza. Kuna habari njema naitegemea kutoka sehemu (ntawajuza mambo yakiiva). Ngoja tuendelee kuongea kupoteza pressure... Umewahi kushangaa kwa nini kuna watu wanapiga hatua, hata endapo wana...
  11. JamiiForums Tanzania Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

    Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho. McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black...
  12. JamiiForums Tanzania Tujadili Kuhusu Utapeli Mtandaoni – Je, Tunajilindaje?

    Habari wadau, Katika ulimwengu wa kidijitali, utapeli mtandaoni umekuwa tishio kubwa kwa watu binafsi na taasisi. Kila siku, watu wanapoteza pesa na taarifa zao za siri kwa njia za ujanja zinazobuniwa na matapeli wa mtandao. Katika mjadala huu, tuzungumze kuhusu: ✅ Aina mbalimbali za utapeli...
  13. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anayemuelewa Tundu Lissu anachomaanisha kuhusu uchaguzi anieleweshe kila nikijitahidi kumuelewa naambulia sifuri

    Anasisitiza kwamba no reform no election. Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi. Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election. Utata unakuja namna...
  14. JamiiForums Tanzania Matukio ya Kutisha na Habari za Ajabu na za Kushangaza Kuhusu Biblia

    Biblia Imenusurika Mara Nyingi Kuangamizwa – Wakati wa utawala wa Diocletian watu walikatazwa kutumia Biblia. Nakala zake zilichomwa, na waliomiliki waliuawa. Licha ya mateso hayo, Biblia ilizidi kuenea. Biblia Imekuwa Kitabu Kinachouzwa Sana Duniani – Licha ya kupingwa sana, Biblia inashikilia...
  15. JamiiForums Tanzania Putin akimcheka na kumrekebisha Waziri wake kuhusu mauzo ya kitimoto Indonesia

    Hii ilitokea wakiwa wanajadili masuala kadhaa ya biashara Waziri wa Russia wa Kilimo akatolea mfano jinsi Ujerumani inafaidika kwa mauzo ya kitimoto/nguruwe kwa mamilioni ya tani kwenye nchi nyingi ikiwemo Indonesia taifa lenye Waislamu wengi zaidi duniani, ndipo Putin akamuambia Indonesia...
  16. JamiiForums Tanzania Leo tunamaliza malumbano kuhusu upangaji wa matokeo katika ligi ya NBC

    Yanga waliangalia ratiba ya ligi wakaona muda sahihi wa harusi ya Aziz Ki na Hamisa Mobetto ni huu ndiyo wakabariki hili zoezi zima linaloendelea. Wachezaji wa Yanga wamekuwa kwenye pilikapilika za shughuli za hii harusi zaidi ya wiki moja sasa ila cha ajabu wakiingia uwanjani wao ndiyo wana...
  17. JamiiForums Tanzania NAOMBA kujua kuhusu kilimo Cha tangawizi?

    Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi 1,hali ya hewani 2,aina nzuri ya mbegu 3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa mbegu nzuri 4, je zao la tangawizi linachukua mda gani shambani mpaka kuvunwa 5,jinsi ya kuvuna na...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Je, nini kitangulie Mabadiliko ya Sheria au Utashi wa Kisiasa kuhusu Uchaguzi huru?

    Kuna tatizo kubwa sana kuhusu uchaguzi huru wazi na wa haki nchi hii kiasi cha kwamba kila mwananchi amekata tamaa na suala hili. Mimi na wananchi tunajiuliza tatizo ni kukosekana kwa utashi wa kisiasa na Rais na viongozi wengine kuwa na utashi wa kisiasa wa kutoa miongozo thabiti ya walio...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba Kuuliza, Sio Kwa Ubaya Lakini Ni Katika Kujifunza... Ni Kuhusu Jumamosi..

    Good Sunday Ladies And Gentlemen... Miaka Kadhaa Nyuma Kulikua Na Kampeni Kabambe Kila Jumamosi Ya Kwanza Ya Mwezi Na Kila Mtu Aliiheshimu Kama Sio Kuiogopa Kabisa Siku Hiyo... ..Ni Siku Ya Usafi Kwa Nchi Nzima. Hivyo Iliwalazimu watu wote, Sekta Zote, Biashara Zote Na Kila Kinachofanya Kazi...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa kumi kwenye eneo la sqm 500 hapa temeke

    Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing? Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana Eneo temeke wailes Ukubwa 500 sqm Tambarare
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…