kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Lesotho yashangazwa na Trump aliyesema hakuna anayejua kuhusu nchi hiyo

    Funzo; Kama nchi, ni bora kupambana ili kujitegemea kuliko kutegemea misaada mana kuna muda nchi tajiri zinapata marais watata kama Trump. Leo kaanza na Lesotho, kesho nani? Trump anajiamini kupitiliza kwa sababu ya utajiri wake na ni bebari wa kiwango cha juu mpaka Ukrain kasalimu amri. Habari...
  2. JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zaupiga kofi mpango wa Trump na Netanyahu kuhusu Gaza. Wasema wana mpango bora zaidi

    Viongozi wa nchi za kiarabu waliokutana huko Cairo wamesema Gaza itajengwa kwa plani nzuri waliyokwisha kuibuni wakati wapalestina hao wakiwa humo humo ndani. Raisi Elsisi ambaye mara nyingi ameonekana kama kibaraka mkubwa wa Marekani ameongoza kwa kutoa tamko kali akisema zaidi ya kuijenga...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kupangiwa usaili wa mchujo na mahojiano

    Wadau naomba kuuliza hivi unaweza kupangiwa usaili wa mchujo(witten test) halafu usipangiwe usaili wa mahojiano(oral test)? Maana nimepangiwa usaili wa mchujo pekee lakini sijapangiwa usaili wa mahojiano lakini wenzangu kama watatu hivi wao wamepangiwa mpaka usaili wa oral. Naombeni msaada...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Kweli Umenasa au Umezoea Hali Ulionayo? Tafakari Kuhusu Maisha na Mabadiliko

    Katika safari ya maisha, kuna nyakati tunajikuta tukihisi kama tumekwama mahali fulani—bila mwelekeo, bila maendeleo, na bila matumaini. Ni hali inayoweza kukufanya ujisikie kama dunia inasonga mbele bila wewe. Unafanya kazi kwa bidii, unafuata ratiba ile ile, lakini hakuna dalili za maendeleo...
  5. JamiiForums Tanzania Leo naomba kujuzwa kuhusu senene wa bukoba

    Naomba nielimishwe kuhusu senene wa bukoba. Je wanaharibika baada ya muda Gani? Na kwanini wapo bukoba ZAIDI kuliko maeneo mengine?
  6. JamiiForums Tanzania Tupeni simulizi kidogo kuhusu hiki kitabu

  7. JamiiForums Tanzania Unyonyaji wa sheria ya mifuko ya jamii hasa NSSF kuhusu manufaa ya michango kwa wachangiaji

    Wakuu, NSSF BUNGE la Jamhuri wa muungano wa Tanzania Kama mada ilivyo hapo juu wachangiaji wananung'unika masuala yafuatayo:< 1. Kwanini riba ya mfuko kwa mchangiaji imefanywa kwa asilinia ndogo cha 2% kwa mwaka kiasi ambacho hakisaidii chochote kumnufaisha mchangiaji? 2. Kwanini riba ya...
  8. JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini kuhusu Ukumbi wa Diamond Jubilee?

    Kwa wakongwe, hebu njooni tukumbushane ukumbi maarufu wa kufanyika kwa matukio makubwa miaka. Ukumbi huo ni Diamond Jubilee, unakumbuka nini kuhusiana na ukumbi huo? Shea nasi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua mwaka huku hapatakua na kumbukumbu ya kifo cha ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe. Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki? Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
  10. JamiiForums Tanzania Inakuwaje imani fulani zika shikilia sana kuhusu pombe ni haramu sio vilevi vingine pamoja na ngono

    Waathirika wa madawa ya kulevya wengi ukiangalia sehemu kubwa ni mikoa yenye idadi kubwa waislamu. Mfano tanga,dar es salaam na nchi ya zanzibar. Kesi nyingi za ubakaji,ulawiti,ngono zembe,idadi kubwa ni upande huu.Ndio maana ikifika karibia na mfungo watu ufunga ndoa kwa madhumuni ya kujipatia...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana Tanzania wanaweza kubeti, kushabikia Simba na Yanga na Uchawa kwisha habari!

    Wakuu asalaam aleykum! Nguvu ya taifa lolote huwa ni vijana, katika rika hili wanaweza kufanya mambo mengi kwa usahihi na nguvu; kuanzia kufikiria kibunifu, kutekeleza mipango, nk. Mfano enzi ya akina Mwlm. Julius Kambalage Nyerere, Warioba, nk. Lakini pia nchi zilizoendelea, gunduzi nyingi...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ukraine yakubaliana na Marekani kuhusu mpango wa Madini, asema afisa wa Ukraine

    Tukiona DRC kajisalimisha kwa USA ili asaidiwe kuwaondoa M23 tusishangae! Je, Putin atakuwa ameingiwa ubaridi sasa? Habari kamili; Ukraine imekubali masharti ya mkataba mkuu wa madini na Marekani, afisa mkuu wa Kyiv ameiambia BBC. "Kwakweli tumekubaliana na marekebisho kadhaa mazuri na tunaona...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Handsome boy wa CCM Wasira anajua kuhusu digital campaign

    Handsome boy Wasira hajui digital campaign ni nini? Anasubiri mtu wa kubishana naye ! Hajui kama Dunia imebadilika
  14. JamiiForums Tanzania Fikiria mara 2 au zaidi kuhusu elimu kisha chukua hatua

    Ikiwa wazazi wako walikushauri uende chuo kikuu ili uweze kuhitimu, upate kazi nzuri na uishi maisha mazuri, walikukosea. Ikiwa unafikiri ulisoma chuo kikuu ili upate kazi nzuri, utachukizwa milele. Pia, hakuna kozi inayoitwa 'inayofaa sokoni'. Hiyo haipo. Kitu cha pekee kinachofaa sokoni ni...
  15. JamiiForums Tanzania Elon Musk awa mbogo kwa watumishi wakaidi wa serikali kukaidi kumtumia kwa email taarifa zao za kila wiki kuhusu kazi zao!

    Elon Musk amekuwa mbogo baada ya baadhi ya taasisi kukataa kutii amri yake ya wafanyakazi wote wa umma Marekani wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya wiki iliyoisha! Taasisi zilizokaidi amri yake ni pamoja Pentagon, FBI na State Department(Ofisi ya mambo ya nje) ambao...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu TradeMark Logo

    Natumaini hamjambo. Nina jambo ambalo linahitaji muongozo: Nina Kampuni,imesajiliwa kwa jina furani. Imejitokeza kampuni nyingine, yenye jina kama la yangu. Activities ni tofauti. Sasa, wanaomba niwaruhusu watengeneze trademark logo ya kampuni yao. Alieniandikia, ni mwanasheria, anadai ni...
  17. JamiiForums Tanzania FAHAMU KUHUSU ANTIMATTER

    Karibia kila kitu kwenye ulimwengu kimeundwa na na Matter ikiwa kwenye umbo/aina tofauti kama Solids,liquids,gasses na plasma hizi aina aina za matter zimeundwa na particles ndogo {subatomic particles} inayoipa matter uzito{mass} na ujazo{volume} yake, hizi partcles inajumuisha protons na...
  18. JamiiForums Tanzania DC wa Ubungo, Lazaro Twange azungumzia uhaba wa Maji na ubovu wa Barabara Kimara, asema kuna Mkandarasi amekimbia 'site'

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Jacob Twange amewataka wataalam wanaosimamia miundombinu ya barabara kufanya kazi kwa haraka na kukamilisha kwa wakati ili wananchi wapate huduma. Mh. Twange ametoa maelekezo hayo katika ziara yake ya kusikiliza na kutatua changamoto mabalimbali za wananchi ...
  19. JamiiForums Tanzania Afya ya papa Francs inaendelea kuwa mbaya

    HALI YA AFYA YA BABA MTAKATIFU Hali ya Baba Mtakatifu inaendelea kuwa mbaya; hata hivyo, tangu usiku uliopita hakujakuwa na shida ya kupumua. Alifanyiwa upasuaji wa kuongezewa damu yenye chembe nyekundu zilizokolezwa, kwa manufaa na kurudi kwa kiwango cha hemoglobini. Upungufu wake wa chembe...
  20. JamiiForums Tanzania Chatgpt kuhusu ibada ya sanamu

    Ndiyo, ibada ya sanamu imekatazwa katika Biblia. Hii ni kwa sababu Mungu anataka kuwaabudiwe peke yake, bila ya kuwepo kwa kitu chochote kingine kinachochukuliwa kama kitu cha kuabudiwa. Kwa mfano, katika Amri kumi (Kutoka 20:4-5), Mungu alisema: "Usijifanyie sanamu yoyote wala picha ya kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…