kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mambo 8 Ambayo Huenda Hukuyajua Kuhusu Mila na Desturi za Jamii ya Wamaasai

    Wamaasai ni kabila la Wanailoti wanaoishi Kaskazini, Kati na Kusini mwa Kenya na Kaskazini mwa Tanzania. Wao ni miongoni mwa wenyeji wanaojulikana zaidi kimataifa kutokana na makazi yao karibu na mbuga nyingi za wanyama za Maziwa Makuu ya Afrika, na mila na mavazi yao tofauti. Wamaasai...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Madiwani Moshi Manispaa, kuongea na waandishi wa habari kuhusu , Kauli Tata na Malalamiko ya Wapiga Kura ,Soko la Mbuyuni, Moshi Manispaa.

    Katika kipindi cha hivi karibuni, kauli tata na malalamiko ya wapiga kura wa Moshi Manispaa yameibuka, yakihusiana na ujenzi wa soko la Mbuyuni. Wapiga kura wamekuwa wakilalamika kuhusu thamani halisi ya soko hili, wakionyesha wasiwasi wao juu ya ufisadi na wizi ambao umekuwa ukiripotiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Nawashauri Ccm kuhusu swala la ajira kwa vijana endeleeni kukaa kimya kwakuwa hama maarifa wala akili za kutatua hili tatizo.

    Sio jambo jema mkaendelea kuropoka . Huwa nashangaa Sana hawa viongozi wa Ccm wasiokuwa na akili wanavyowashauri vijana . Utasikia wanakuambia Afisa usafirishaji , Afisa ubashiri , Mama lishe na Baba lishe.
  4. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Jeshi la Yemen kuhusu kulengwa kwa shehena ya ndege ya USS Harry Truman kujibu uchokozi wa Marekani - Machi 16, 2025

    Wanaukumbi. Taarifa ya Jeshi la Yemen kuhusu kulengwa kwa shehena ya ndege ya USS Harry Truman kujibu uchokozi wa Marekani - Machi 16, 2025. Adui wa Marekani alianzisha uchokozi wa wazi dhidi ya nchi yetu katika saa zilizopita na zaidi ya mashambulizi 47 ya anga, yakilenga maeneo kadhaa katika...
  5. JamiiForums Tanzania Sanamu Yako Ni Ipi? Raha? Nguvu na Mamlaka? Pesa? Au Heshima na Umaarufu ?: Tafakari Kuhusu Vitu Vinavyotufunga na Kutufanya Tujute

    Moja ya mambo magumu zaidi maishani ni kuelewa kwa nini tunafanya mambo tunayofanya. Kwa nini tunachagua njia fulani badala ya nyingine? Kwa nini tunavutwa na vitu ambavyo baadaye vinatuletea majuto? Kwa nini mara nyingi tunajikuta tunarudia makosa yale yale licha ya uzoefu wa nyuma? Swali hili...
  6. JamiiForums Tanzania Fahamu kwa uchache kuhusu Uume wa nyangumi

    Huu Ni Uume wa nyangumi aina ya blue whale, na ndio unaaminika kua Ni uume mrefu kuliko Uume wa kiumbe chochote kilicho hai duniani. Unafikia urefu wa inchi 94.45, sawa kabisa na urefu wa futi 8 au mita 2.5 Yaani uume tu wa nyangumi umempita urefu mchezaji wa mpira wa kikapu wa kitanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu Rwanda

    Una chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda? Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi? Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!! Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa, chochote, uliza utajibiwa hapa hapa. Rwanda ndo nchi pekee barani Afrika, ukiingia huulizwi utakaa siku...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu TIN

    Habari Wadau wa JF! Kama nilivyotangulia kuandika hapo juu, naomba kujua kama kuna namna naweza kupata namba yangu ya mlipa kodi. Ni muda mrefu sikuitumia maana sikuwa na matumizi nayo, nilitafuta kwa ajili ya kupata leseni ya udereva. Kwa ujumla namba yangu siikumbuki, naomba kujua kama...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu kozi ya International Relations and Diplomacy

    Wakuu naomba mnisaidie sehemu za kupata field ya mtu aliesomea kozi ya International Relations and Diplomacy, kwasababu nahangaika Hadi now sijapata field, yaani duuuuh!!!! 🤔 0787044620 my number
  10. JamiiForums Tanzania ELON MUSK ALIPO ULIZWA KUHUSU BYD MIAKA KAMA KUMI ILIOPITA ALICHEKA SANA ILA SASA HALI IMEBADILIKA GHAFLA

    Hapa akiulizwa na mtangazaji kuhusu gari za EV za BYD Alionekana ni mtu mwenye furaha sana iliyo pitiliza Hali ya sasa ilivyo sasa In 2024, BYD surpassed Tesla to become the world's largest manufacturer of electric vehicles, with BYD selling more new energy vehicles (including battery...
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna haja ya kufanyika uchunguzi Kuhusu Hili Soko lenye paa mbili za bati, soko la Mbuyuni (Manispaa ya Moshi) kwa thamani ya Bilioni 2!

    Utangulizi Soko la Mbuyuni, lililojengwa katika Manispaa ya Moshi, limekuwa kivutio cha mjadala mzito miongoni mwa wakazi wa eneo hilo. Kwa dhamani ya bilioni 2, wengi wanajiuliza ni wapi fedha hizo zimeelekezwa, hasa kwa kuzingatia hali ya soko lenyewe. Kila mmoja ana mtazamo wake, lakini...
  12. JamiiForums Tanzania Kagame na Mario Nawful kuhusu DRC

    https://www.youtube.com/watch?v=IvXf5JgmIxs
  13. JamiiForums Tanzania Research ndogo kuhusu ndoa Kwa wanaume wengi

    Research ndogo niliyo Fanya, wanaume wengi karibia 99.9% walio ingia kwenye ndoa, wanatamani kutoka , ila kwasababu ya kuwa na watoto inakua kipengele sana kuchomoka kwenye huo mtego. Kinacho wafanya wasitamani tena ndoa ni Majukumu ya kulea watoto ,mke na familia ya mwanamke, kipato Cha wengi...
  14. JamiiForums Tanzania Nadharia za Kuvutia na za Kushangaza Kuhusu Ulimwengu na Uhai

    Habari hii inaangazia nadharia zisizo za kawaida zinazozungumzia mada kama vile ulimwengu wa kuiga, ulimwengu pamoja, safari kwa wakati, na ulimwengu wa pili. Zinachochea mawazo na kutoa mtazamo mpya juu ya asili ya ulimwengu na mahali tulipo. Kuna nadharia nyingi za kuvutia na za kushangaza...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kubadilisha jina

    Wakuu habari nipo kwenye harakati za kubadilisha jina wa Sababu binafsi. Nilienda kwa advocate akasema anaandaa deed pool kwa 50k then after nipeleke wizarani nitalipia 32500/= Sasa Kuna mtu amenishauri niende mahakamani niwe nimejaza Ile deed pool gharama haitazidi 15k Naombeni ushauri...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza kuanza majadiliano na Congo kuhusu mpango wa uchimbaji madini ili kubadilishana na ulinzi.

    Wakuu, Marekani hivi karibuni imetangaza kwamba iko tayari kw mazungumzo kufuatia ofa ya Rais wa Congo Felix Tshekedi la kuipa Marekani madini mbalimbli ili Marekani iweze kuisadia Congo kupambana na kundi la M23 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, nchi yenye utajiri wa madini kama cobalt...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hii ipoje kuhusu mwanaume kuwa na kipato ndio aoe??

    Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu suala la "Wakati gani wa Mwanaume kuoa". Wengi wameenda mbali zaidi na kusema, "Suala la mwanaume kuoa sio umri, bali ni kipato na uwezo wa kuilea familia" Swali: Mwanaume huyo atagundua vipi kuwa kipato chake alichonacho sasa kinamwezesha yeye kuoa?? Ni kipato...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba tujadili kuhusu majina ya kurithi, athari zake chanya na hasi pamoja na njia za kuishi katika hiyo life's path.

    Wakuu habari . Katika familia zetu kuna mengi ya kujifunza na kutengeneza hatima nzuri ya mtoto wako. Kuna baadhi ya watoto wakipewa majina ya Babu zao huwa wanalia Sana Ila wakiwabadilishia hilo jina wanaacha kulia. Je ipo siri gani hapo nyuma ? Kuhusu athari baadhi ya watu wamekuwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wana muono bora zaidi kuhusu shetani kuliko wakristo

    Sikiliza tu huu utitiri wa redio za wakristo usikie vituko kama si vichekesho. Shetani na mapepo yanaogopwa na kutajwa mara nyingi kuliko Mungu. Wanabwabwaja usiku na mchana mpaka sauti zao zimeharibika. Wewe pepo, wewe jini, achia ,achia, kwa jina la Yesu! Hao Wayahudi ambao wakristo...
  20. JamiiForums Tanzania Mshana JR kuhusu ombi langu kwako

    Japo ni mida ya wanga na wengi wamelala ila walio macho shikamoonii Mshana Jr pengine muda huu umelala ila sio mbaya kutakucha na utaamka(uamke salama kabisa) Anyway nakumbuka niliomba mazungumzo binafsi nacwewe mkuu mshana(PM) na kwakuwa umefunga PM basi uliniahidi utanicheki na nimekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…