kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda

    Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda Jibu rahisi ni ndyo ?? Sounds like sci-fi? It’s not. It’s real, it’s dangerous, and it’s probably inside your laptop right now. 👇 Na It's MALEKOGJ Katika ulimwengu wa kisasa wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mechi ya Yanga vs simba

    Mechi hiyo kama itachezwa ,Yanga ataongoza kwa magoli la mapema kabisa,baadaye Yanga watapata penalt ya halali kabisa.mashabiki wa simba wataingia uwanjani na mchezo kuvurugika.
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Ahoji kuhusu wahitimu kufanya mitihani kupata ajira

    Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Paresso amehoji utaratibu mpya wa serikali unaowataka wahitimu wa vyuo kufanya mitihani mbalimbali ili kuajiriwa, akitaka kujua kama hatua hiyo inaashiria kwamba serikali haina imani na elimu inayotolewa vyuoni.
  4. JamiiForums Tanzania Mimi sio mtabiri, ila hebu tujadili hili kuhusu Tundu Lissu

    Hello wana Jukwaa; Kama nlivyotangulia kusema kuwa mimi sio Mtabiri, wala mfuatiliaji wa siasa kiviile na sijui mengi katika mambo ya siasa. Ila mimi huaga hata katika maisha yangu ya kawaida, hupenda sana kuunganisha Dot kwa yale yalonitokea, niloyapitia na hunipa mwanga kuwa naelekea wapi...
  5. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuuliza swali lolote kuhusu football ulilokuwa unaogopa au unaona aibu kuuliza

    Huu uzi ni uzi wa kufunguka kuhusu mambo yanayohusu football ambayo umekuwa unajiuliza mwenyewe kichwani bila kupata majibu na umekuwa unaogopa au unaona aibu kuuliza wengine ili wasije kukuone mjinga au hauna ufahamu na football. Kwenye uzi huu hakuna mjinga wala mjuaji. Uliza chochote na...
  6. JamiiForums Tanzania Dira ya CCM inasemaje kuhusu miji kuwa na mifumo ya majitaka katika makazi?

    CCM wamekumbuka kuweka kwenye ilani mpango wa miji kuwa na mifumo ya maji taka iliyounganishwa badala ya kila nyumba kuwa na shimo la choo la kuhifadhi kinyesi na maji taka uani wanaloishi nalo uani na linalonyonywa na magari?
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Inspekta Jenerali Eliud Lagat anatoa maelezo kwa IPOA kuhusu mauaji ya Albert Ojwang

    Naibu Inspekta Jenerali aliyeandamwa na tuhuma, Eliud Lagat, ametoa maelezo kwa Mamlaka Huru ya Kusimamia Utendaji wa Polisi (IPOA) kuhusiana na kifo cha mwalimu Albert Ojwang’. Awali, Lagat aliwasilisha malalamiko dhidi ya Ojwang’, akimtuhumu kwa kusambaza taarifa za uongo. Mwalimu huyo...
  8. JamiiForums Tanzania Makala maalumu ya historia ya Tundu Lissu: Ni hasa huyu mtu? Mambo saba (7) usiyoyajua kumhusu

    MAMBO SABA USIYO YAJUA KUHUSU TUNDU LISSU. - Courtesy: BBCSwahili.com Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu kutaja majina ya wanasiasa walioteka hisia za watu kwa hoja, ujasiri na misimamo bila kumtaja Tundu Antiphas Lissu. Kwa wengi, yeye ni alama ya mapambano ya haki, demokrasia na...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tumeona tangazo la Marekani, Tumeanza kufanya Mashauriano

    Kufuatia taarifa ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu la kutaka nchi 36 kutaka kufanyia kazi baadhi ya mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kuzuia raia wa Kitanzania kuzuiwa kuingia Marekani Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema " Naomba kuujulisha umma kuwa tayari Serikali ya...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi operation "rising lion" ilivyogeuka kuwa operation "sleeping lion". Nini tunajifunza kuhusu jambo hilo?

    Niaje waungwana Kinachotokea sasa hivi huko Tel Aviv kwa muuaji Shetaninyau kinanikumbusha ule msemo wa Mike Tyson aliosema kuwa "EVERYONE HAS A PLAN UNTIL THEY GET PUNCHED IN THE FACE" Kama mwanzisha rising lion angejua kichapo kitachompata yeye mwenyewe kutokana na operation yake, sidhani...
  11. JamiiForums Tanzania G. Lema Kweli Unakitu Macho Yetu Hayajakiona. Maombi Yako Kuhusu Yanga na Simba Kuharibu SiasaZetu FIFA Kaja Kulimaliza.

    Ulitamka katika vitu unamuomba Mungu vile ni Simba na Yanga maana (sio kwamba huzipendi) ndizo zinatumiwa na serikali ya CCM kupumbaza watu wasijue haki zao bali warubuniwe. Miongozo na kanuni za mpira duniani pote ni kuuweka mbali kabisa mpira na siasa. Ndio maana tuliona vita kule Angola...
  12. JamiiForums Tanzania Kuhusu ku TOPUP bank loan

    Hapo awali kabla ya mfumo wa ess kwa wale watumishi ilikiwa rahisi. Tuliweza kutopup hata baada ya miez sita. Niulize wadau mlioko benki. Huko kuna mabadiliko gani. Kwa nini TOPUP inakuwa ngumu hata baada ya miezi tisa mwaka?
  13. JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu

    For those who want to know deep or more about angelic beings you are welcome. Uliza swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu. Nalogout sasa, someni kwanza hayo ya chini. Nitakuja kuendelea kujibu maswali yenu mengine jioni. Mungu awabariki sana.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru kuhusu tuhuma za wanafunzi kusahihishiana mitihani S/M Kimandafu

    Ndugu mkurugenzi napenda kukutaarifu kama mtanzania mzalendo na mwenye wivu mkubwa na ubora wa elimu yetu niliandika kupitia mtandao huu wa Jamii Forums juu ya matendo yasiyofaa yanayofanyika ktk shule ya msingi Kimandafu iliyoko ndani ya halmashauri ya wilaya ya Meru unayoiongoza hivi sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Afisa Doria Mtandaoni kwenye kesi ya Lissu

    Leo nilipokuwa nafuatilia shauri la Bw Lissu kulikuwa na shahidi wa Upande wa Serikali alitoa ushahidi kuhusi shtaka la lissu la makosa ya mtandao. Ningependa kujulishwa yule shahidi ni mtumishi wa Jeshi la Polisi, Mtumishi wa TCRA au ni mtu binafsi. Halafu kozi yake ya miezi 2 kutoka kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Mtizamo wa Spika kuhusu hukumu ya mahakama na kile ninachokiona

    Juzi hapa dada yetu Tulia Ackson Mwansasu alizungumza kwa kujiamini mbele ya Rais na viongozi wakuu wa serikali ikijumuisha uwepo wa mihilimi yote mitatu rasmi ( na Media). Spika akiwashangaa wanaoshangilia hukumu ya mahakama. Hiki ndicho ninachokiona kwa uelewa wangu wa hivyo hivyo; 1. Spika...
  17. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Suluhisho la Msongamano wa Magari Jijini Dar es Salaam

    Nimeona jitihada zinazofanywa na wadau katika siku za hivi karibuni kutafuta suluhisho la tatizo sugu la msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, ikiwemo hatua ya kufunga kamera za ufuatiliaji barabarani. Hata hivyo, kwa mtazamo wangu, matumizi ya kamera hayawezi kuondoa tatizo la foleni kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kipi kinawazuia watanzania kuongea siasa hadharani kama wanavyobishana kuhusu mpira?

    Mtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira Mtaani watu hubishana mpira kwa uhuru na sauti kubwa tofauti na siasa, ikitokea mtu kaanzisha mada za siasa huenda akaachwa pekeake kusiwe na wakumsapoti Siasa ya Tanzania ingejadiliwa kama unavyojadiliwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ndugai kuhusu Gwajima alikuwa mbele ya muda?

    Wakuu nimekumbuka hili sekeseke “Kuhusu Gwajima sisi hapa hatujamshitaki kama Askofu, tumemshtaki kama Mbunge Gwajima, habari za Uaskofu wake ni hukohuko, unaweza ukawa Askofu halafu kama wenzako hawaelewi Dini sio hivyo hayo ni macho ya Makengeza Watu ni Waumini sana” “Mimi ni Mzee wa Kanisa...
  20. JamiiForums Tanzania Polisi tuambieni kuna nini hapo Kanisani kwa Gwajima mbona mnapiga watu ovyo na mko kimya?

    GT Tumezoea police kutoa tahadhari kuhusiana na mikusanyiko yoyote isiyokuwa halali huku wakitoa sababu. Nashangaa hapo kwa Gwajima.kuna shida gani wanapiga watu hovyo sababu zipi? Wanatakiwa watoke hadharani wautaarifu umma kinachoendelea tofauti na hapo sisi tutaendelea kuamini kwamba ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…