kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

    "Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza, tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule 👇
  2. N

    JamiiForums Tanzania V.A.R YA CHAWA: NI uongo na aibu kumsifia Rais Samia kuhusu jina hili huko Ujerumani

    Mr Njaakali hatari naaanza leo kukuleta segment matata iitwayo VAR YA CHAWA kutokana na ongezeko la kutisha la machawa na usambazaji wa kutisha wa fake news Leo naanza na member aitwaye Crocodiletooth chawa moja hatari lenye blue tick liko verified yaani limepost uzi huu. Kwa bidii ya Rais...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Rais yuko sahihi kuhusu umasikini?

    Rais Samia akiongea na waandishi wa Habari leo amekataa kuwa watanzania hawatumii chini ya dola moja kama inavyolipotiwa ambapo ametumia kabila la wahadzabe kama kabila la chini ambao wanaishi kwa kula matunda na asali ambayo hawanunui. Hivyo ukiweka kifedha inawezekana wanatumia gharama kubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu NACTE registration number kwenye kuomba ajira za ualimu

    Habari za leo wakuu. Kwa wale wenye diploma za ualimu tunaoomba nafasi za ajira tamisemi kwenye kipengele cha NACTE reg number tunajaza namba gani naona kwangu inagoma. Kuna namba iko kwenye cheti cha chuo ila nikiweka haikubali niweke nta level pia niattach cheti.
  6. JamiiForums Tanzania kuhusu panya road: Dar es salaam hakuna Polisi

    napenda kuhitimisha kuwa dsm hakuna askari polisi.. kuna polisi wa kuidhibiti chadema basi.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mabere ni mwandishi nguli na Kanda ya Ziwa hutoa habari zake kupitia kituo chenu cha ITV

    Imechukua muda mrefu sijasikia sauti ya Mabere Mkaubi wa ITV. Kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa Mabere Makubi amekuwa akiripoti habari kupitia kituo chenu habari ya uhakika na kwa kweli Mabere Makubi anapendwa sana na wananchi wa Kanda ya Ziwa kutokana na umahiri wake. Inawezekana kuwa kuna tofauti...
  8. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kitaalamu? CHADEMA wanatembeza hashtag ya katiba mpya, lakini wanamzuia Msigwa asitoe maoni kuhusu Royal Tour, wanaaminika?

    Watanzania tuwe makini ... Uhuru wa maoni ni moja kati ya ajenda ambayo Chadema wanasema wanaipigania kupitia katika katiba mpya, Leo mchungaji msigwa katoa maoni yake kuisifia royal tour na mama Samia, Chadema wanamshambulia, hivi hawa hiyo katiba mpya wanayoitaka wanajua maana yake? Hawa...
  9. JamiiForums Tanzania Akili zangu zinaniambia hivi kuhusu umeme kukatika katika

    Tukiendelea na filamu yetu ya Royal tour, Hebu niwape kisa kimoja kilichofanya Leo niandike kuhusu huku kukatika kwa umeme, Mwaka 2001 nilibahatika kufanya kazi kama mashine operator kwenye kiwanda Cha mkonge, Kwa Sababu ambazo sikuelewa pale kiwandani hapakua na Auto Generator ambalo lingeweza...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu utosi wa mtoto mchanga wa wiki Moja kudunda

    Habarini za usiku wapendwa. Naomba mwenye kufahamu ni kwanini mtoto mchanga wa wiki moja utosi wake haudundi na je? io ni hali ya kawaida au ni tatizo kwa mwenye uelewa tusaidiane kupeana elimu
  11. JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa namna ya kuJibu hili swali kuhusu private company vs foreign company

    Isabela na wenzake 67 wanaushirika kwenye kampuni ya kitalii huko Venezuela. WakiJua kabisa Tanzania invavivutio vingi vya utalii basi wamewiwa kuJa kuwekeza Tanzania kwenye sekta hiyo ya utalii lakin hadi sasa wana machaguo mawili na wasijue nini cha kufanya. Ambayo ni 1.kuanzisha kampuni ya...
  12. JamiiForums Tanzania Muungano na Kitabu cha Watoto Kuhusu Zanzibar: The School Trip to Zanzibar

  13. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa mpana kuhusu king'amuzi hiki

    Habari ya mchana ndugu zangu, samahani kwa yeyote anaejua au mwenye taarifa za kutosha kuhusiana na DVB t2 Satellite Receiver anisaidie plz. Maana nmeckia kuwa ni kin'gamuzi kisichokuwa na malipo ya mwezi ni free channels yaaani una access channels zaidi ya 100 inategema na location Yako lkn...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Vita ya Urusi Kama Magharibi Au NATO watalazimika kuhusika moja Kwa moja

    Nimepitia mijadala kadhaa ya vijana mbali mbali nimeona Tatizo ama lipo katika syllabus tunayotumia kuwafundishia masuala ya kidipomasia ya mataifa mbali mbali ,vijana wengi sana hawana ufahamu Kabisa , vita wanaijadili kama Mpira kwamba yeyote anaweza kupigwa, Vita inajadiliwa kama hadithi za...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna 'misinformation' inaendelea kuhusu Uber/Bolt kufunga biashara Tanzania..

    Sababu za tishio la kufunga biashara kwa makampuni haya sio sababu halisi kama wengi wanavyozipokea. Ukisoma statements zao, zimeandikwa kimkakati kwamba LATRA wameongeza new charges ya 15%. Seriously?!. Sio kweli kwamba Serikali imeweka kodi mpya ya 15%. Uhalisia ni kuwa LATRA wamewataka Uber...
  16. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu ushauri

    kichwa cha binadamu ni mithili ya tenki inapokea kila aina ya malighafi na bila kugoma labda ifike kwenye ukomo kulingana na ukubwa wa tenki hilo japokuwa asili ya tenki ni kupokea kimiminika lakini zipo malighafi ambazo huingizwa kwa namna tofauti madhara yake huaribu malighafi hiyo na...
  17. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kuhusu HUBS na COWORKING space?

    Najua wapo wengi ambao mmewahi kusikia kuhusu HUBS na Co working Space Je, unafahamu ni nini? Hubs au Co working space ni aina ya Ofisi za kufanyia shughuli zako ambayo inakuwezesha kufanya kazi zako katika mazingira tulivu na kupata huduma za ziada kama vile internet na pai fursa ya kufanya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara kuhusu fedha zilizotolewa na Mgodi wa North Mara kwa ajili ya miradi ya Kijamii

    Mkuu wa Mkoa wa Mara amezuia takriban Tshs.5 billioni zinazotolewa na mgodi wa North Mara kwa ajili ya miradi ya kijamii na hii imetokana na matumizi mabaya ya fedha zinazotolewa na mgodi wa North Mara. Binafsi nakubaliana na uamuzi wa Mkuu wa Mkoa. Kama fedha zinatolewa na vifaa vya ujenzi...
  19. JamiiForums Tanzania Dharau wa watu kuhusu chanjo ya Uviko-19, kunavyogharimu maisha yao

    Ni kama ugonjwa wa Uviko-19 umeanza kusahaulika miongoni mwa Watanzania na hivyo watu hawaoni tena haja ya kuchanja chanjo kujikinga na mafua hayo makali, jambo ambalo si kweli. Kwa maneno mengine unaweza kusema kuwa watu wanachukulia poa ilihali maisha ya watu yanapotea. Wapo wanaosikika...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu simu

    Wajuzi wa Mambo nataka kuchukua simu ya Huawei Nova 2 plus au Huawei Nova 3i au oppo a 15 vipi kwa ambao wamewai kutumia simu izi ipi inafaa kuanzia ubora na kila kitu kwenye matumizi na chaguo la mwisho ni Huawei p 10 lite Chief-Mkwawa msaada tafadhali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…