kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Pensheni na kikokotoo: Usichokijua kuhusu uzuri wa kikokotoo, kwa mafanikio na bata la uzeeni

    Lengo zima la mifuko ya jamii ni kumkinga na kumlinda mwanachama wake dhidi ya majanga. Majanga ni vitu vyoote vinavyoweza kuondoa au kupunguza uwezo wa mtu kuzalisha. Moja ya janga kubwa ni UZEE.Tunaliita ni janga kwasababu tunaamini huna uwezo wa kuzalisha na kuchangia kiuchumi kama...
  2. JamiiForums Tanzania CC& NEC ya CCM kujichimbia kwa siku tatu Dodoma. Tutarajie nini kutoka maazimio ya CC ya CHADEMA hasa kuhusu wabunge 19

    Kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watanzania wote kuhusu kufanyika kwa vikao vya kawaida vya uongozi ngazi ya Taifa Jijini Dodoma kuanzia tarehe 26 Septemba, 2022 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (CC) na tarehe 27 na 28 Septemba, 2022 Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC)...
  3. JamiiForums Tanzania Je sera ya afya ya Tanzania inasema nini kuhusu haya?

    Habari wakuu, Naomba kujuzwa hivi watoa huduma za afya nchini Tanzania (doctors and nurses) walioajiriwa na wasioajriwa lakini wamesajiriwa na wana leseni za mabaraza yao (MCT & TNMC) 1. Je wanaweza ku practice remotely yaani nje ya health facilities hata bila kuonana na mgonjwa kwa njia ya...
  4. JamiiForums Tanzania Alichokisema CAG Kichere kuhusu Tsh. Trilioni 360 za TRAB na TRAT

    Katika ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka 2020/21 iliyowasilishwa bungeni Aprili 12 mwaka huu, CAG Charles Kichere ameligusia suala hilo, akisema hesabu za Mamlaka ya Mapato (TRA) kwa mwaka wa fedha 2020/21 zinaonyesha kuwapo kodi zilizoshikiliwa katika mahakama za rufani kwa muda mrefu Sh...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali imepiga chenga kwa wananchi kuhusu tozo

    Salama wandugu, Kwanza kabisa tujipongeze wana JF kwa maoni na makelele tuliyopiga hapa mpaka kupelekea sheria kurudishwa bungeni ,nampongeza Samia na Mwigulu japo kwa usikivu ila mlichofanya siyo sahihi japo baadhi wanasifia kama mazuzu vile Ipo hivi kilichotolewa tozo ni miamala ya bank to...
  6. JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine: Putin hadanganyi kuhusu matumizi ya silaha za nyuklia, EU yasema tupo wakati hatari.

    Katika hotuba yake isiyo ya kawaida kwa taifa mapema wiki hii, Bw Putin alisema nchi yake ina "silaha mbalimbali za uharibifu" na "itatumia njia zote zinazopatikana kwetu", na kuongeza: "Sidanganyi."
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu bachelor in human resources managenent na labour relation na public management

    Nimechaguliwa chuo Cha institution of social work kozi ya human resources nataka kubadilisha nisome kozi ya labour relation na public management naomben ushauri wenu niende ipi Kati ya hizo au nibaki na hiyo niliochaguliwa
  8. JamiiForums Tanzania Piteni hapa kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona

    Kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona (planndemic disease) hii inawahusu,mkaleta ujuaji mkajidai mmesoma mnajua sana kuliko Rais wa nchi mwenye taarifa lukuki 🥺 ⚫Poleni sana Magonjwa ya ajabu ajabu yanapiga watu huko, infertility, heart attacks,blood pressure. "Msidhani kua...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga wachukizwa na kauli ya Hersi kuhusu TFF

    Siku zote tunawaambia wanayanga kwamba Hajj Manara ndiye mwenye uchungu na team hiyo anayoipigania kwa moyo mmoja bila kujali maslahi ya pesa Kitendo cha kuweza kuvitoa virusi sugu viitwavyo Nugaz na Bumbuli hapo klabuni vimemuongezea credit sana kwa wanazi wa yanga, jinsi alivyompa makavu...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia kuhusu panya road

    Rais hao panya road wakikamatwa wasiuliwe bali wapelekwe Chunya gereza la Ngwala wakalime na kujifunza mambo mbalimbali yatakaowasaidia katika maisha yao. Gereza la Ngwala halina fence yoyote na wafungwa wanaishi kindugu na kufanya shughuli mbalimbali za uzalishaji. Kwanini gereza halina...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwa maelezo ya Mwigulu kuhusu trilion 360, maneno ya Tundu Lissu yametimia

    Tundu Lissu alisema bungeni kuwa kazi ya kamati ya makinikia ilioundwa na rais Magufuli ya prof. Osolo na prof. Mruma ni professorial rubbish. Alimaanisha kuwa haina maana yoyote na haitakuwa na matokeo chanya. Alishauri turekebishe kwanza sheria zetu, tujitoe kwenye baadhi ya mikataba ya...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Polisi kuhusu Panya Road hayaeleweki. Kwanini wanaua na siyo kukamata? Je, ni yale yale ya akina Zombe yanajirudia?

    Ni mara nyingi sana inatokea kuona polisi wetu wakisimama kwenye podium kuzungumza na waandishi wa habari, wanachozungumza mara nyingi ni "watuhumiwa walipigwa risasi na wakafa wakikimbizwa hospitali" Wakati huo huo hakuna ushahidi wa polisi kushambuliana na hao wanaowaita wahalifu, wananchi...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu transcript

    Nime apply for transcript sasa nikawa nimekosea kuweka passport size, yaani ilikuwa na ukubwa uliozidi sasa NACTE wakanitaarifu nibadilishe passport, nimeingiza details zangu sijaona ile sehemu ya kuweka passport . Msaada kwa wenye uzoefu tafadhali
  14. N

    JamiiForums Tanzania Jenerali Manara, wanayanga wanasubiri wito na amri yako kuhusu Morrison kufungiwa

    Huu uonevu hadi lini jamani? wanayanga wanahoji huko mtandaoni haswa facebook... wanadai mechi ya ihefu iliahirishwa kimkakati ili Bm 3 aikose simba Kwani ratiba ya international games haikujulikana kabla? wanahoji mbona Inonga hadi leo hajafungiwa? Jenerali manara,wana yanga ni watiifu sana...
  15. JamiiForums Tanzania Mwigulu ajikanyaga Bungeni kuhusu kodi ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia ya Dhahabu

    Sakata la Makinikia limetinga bungeni baada ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhoji kwa nini Serikali ilikubali kupokea Tsh. Bilioni 700 zilizotokana na kesi za malimbikizo ya madeni ya Makinikia badala ya Tsh. Trilioni 360 ambayo ni madai halali kwa Tanzania. Mpina amehoji swali hilo la...
  16. JamiiForums Tanzania Namna Yanga inaongelewa huko Sudan kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mechi yao na Al hilal (by google translate)

    NAMNA YANGA INAONGELEWA HUKO SUDAN🔥🔥🔥 Wafahamu kiufupi YOUNG AFRICANS @yangasc wapinzani wa AI Hilal Round ya kwanza CAFCL Hawa ndio wafalme wa soka la Tanzania, ndiyo Klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo (28) wakifatiwa na wapinzani wao ambao ni watani wao wa Jadi klabu ya Simba...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kusaini hati ya kiwanja

    Mimi niko mkoa mwingine nimetumiwa hati ya kiwanja changu ili niisaini, ninaomba ushauri hivi mahakama ya mwanzo au ya mkoa Baada ya Mimi kusaini ile sehemu ya mwanasheria wanaweza wakanisainia huku niliko? Hata Kama kiwanja kiko mkoa jirani?Ushauri wenu wadau maana Mimi ni mjinga kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu maeneo haya?

    Kwema ndugu, leo nikiwa maeneo fulan nilikutana na ubishi. Ubishi huo ulitokana na baadhi ya vijana wanaoishi katika kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam. Vijana hawa walikuwa wanabishana kuhusu maeneo fulani yanayopatikana katika kata hiyo ya Wazo ambapo wapo waliodai kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Chadema: Wabunge 19 wa viti maalumu waondolewe Bungeni kabla ya mwezi Novemba, 2022

    Mzungumzaji kuu ni Mhe. Salimu Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho ambaye anaelezea maamuzi ya kamati kuu iliyoketi Septemba 17-18, 2022 Kamati kuu imeitaka Serikali kupeleka muswada wa kufuta sheria mpya ya tozo ambayo imekuwa mzigo mkubwa kwa watanzania. Serikali ije na mpango madhubuti...
  20. JamiiForums Tanzania Maoni, mitazamo kuhusu sheria ya utoaji mimba kwa wanaopata ujauzito bila ridhaa yao

    Wiki iliyopita katika makala ya Sheria ya katazo la Utoaji Mimba Tanzania dhidi ya uhalisia wa maisha halisi ya mtaani nilielezea kuhusu uhalisia ulivyo kwa sasa wa matukio mengi ya unyanyasaji wa kingono yanayotokea kwenye jamii zetu. Makala iligusia jinsi Wasichana wadogo wanavyobebeshwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…