kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini

    Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini. 1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug. 2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa ambayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani. 3. Wakati dunia nzima leo ni 2016 kwao ni mwaka 105 wakihesabu kuanzia...
  2. JamiiForums Tanzania Jifunze kuhusu utapeli mitandaoni na namna ya kuwatambua

    Siku hizi kumekuwa na utapeli mkubwa sana kwa njia ya mtandao, leo nitaelezea njia ya biashara na namna unavyoweza tapeliwa. Biashara ni nyingi sana mtandaoni kama biashara ya nguo, viatu, simu, laptop na nyingine nyingi. Wapo wafanyabiashara ambao siyo matapeli na wapo matapeli. Namna ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu TaESA

    Habari Nimetumiwa email hiiyo hapo chini na TaESA sasa sijajua wana maana gani kwamba nitaitwa kwaajiri ya training very soon au ni email ya kawaida ambapo kila anaekamilisha usajiri anatumiwa ? Naomba wenye uzoefu au ambao walishapata sehemu za kujishikiza kupitia TaESA wanifumbue macho
  4. JamiiForums Tanzania Tuheshimu dini za wenzetu

    Ni hivi, katika maisha huwezi kuisemea dini ya mwenzio anayoiamini siyo dini ili hali maisha yenyewe ndio haya. Mimi nimezaliwa katika Ukristo na ninamuamini Mungu na nivyoaminishwa kuviamini. Leo hii aje Muislamu aniambie nilipo hakunifai, huyu mtu nitamshangaa. Nimepokea Sakramenti ya chakula...
  5. JamiiForums Tanzania Nilimeza dawa za Malaria nikachubuka Uume na Midomo. Je, Serikali inafahamu kuhusu haya Mambo?

    Kama haya madhara mnayafahumu kwanini mnapiga kimya hamtoi taarifa kwa watumiaji? Uume ulichubuka na kutoa usaha Then nyie mpo kimya tu Daktari anasema Kuna salfa Lakini why nyie Viongozi wa dawa za Binadamu hamtoi Mwongozo?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya Serikali ya Rais Samia kuhusu akiba ya Chakula Nchini

    Leo Novemba 22,2022. Rais Samia Suluhu amezindua ghala lenye uwezo wa kuhifadhi nafaka tani 25,000 pamoja na vihenge vyenye uwezo wa kuhifadhi tani 15,000 ambavyo vyote kwa pamoja vina uwezo wa kuhifadhi tani 40,000. Lengo la Serikali ni kujenga maghala mengi zaidi nchini ili kuongeza uwezo wa...
  7. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Sitegemei kukosea tena kuhusu Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwa awamu hii hatarajii kukosea tena kuhusu Media services act ambayo wadau wa habari wamekuwa wakiilalamikia tangu kuundwa kwake 2016. Nape amesema hayo alipokuwa akipokea mapendekezo ya wadau wa habari nchini katika...
  8. JamiiForums Tanzania Wengi humu tulipingwa kuhusu madhila haya

    Sasa leo wameanza kukiri waenyewe tena wazi wazi kabisa, mwanzoni tuliambiwa sijui wanajiteka wenyewe mara walikua mafisadi. -- “Wakati wa serikali ya awamu ya tano,tulilalamika hata Bungeni nilizungumza,watu walikuwa wanatoka huko Ikulu wanasema ni maelekezo ya Rais,unakamatwa unanyang'anywa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA atoa tamko kuhusu Qatar

  10. JamiiForums Tanzania Kuhusu umeme tumuamini nani? Maharage au Byabato? Kuna namna hapa

    Huyu ni Maharage. Huyu ni Byabato
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu anajua kuhusu hii umeme kukatika, nini kinaendelea au shida nini??

    Please naona sasa tunaenda mwendo kimya kimya imekuwaje umeme unakatwa kila siku hatupewi taarifa, nini shida maana tukipata taarifa inakuwa nafuu tunajua namna ya kujipanga na ratiba sasa hii kimya kimya unaamka unakuta wamechukua unajipa moyo sijui utarudi sasa hivi mara inagonga jioni. Hebu...
  12. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

    Wakuu poleni na Majukumu, moja kwa moja kwenye mada . Binafsi Mpaka sasa nimejifunza haya hapa👇👇 1: Kama hutapambana kufanya kazi kwa bidi kutimiza ndoto zako mwenyewe, kuna mtu atakuajiri na kukupa kusudi. 2: Maisha hayangojei uwe sawa, amka kila siku na uendelee kusonga mbele. 3: Wathamini...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto: Hivi mwanasiasa wa kiume anawezaje kushinda Miss Tanzania?

    Asalam aleykum! Jamani haya maisha yanachekesha sana na ukiyafikiria sana unaweza kupasuka kichwa, basi juzi kuamkia jana bwana kama kawaida katika ndoto niko sehemu kama nimesimama hivi. Nilikuwa kama kuna mtu amenisimamisha anataka kuniambia jambo fulani, kwa mbalii nikawa kama nasikia...
  14. JamiiForums Tanzania TUCTA, TUGHE waishangaa CWT kuhusu kikokotoo cha PSSSF

    Siku chache baada ya wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kutaka mjadala wa kikokotoo urudi upya, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) limesema utaratibu wote ulifuatwa na suala hilo lilishafikiwa mwisho. Kauli hiyo imekuja baada mkutano ulioshirikisha CWT na Mfuko wa...
  15. JamiiForums Tanzania La umeme Watanzania ni waelewa, wavumilivu na linavumilika. Assuarance hii from "The Horse's Mouth" ni toshelevu. Lakini la maji linavumilika?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya leo ni kuzungumzia kidogo hali ya umeme nchini ambayo kwa sasa inapitia changamoto mbalimbali mojawapo ni kupungua kwa kina cha maji katika mabwawa ya uzalishaji wa umeme, hili...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kwanini watawala wetu wa CCM "wanaweweseka" Sana kuhusu ajali iliyotokea ya Precision Air?

    Kuliitishwa kikao cha dharula cha Baraza la mawaziri, kuongelea kitu kimoja pekee, ajali ya ndege ya Precision Air, iliyotokea zaidi ya wiki moja iliyopita! Hata hivyo kilichonishangaza zaidi ni taarifa ya msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, baada ya kumalizika kwa kikao hicho, ambapo...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu mirathi.

    Habari ndugu wana sheria! Ningependa kujua jambo moja kuhusu urithi wa mali za marehemu kwenye scenario hii! Kuna mzee mmoja alioa kwa ndoa na kupata watoto wa kwenye ndoa na mmoja nje ya ndoa. Mzee huyo na mkewe baadae wakawa hawaishi pamoja kwa zaidi ya miaka 20 ingawa hawakupeana taraka. Mzee...
  18. JamiiForums Tanzania Kikao cha dharura cha Rais na Mawaziri kije na majibu haya kuhusu matukio ya ajali nchini

    Wakati Rais Samia akitarajiwa kufanya kikao cha Dharura na Baraza la Mawaziri kujadili suala la Ajali ya Ndege ya Precision Air iliyoua watu 19, haya ndio yanayosubiri majibu ya Serikali. Uwajibikaji wa Idara za Uokoaji nchini ukoje?, Idara hizo zina Miundombinu sahihi na inayostahimili hali...
  19. JamiiForums Tanzania Angalizo kwa DAWASCO kuhusu Bill yangu ya Maji Oktoba na Novemba 2022

    Nisingependa tuharibu mahusiano yetu Mazuri, nasema hivi sijawahi kupata Maji yenu kwa zaidi hata tone. Wallah mkiniletea bill hata ya buku Tano tu mtaniona mkorofi. Niko Wilaya ya Kinondoni, Mabibo Mwisho.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari andaeni Makala kuhusu changamoto ya Upatikanaji wa Huduma za maji

    Habari za Leo wapendwa Binafsi nina familia na ninaona namna familia yangu jinsi inavyopitia kipindi kigum kutokana na hii changamoto ya Maji. Mimi nilikuwa nashauri Media zote nchini waandae Makala kuhusu upatikanaji wa Maji wazunguke mitaa yote jiji la Dar es salaam wahoji wananchi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…