kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu kuajiriwa?

    Wandugu hii thread Ni kwaajili yakupea uzoefu kuhusu kuajiriwa kwa ambao mshawahi kuajiriwa Karibuni Wana Jf
  2. L

    JamiiForums Tanzania Marekani haipaswi kukaa kimya juu ya video ya siri kuhusu kampuni ya Pfizer

    Hivi karibuni, video ya siri inayomwonyesha Jordon Trishton Walker, aliyeelezwa kuwa Mkurugenzi wa wa Pfizer anayeshughulikia Utafiti na Maendeleo, Operesheni za Mkakati na Mipango ya Kisayansi ya mRNA, akisema jinsi kampuni hiyo inavyotafiti kubadili virusi vya Corona ili kuongeza faida ya...
  3. JamiiForums Tanzania Makosa ya Rushwa na adhabu zake kwa mujibu wa Sheria

    FAHAMU KUHUSU MAKOSA YA RUSHWA NA ADHABU ZAKE KWA MUJIBU WA SHERIA. SEHEMU YA KWANZA (01) Mr. George Francis Mwalimu Nyerere katika hotuba aliyoitoa kwa waandishi wa habari mwaka 1995 alisema, “Kwa hivyo, tukatengeneza sheria ili tuwafundishe watu hawa kwamba jambo hili hatulipendi...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

    Wanabodi Msingi Mkuu wa kazi ya uandishi wa habari ni ukweli, kuwa mkweli kuusema ukweli na kuandika ukweli!. Sisi waandishi wa habari wa zamani tulifundishwa na waalimu wazungu, mimi mpaka leo mpaka kesho nakumbuka kauli ya Mwalimu wangu mzungu pale TSJ, a Canadian, Patrick Walsh akitufundisha...
  5. JamiiForums Tanzania JKT yafafanua kuhusu vijana 147 waliokutwa na VVU

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limesikitishwa na taarifa iliyosambaa mitandaoni kwamba vijana wake 147 wana maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) na kuambatanishwa na picha za vijana wengine wanaohudhuria mafunzo ya JKT makambini. Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi kwa kipindi cha...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna Haja ya Kujifunza Kuhusu Soka kutoka Senegal

    Kwa kipindi cha miezi 12 iliyopita, nchi ya Senegal imeonyesha outstanding performance katika mchezo wa Soka Barani Afrika. Senegal ni:- 1. Mabingwa wa Kombe la Mataifa Afrika, 2. Mabingwa wa Kombe la Africa kwa wachezaji wa ndani, 3. Mabingwa wa Kombe la Soka la Beach kwa Afrika, 4. Sadio Mane...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kampuni bora za umeme wa jua (solar)

    Nawasalimu wanajamvi. Habarini za mapumziko ya Jumamosi. Niende kwenye mada. Kwa wajuzi na wataalamu wa aina ama kampuni Bora za Sola. Tunafahamu kuwa kuna sehemu/vijiji ambavyo bado umeme wa REA haujafika. Hivyo nahitaji kwenda kumfungia umeme wa sola mama yangu. Mwenye ufahamu juu hili...
  8. JamiiForums Tanzania Hatimaye Munishi afunguka kuhusu gari ya Geodervie

    Yule mtumishi wa Mungu bwn Munishi ameweka wazi juu ya issue yake ya kurudisha gari alilopewa kama zawadi na "Nabii" wa Arusha. Mapema week hii Munishi alikuja hadharani na kuongea kimafumbo kwamba anarudisha gari ya Geodervie sababu hataki "kufanya" anachoombwa na nabii huyo, jambo hili...
  9. JamiiForums Tanzania Makala inayoonesha uzuri wa Tanzania

  10. JamiiForums Tanzania Beckham, kuhusu mchezaji bora kuwahi kutokea

    .
  11. JamiiForums Tanzania Tusichokijua kuhusu Starlink

    Habari, Watu wengi hapa Tanzania tunasubiri kwa hamu ujio wa Starlink ila ni wachache wanaojua matumizi yake ni yakoje pamoja na bei zake. Ningependa kuzungumzia zaid vitu ambavyo tushavijua kupitia watumiaji wa Nigeria, Starlink inauzwa $578.93 hivi ni vifaa peke kwa Tanzania ni sawa na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Yanga inasikitishwa na Tamko lililotolewa na Mdhamini Sportpesa

  13. T

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa bado ni porojo tu kuhusu ufisadi wa Hayati Magufuli, CCM na wabaya wake mnafeli wapi?

    kelele nyiiingi, wakati inahitajika mtu mmoja athibitishe, mahakama zithibitishe kuhusu hizi kelele za ufisadi wake, lakini mpaka sasa ni kelele tu zisizo na maana! CCM na maadui wa hayati JPM mnakwama wapi? Huyu aliyekuwa mwamba wa siasa za kiuchumi na rafiki mzuri wa Watanzania wa hali ya...
  14. JamiiForums Tanzania Maradhi ya kisonono au gonorrhea

    Kisonono (gonorrhea) ni nini? Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukuwa na kuzaliana kwa haraka katika sehemu zenye unyevunyevu na joto mwilini kama kwenye shingo ya kizazi kwa wanawake (cervix), mirija ya...
  15. JamiiForums Tanzania Tume ya Haki Jinai kuanza kuzichunguza TAKUKURU, DCEA, Polisi, Magereza na Mahakama kesho

    Akizungumza leo Jumanne Januari 31, 2023 Ikulu Chamwino, Dodoma wakati akizindua tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini, Rais Samia ameitaka tume hiyo kuichunguza ofisi hiyo juu ya utendaji kazi na uendeshaji ili kubaini kasoro zilizopo na kutoa mapendekezo...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt Mpango: Kuna manung’uniko mengi ya Wananchi kuhusu mifumo yetu ya haki jinai

    Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango amesema manung’uniko hayo ya Wananchi yanaonesha changamoto nyingi zilizopo kuanzia ukamataji wa wahusika kujua hata haki zao pamoja na ucheleweshaji wa upelelezi. Amesema “Nitoe mfano kuna kijana alikamatwa mwezi mmoja na nusu uliopita #Mwanza, wazazi wake...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wenye ujuzi na uzoefu kuhusu kazi ya uvuvi

    Namaanisha ile kwenda baharini na kuomba kibarua cha kazi ya kuanza kuvua samaki hlf ni mgeni na sina uzoefu wa kuogelea. Nimeongea na wavuvi wenyeji Wenye mtumbwi wa kawaida tu, wamekubali nijiunge nao, je ni kazi yenye maslahi? Malipo yake kwa siku ni tshs ngapi? Majukumu yangu yatakuwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa afunguka mazito kuhusu hila za Dola na Polisi dhidi ya CHADEMA

    Msikilize Dkt. Slaa akielezea hila na hujuma za Tiss, na Polisi, dhidi ya Chadema. Kabla ya kesi ya ugaidi ya Mbowe na Chadema kulikuwa na kesi ya ugaidi dhidi ya Lwakatare. Dkt. Slaa ameeleza jinsi Tiss na Polisi walivyoshiriki kutengeneza kesi ya Lwakatare.
  19. JamiiForums Tanzania NECTA Mjitafakari sana: Awamu ijayo tungeni mitihani tofauti tofauti kulingana na aina za shule kwa mizania yenu

    Hello walimwengu. Nimesitika sana na kauli yenye ufinyu wa fikra na mizania mbovu sana, dhana yao ya utofauti wa mazingira ya kusomea ya wanafunzi na mashule mbalimbali mbona haijatumika kutunga mitihani tofauti tofauti kama wanalijua hilo, je hawajui kuna shule wanafunzi wanafika form4 bila...
  20. JamiiForums Tanzania Kisa Cha kuchekesha kuhusu roho mbaya za walimu wa kibongo

    Wasaalam.. Aisee imepita miaka kipindi npo 1st year udsm Kuna course ya hesabu MT sijui ngapi nimesahau code tulikua tunafundishwa na mkorea mmoja Mambo yakawa yanaenda fresh mpaka siku kesho yake tunafanya test 1, tupo kwenye pindi jamaa akamaliza akaanza kupitia notes zake kwenye projectile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…