kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Sijamuelewa Naibu Katibu Mkuu ujenzi na usafirishaji kuhusu DP World

    Jana Jumatatu katika dakika 45 ya mahojiano kuhusu DP World kati ya Naibu Katibu Mkuu Ujenzi na Usafirishaji na Ndugu Mzinga kwa kweli sikumuelewa alichokuwa anaeleza Naibu Katibu Mkuu kuhusu DP World. Hakuwa amejitayarisha na maelezo yake yalikuwa below standard. Kwa mahojiano yenye umuhimu...
  2. JamiiForums Tanzania Modern history of the Arabian Peninsula cannot be understood without looking at the central role of the British Empire

    Copy and Paste The modern history of the Arabian Peninsula cannot be understood without looking at the central role of the British Empire, as well as the continued involvement of ‘post-imperial’ Britain. As David Wearing has argued, Britain’s policy has been consistently conservative—providing...
  3. JamiiForums Tanzania Video | Serikali ya Djibouti yavunja mkataba na DP World kuhusu uendeshaji wa bandari ya Doraleh

    Muhtsari Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari Serikali ya Djibouti yaishtaki DP World kwa madai ya ukiukwaji wa Mkataba Serikali ya Djibouti...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Ubungo Hostel - UDSM

    Habari wadau wa JF? UDSM ina hostels Ubungo karibu na Mic hotel au Ubungo bus terminal ambazo ni kwa ajili ya Masters na PhD students. Naomba kuuliza utaratibu iwapo mwanafunzi wa Masters anahitaji kuishi Ubungo na sio Mabibo, what procedures to follow. Msaada kwa waliowahi kusoma hapo UDSM...
  5. JamiiForums Tanzania Mwananchi amwaga Machozi akimtaka Rais Samia kufuta Mkataba wa DP World

    Katika mjadala unaoendelea Clubhouse, mwananchi mmoja aliyetambulika kwa jina la Edna ameshaindwa kuuliza swali baada ya kushikwa na kilio kabla ya kuuliza swali lake kwa wazungumzaji Kwa sauti ya kulia Edna amesema "Msigwa mwambie dada, Rais Samia afute huo mkataba, sisi hatuutaki" Msigwa...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu salary scale za "NECTAR"

    Naomba kupata salary scale za "NECTAR" Naomba uelewe hilo neno NECTAR. Asante
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, una Maoni/Ushauri kuhusu Jambo au Utaratibu unaotamani ubadilike katika kuboresha Sekta ya Afya Nchini?

    SEKTA YA AFYA: Je, una Maoni/Ushauri kuhusu Jambo au Utaratibu unaotamani ubadilike katika kuboresha Sekta ya Afya Nchini? Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa Mapendekezo kwa Wizara ya Afya siku ya Alhamisi Julai 13, 2023, kuanzia Saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku, kupitia Twitter Space ya...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Haya ndiyo yalikuwa moyoni mwangu kuhusu mabadiliko na uwajibikaji

    Naitazamia nchi ya watu wazima, huku nikiwa na kiasi cha tashwishi. na kujiuliza maswali, kama nchi ya watu wazima tunataka nini? hivi mwelekeo wetu ni upi? kiongozi ni yule, na mwongozwa ni huyu. najaribu kuwaweka kwenye kundi moja, lakini hawawekeki. hivyo niliona kila mmoja akiendelea na njia...
  9. JamiiForums Tanzania TIC itisheni mdahalo kuhusu hili suala la DP WORLD na uwe live kwenye televisheni zote nchini

    Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini. Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD. Yaani kuwe na room ya makundi haya...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina alikuwa sahihi kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amejiridhisha na Mchango wa Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe.kutofanyiwa kazi na watendaji wa jeshi la Hifadhi. Dkt. Tulia amesema hayo June 28,2023 Bunge, Dkt. Tulia amesema...
  11. JamiiForums Tanzania Game station business: Naomba taarifa kuhusu hii biashara

    Ndugu zanguni kuna biashara huwa naionaga lakini sasa nahisi nakosa kujua naifunguaje kutokana na nature ya biashara. Biashara ya Games Station,ni biashara ambayo taarifa zake wanazo wacheza hayo magame ambao ni vijana (toto za kishua na waliorizika flani) Kwa circle yangu ya maisha Sina mtu...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Bandari imepewa DP-World kwa kuwa utendaji wa TICTS ni mdogo

    Akielezea suala linaloendelea kuhusu mkataba wa DP-World na Tanzania ametoa sababu kuwa ni utendaji kazi mdogo wa TICTS ambao umesababisha meli nyingi ziwe zinashushia mizigo Lamu, Mombasa au Afrika kusini hali ambayo imepunguza wateja wa Bandari ya Dar es salaam. Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnamtaka Rais atoe kauli kuhusu Bandari wakati wahusika wameshatolea ufafanuzi?

    SUALA la Bandari tayari limeshatolewa ufafanuzi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Elieza Feleshi, Waziri wa Ujenzi, Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo. Sasa nyie mnataka Rais azungumze nini tenawakati...
  14. JamiiForums Tanzania DP WORLD: Uliza swali lolote kuhusu Mkataba wa Tanzania na Dubai kuhusu Bandari

    Wakuu, Sabalkheir na Eid Mubarak! Sakata letu la Bandari limechukua taswira tofauti tofauti mitandaoni, wengine wakisema “Bandari imeuzwa” wengine wakilalamikia Mkataba, wengine wakipotosha, basi alimradi tafrani. Lengo la uzi huu ni kuweka wazi na kwa ukweli kuhusu Mkataba huu. Kwa dhamira ya...
  15. JamiiForums Tanzania Nimegundua hili kuhusu wake za watu. Inaweza kukatisha tamaa kuoa

    Kwa uzoefu wangu mdogo tu katika mahusiano kwa umri wangu mdogo wa miaka 50+ kuna mambo ambayo nimeyagundua ambayo huwa yananifikirisha sana. Shughuli zangu za kikazi hunifanya nisafiri kuhama hama kila wakati. Ingawa familia ilisha settle Dar. Mimi huwa nasafiri sana ndani na nje ya nchi. Mara...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wetu Nguli Hashim Rungwe, sema neno kuhusu mkataba wa bandari nyoyo zetu zipone!

    Kwako mzee wetu Hashim Rungwe. Shikamoo. Hivi sasa nchini mwetu kuna mjadala mzito sana wa mkataba wa bandari. Mjadala huu umewahusisha wananchi wengi wakiwemo wasomi na wataalamu wa sheria, wansnchi wa kawaida n.k Sehemu kubwa ya wananchi, wanapinga mkataba huu kuwa in a long run ni kitanzi...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli hatutaki kusema kuhusu Sure Boy

    ABUBAKAR Salum ‘Sure Boy’. Fundi mmoja wa mpira kuwahi kutokea nchini. Sio huyu wa sasa anayecheza pale Yanga, hapana, huyu ni baba yake mzazi. Ndiye mwenye jina halisi la Sure Boy. Alipewa jina hilo kutokana na kazi yake njema uwanjani. Alikuwa na kasi kubwa uwanjani. Akipiga krosi na pasi...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna la kujifunza kuhusu mkataba wa DP World na wabunge wa CCM,

    Nimeuliza tu !! Japo mada hii itafutwa nusu saa ijayo
  19. JamiiForums Tanzania Putin alia lia kuhusu gharama aliyoingia ili kuwakimu Wagner, nani kamtuma

    Kuna wakati Urusi iliwahi kukana uwepo wa kikundi hiki cha Wagner, ila imejikuta ikiwakubali na Putin kukiri hadharani hela alizotumia kukidhi mahitaji yao, hela ndefu sana hadi inamuuma, $1b sio mchezo aisei, mwenyewe kawalea na nusra wamle kichwa, ndivyo huwa kwa watu wanaolea viumbe vya ajabu...
  20. JamiiForums Tanzania Tuwe na akiba ya maneno kuhusu IGA na DP World

    Wasalaam wana zengwe Hili suala la IGA na DP World limeleta mijadala mingi na kauli nyingi kinzani, gombeshi na chongeshi. Ata mimi nimeandika nyuzi hii ikiwa ya tatu, lakini yote ikiwa katika kuchakata uhalali na ukubalifu wa IGA na DP World. Kitu kikubwa ambacho bado naamini kina tunza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…