Mfumo wa franchise ni mfumo wa biashara ambapo mmiliki wa biashara au kampuni (inayojulikana kama "franchisor") hutoa leseni kwa mtu au kampuni nyingine (inayojulikana kama "franchisee") kuruhusu kutumia jina lake, bidhaa, huduma, na mfumo wake wa biashara. Hii inaruhusu franchisee kuanzisha...
Nilikaa sehemu hivi hapa Morogoro sehemu inaitwa Amadia nikisubiri passport size pictures nilizokua nimepiga moja ya studio maeneo haya.
Pembeni alikua amekaa Mzungu mzee wa makamo 70 years + kumkadiria.
Nikamsalimia na yakaanza maongezi ya hapa na pale.
Kuna mambo kadhaa aliongea...
Wakulima wa maeneo mbalimbali Nchini waliofanya biashara na Serikali kupitia Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko mnamo Agosti 2023, na kuahidiwa kulipwa ndani ya siku 5 za kazi (Agosti 21 hadi 25, 2023) wamesema hawajapata malipo yao na hakuna maelezo kutoka idara husika.
Wamesema mazingira...
Habarini ndugu zangu nilikuwanaomba ushauri kuna dogo langu anafundisha chuo kikuu cha Dar es Salaam kama Tutorial Assistant na kaitwa kufanya interview TRA kama Tutorial assistant.
Yuko anauliza je kuna umuhimu wa yeye kwenda TRA kufanya interview na akaachana na UDSM maana salary scale ya TRA...
Habarini wanajamii,
Naomba nizungumzie kwa uchache sana niyajuayo kuhusiana na ugonjwa wa kusahau ama kupoteza kumbukumbu unaojulikana kitaalamu kama amnesia.
Kusahau ni kushindwa kukumbuka au kuweza kutengeneza kumbukumbu mpya kabla/ baada ya hitilafu kutokea kwenye mfumo wako wa kuhifadhi...
Miaka ya 1800's walikuwepo ndugu wawili kwa Majina ya KEMPANJU NA KASSA, huko mkoani Kagera wilaya ya Bukoba( Misenyi kwa sasa).
Imenichukua mwendo wa lisaa kutoka Bukoba mjini mpaka kata ya Buyango, kijiji Lwamachu kitongoji Nyakihanga ambapo ndiko haswa nyumbani kwa ayo majina mawili ambayo...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
HALI YA UBORA WA MRADI WA JNHPP NA UHIFADHI WA WANYAMA PORI
Jumapili, 10 Septemba 2023.
Kuna taarifa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mradi wetu wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP). Taarifa hizo zinaelezea na kuleta hofu kuhusu Ubora...
Niko opposite kabisa na wanaosema kuwa Lakred ni mbovu. Kosa alilofanya katika goli la pili halifuti saves alizofanya kwa ubora kabisa. Pia nipo opposite wanaolalamika kuwa Baleke alikosa nafasi za wazi, huku hawaangalii jitihada alizofanya golikipa wa Dynamos.
Kosakosa alizofanya Baleke...
Shutuma zimeanza kuelekezwa kwa general Haftar na ukoo wake kuhusianan na mafuriko yasiyo kawaida yaliyosababisha watu 11,300 kufa na wengine zaidi ya 10000 wakiendelea kutafutwa chini ya vifusi vya majengo na baharini.
Meya wa mji huo Akram Abdul Aziz ambaye kwa sasa amesimamishwa amesema...
Maswali yangu ni kama ifuatavyo:
1)Tukiachana na blah blah faida inayopatikana kwa kuukimbiza mwenge ni nini hasa baada ya mabilioni kuteketea kwenye ukimbizaji wa mwenge ni kitu gani kinapatikana.
2)Mwenge huwa unahifadhiwa wapi(Mkoa) na mahali gani(jengo)?
3)Kiongozi wa mbio za mwenge huwa...
Kwa muda Sasa kumekuwa na mijadara hisia mingi kuhusu kuwepo Kwa viumbe wa ajabu kutoka sayari za mbali "Aliens", pamoja na technolojia yao ya usafiri almaarufu kama UFO(unidentified flying object).
Dhana hii imekuwepo sana uko Marekani Kwa muda na wakeleketwa wa hii hoja wamekwenda mbali...
Enyi wanasheria mnioneshe ibara yoyote kwenye katiba yetu ya 1977 inayoelezea wajibu, haki na madaraka ya mkulima/ mfugaji katika kumiliki ardhi, kulima/ kufuga na kupata masoko.
Au nionesheni ibara inayoonesha haki, wajibu na madaraka ya mfanyabiashara ktk kupata soko, kupanga bei ya bidhaa...
habari wakuu naomba ushauri kazi zangu zinahusisha kwa kiasi fulani wateja kuwa na internet hivyo najikuta nalazimika kuwaunganisha wateja wangu na watu wa internet provider mara nyingi.
nimepiga calculation zangu nimekuta nimeunganisha takriban wateja 16 ndani ya mwezi tu hawa wote...
September 14, 2023, kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Wajumbe watano wa bodi ya Kiwanda cha Uchapaji cha Taifa (Kiuta), wanakabiliwa na tuhuma za kuuza hati ya kitalu namba 13 ya eneo la kiwanda hicho bila kushirikisha uhalali wa idadi kubwa ya...
Habari za wakti huu;
Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu Biashara ya Clearing and Forwaring Agency.Kabla ya kuingia kwenye mjadala niweke wazi kwamba mm sifanyi shughuli za C&F.Hivyo basi maoni na mtazamo wangu upo zaidi kibiashara na kiujumla na ninaamni kwamba wengine watajifunza na wale...
Habari za wakati huu wapendwa
Naomba msaada wa haraka kuhusu usajili wa jina la biashara BRELA
Nilifanya usajilin wa jina la biashara lakini kuna baadhi ya taarifa zilipelea hivyo kutakiwa kurekebishwa na nyingine kuongezwa lakini nilipoingia kwenye akaunti yangu napata ugumu wa kuendelea...
TFF Imetangaza Kuingia Mkataba wa Udhamini na Kampuni ya Sandaland The Only one wa Utengenezaji na Usambazaji Wa Jezi za Timu za Taifa za Tanzania Wenye Thamani ya Tsh Bilioni 3 kwa Muda Wa Miaka mitano.
Jezi za Timu zote za Taifa zitahusika,Taifa Stars,Timu za Wanawake na timu ngazi zote za...
Hongereni kwa majukumu ya kazi wadau wa mawasiliano. Naomba kutoa ushauri kwa makampuni ya simu kuondoa matumizi la line nyingi kwa huduma zinazofanana.
Wazo hili limenijia baada ya kutakiwa kusajili line nyingi kwa matumizi yaleyale kama jina langu. Nilifungua biashara A ambayo nilihitaji kuwa...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ahutubia Kamati ya Vyama vya Siasa Jijini Dar es Salaam
Dar es Salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alitoa hotuba muhimu leo katika mkutano wa Kamati ya Vyama vya Siasa uliofanyika jijini Dar es Salaam. Hotuba...
VVU/UKIMWI vinasalia kuwa janga kuu la afya ya Umma duniani, janga lililogunduliwa zaidi ya miaka 40 iliyopita likiwa limechukua uhai wa watu zaidi ya milioni 40.4 huku maambukizi yakiendelea katika nchi zote duniani.
Hadi kufukia mwishoni mwa mwaka 2022, kulikuwa na wastani wa watu milioni...