kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tunaomba ufafanuzi kuhusu tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one

    Jana limetumwa tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one, English course kutoka kwa makatibu tawala wa mikoa lililotoka OR-TAMISEMI. Agizo hili limeelekezwa kwa walimu wa shule za sekondari za serikali. Hivi ndani ya OR-TAMISEMI au wizara ya elimu, viongozi hawajui utofauti wa formal na...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa elimu hii ya Tanzania tusahau kuhusu uvumbuzi

    Binafsi darasa la kwanza nilianza nikiwa na miaka 13. Hii ni kwasababu ya kimasingira na kimwamko. University nimemaliza nikiwa na miaka 30 na ushehe kidogo, kwakuwa nilipomaliza six nikahangahikia ajira kwanza, uamuzi ambao mpaka kesho naufurahia. Turudi kwenye mada. Tanzania tunasoma kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Uelewa wa wananchi kuhusu haki, uhuru na demokrasia umeongezeka pakubwa nchini

    Je kuongezeka, kuimarika na kushamiri kwa hali hii ya uelewa mpana wa mambo kwa wananchi, kumechochewa zaidi na nini, ili kusudi pia kichocheo hicho kitumike kuchochea Elimu na uelewa wa katiba iliyopo na inayokusudiwa?
  4. JamiiForums Tanzania Fikra potofu kuhusu watu weusi (Afrika) ambazo sisi wenyewe tunaziamini bila kutafakari kwa kina

    Habari wadau wote wa JF Hakuna kitu kibaya kama kumwacha mtu akufafanue au kukuelezea kama vile ww mwenyew hujijui. Don't let anyone define you and don't let anyone define your beliefs. Kuna baadhi ya mambo waafrika tunakua tunajiaminisha na kujilaumu bila kutafakari kama "je haya mambo...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna taarifa gani kuhusu JKT kwa kujitolea?

    Nimepata fununu kua mwaka huu JKT raia walioomba ni wengi wanaangaika kuwapunguza. Ndugu zangu, nyinyi mna taarifa gani?
  6. JamiiForums Tanzania Nataka kumfungulia mchepuko wangu duka la bidhaa za kike (urembo) na watoto. Nipeni ushauri kuhusu bajeti na mahala sahihi hapa dar

    Habari wakuu Niliwahi kuleta uzi humu kuhusu mke wangu niliempa mtaji akafanye biashara ya duka la kuuza urembo wa kike pamoja na saloon lakini akauwa ile biashara. Yule alikua anafanya biashara kisa wenzake wanafanya lakini nina mchepuko wangu huwa ananipoza nikiwa dar, yeye kiukweli anajua...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiwa una dharau kundi lolote katika jamii yako, sahau kabisa kuhusu Mafanikio Makubwa

    Ili upate pesa zinazohesabika Unabidi kuheshimu kila MTU katika Jamii yako. Maana mfanyabiashara anahitaji pesa ya kila MTU uwe, masikini, uwe tajiri, uwe mlevi, Uwe shekh, uwe mchungaji nk. Hii kanuni inatumiwa na watu wenye Mafanikio kila hatua unayopiga huwa anasogeza Ukaribu zaidi na jamii...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Rooney ni mdogo kuliko Ronaldo? Hapa kuna somo kuhusu umri na uzee

    Uzee ni nini? Na unasababishwa na nini?
  9. L

    JamiiForums Tanzania China yatoa waraka kuhusu jamii ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja

    Ofisi ya Habari ya Baraza la Serikali la China imetoa waraka unaoitwa “Jamii ya Binadamu Yenye Mustakabali wa Pamoja: Mapendekezo na Hatua za China.” Kwa mujibu wa waraka huo, miaka kumi iliyopita, Rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la kujenga jamii ya binadamu yenye mustakabali wa...
  10. JamiiForums Tanzania Lissu akiondoka na siasa za upinzani zinapoa, hii inaashiria nini kuhusu afya ya upinzani nchini?

    Wananzengo, siasa za upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi, lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu. Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

    Haiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia! Haishangazi yalishaanza...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwa teuzi za kichawa na tenguzi za majungu kama hizi, tusahau kuhusu maendeleo

    Nitatumia utenguzi na uteuzi wa huyu DC kama mfano ktk uzi wangu. Huyu alikuwa DC wa Temeke, akatenguliwa 02 June 2023. Na leo 23 Septemba 2023 ameteuliwa tena kuwa DC wa Mtwara. Ndiyo kusema mwanamama huyu alipoteza sifa ya kuwa DC mpk kufikia hatua ya kutenguliwa 02/06/2023 lkn siku 90...
  13. JamiiForums Tanzania Huku jf uzi kuhusu januari hazifunguki.

    Hapo ndio ujue januari mambo yake ni ya kisanii na fix nyingi. Leo ukienda huku jf habari kuhusu yeye na bodi na management aliyoweka tanesco kutumbuliwa kwa kushindwa kuwapatia wananchi umeme hazifunguki😂🤣😂. Yote ni mtu wa dili maneno matupu na tamaa ya uongozi huku matokeo ni sifuri. Hatujui...
  14. JamiiForums Tanzania Taarifa mpya ya NHIF kuhusu Toto Afya Kadi

    Ujue ukweli kuhusu Toto Afya Kadi.
  15. JamiiForums Tanzania Kuhusu Loliondo: Serikali ya CCM yaaibika Vibaya Kortini

    Kuna mambo yanachukiza sana, unawadhulumu watu haki zao Kwa matamko ya ajabu ajabu. Tuendelee na Maombi. Wengine sio waandishi wazuri, soma hapa, kama kusoma huwezi angalia hata picha. https://x.com/Nipashetz/status/1705118421573124143?t=PH1lYCqRBljDPzKADk7X5Q&s=08
  16. JamiiForums Tanzania Shangwe Ayo: Kuhusu Toto Afya Kadi, Serikali Isicheze na Afya Zetu

    Toto afya kadi au bima ya afya kwa wote; Serikali isitafute njia ya mkato kulinda afya zetu Utangulizi Katika mjadala unaoendelea nchini kuhusu hatima ya Toto Afya Kadi baada ya kauli za Serikali kusitisha huduma hiyo (iliyolewa mwezi Machi, 2023) na hivi karibuni kutangaza utaratibu mpya wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini matamko ya Kanisa Katoliki kuhusu Serikali mienendo ya Serikali mbalimbali duniani huwa yanakuwa na nguvu zaidi na pengine tofauti na mengine

    Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine? Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia...
  18. JamiiForums Tanzania Tujifunze kwa Vicky kuhusu ndoa

    TUJIFUNZE KWA Vicky jamani kuhusu ndoa. Unakutana na mtu anakwambia nimefunga ndoa na Fulani ndoa ya serikali. Sasa huba nilemeee, wewe unafunga NAE Tena ndoa ya dini may be kanisani. Ndugu zangu, wewe unayefunga Nae ndoa ya pili wakati ndoa ya kwanza haijavunjwa MAHAKAMANI huna haki kisheria...
  19. JamiiForums Tanzania Afya ya Uti wa mgongo

    Je, unafahamu nini kuhusu afya ya uti wa mgongo?
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli China inaongoza kuhusu Teknolojia na Uvumbuzi? - Ulaya na Marekani wamekubali?

    KWA JINA LA BABA, LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU - AMEN. NImekuwa nikifanya utafiti wangu binafsi kuhusu masuala ya Technolojia hapa Duniani, nimegundua kuwa dunia yote sasa imetupia macho yake huko china. Kwa mujibu wa takwimu zilizotoliewa na theglobaleconomy.com za mwaka 2021 zinaeleza kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…