kuhudhuria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Keynez

    Kama hautaweza kuhudhuria mahakamani Novemba 06, basi walau simama pembeni ya barabara umpungie mkono shujaa Tundu Lissu

    Nadhani wengi wetu badala ya kuwaza kwenda mahakamani 06/11 siku ya kutajwa hukumu ya kesi ya Tundu Lissu, ambapo idadi inayoruhusiwa kuingia mahakamani ni ndogo na ili kuepusha rabsha, wengi tujiandae kusimama pembezoni mwa barabara. Kuna ruti ya kwanza ambayo huwa inatumika kumpeleka Tundu...
  2. G Sam

    Natangaza rasmi kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu Dar

    Leo nimeanza safari ya saa 17 kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu ya Dar. Kesho majira ya saa tisa mchana nitakuwa tayari ndani ya viunga vya uwanja wa ndege Dar na tutakuwepo mahakamani ijumaa tukiwa tumejaa tele. Hatutishiki na mikwara ya Muliro wala yeyote yule...
  3. peno hasegawa

    Rais Samia ametuma salamu kifo cha bilionea Chivayo ,Je kuna uwezekano,kwenda kuhudhuria mazishi yake akiwa yuko EDA?

    Wakuu wa Vyombo,nimeuliza tu! Mkija kunijibu, muwe mnanukuu baadhi ya vifungu vya Quran Takatifu,ili kutupa uelewa zaidi. Karibuni
  4. 100 others

    Kuna uwezekano Chivayo alikuwa kwenye hii helicopter

    Chivayo alinunua ndege hio ya gharama kubwa, kumsaidia kuepuka traffic katika jiji la Harare na pia kumsaidia kufika kwenye vikao muhimu katika masuala yake ya kibiashara. Kwa mujibu wa maelezo yake. Inaitwa Leonardo AW139, ina engines mbili, na inaendeshwa na marubani wawili. Hio Helicopter...
  5. M

    Rais Samia kuhudhuria Uapisho wa Hakainde Hichilema Nchini Zambia

    TAARIFA KWA UMMA RAIS SAMIA KUSHIRIKI SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS HICHILEMA WA ZAMBIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 01 Septemba, 2026, anaondoka nchini kuelekea Lusaka, Zambia kuhudhuria sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya...
  6. M

    Asubuhi kuna karibia

    Nikiwa miongoni mwa waombaji tuliopata neem ya kuhudhuria kongamano la 18 la maombi ya kutafita makao makuu ya serikali Dodoma. Miongoni mwa masomo ambayo tulipata kujifunza ni juu ya umuhimu wa kuomba kwa habaro ya Nchi. Mtumishi wa Mungu Mwl Mwakasege alitufundisha faida 7 za kuombea nchi na...
  7. realMamy

    Je, una utaratibu wa kuhudhuria nyumba za Ibada?

    Kuna utaratibu mzuri umewekwa na baadhi ya Dini namna nzuri ya kuhudhuria Ibada. Kuna Dini zenye Ibada zaidi ya Moja Ili kuhakikisha Kila mtu anapata nafasi ya kupata mawili matatu kutoka kwenye neno la Mungu. Mojawapo ya maana ya Neno Ibada ni kumheshimu, kumshukuru, na kumuabudu Mungu kwa...
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Video: Hizi ndio show za kuhudhuria mwanaume hata ukitoa 100k nafsi haitakudai

    Siyo hizo za kupelekwa pelekwa kama watoto wa shule mara washa Taa,Tuimbe wote,Ruka ruka juu. Kushoto kulia unapelekwa tu kana kwamba wewe ndo dancer wake. Show hizi hapa unapenda minono sawa vimbaumbau sawa size ya kati sawa vile utakavyo.ukitoka hapo hudaiwi jehanamu na duniani.
  9. Yoyo Zhou

    Marekani yakataza Afrika Kusini kuhudhuria mkutano wa G20

    Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini Enoch Godongwana hivi karibuni amethibitisha kuwa, yeye na Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo Lesetja Kganyago hawajapata idhini ya Marekani ya kuingia kwenye nchi hiyo, ikimaanisha kwamba watashindwa kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Wakuu wa Benki Kuu wa...
  10. Kipenzi Changu

    Mazishi ya Mtei: Samia alijua atakula vitasa vya Chadema akakacha kuhudhuria?!

    Nimeona Heche, Sugu, Mbowe, Mnyika na Zitto wakitoa hotuba kali kwa serikali bila kupepesa macho, kiasi cha kumuacha Mwigulu akikenua tu asijue la kufanya. Nataka kuamini hiki ndio kilimfanya Samia apate ugumu wa kuja huko msibani. Mwigulu amepigwa suprise hakujibu hata moja.
  11. SSH2025_2030

    Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Ndugai

    Tunasisitiza tena. Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Mheshimiwa Dr Ndugai. Wasije kuvuruga Amani
  12. U

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuberi awaalika Waislam wote kuhudhuria Maulid ya Daarul Maarif, kwenye Viwanja vya Bakwata Makao Makuu

    DAARUL MAARIFA DAY 2025 Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anawaalika Waislam wote kuhudhuria katika Maulid ya Daarul Maarif, itakayofanyika Viwanja vya Msikiti wa Mfalme Mohammad VI Bakwata Makao Makuu. Mufti amewataka Mashekhe wote wa Mikoa, Wilaya, Kata...
  13. Waufukweni

    Mbowe: Nimeudhuria uzinduzi wa Dira kwasababu tuliweka maoni yetu lakini pia nilipewa mualiko

    Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
  14. Carlos The Jackal

    Mtetezi wa Haki za Wasichana Duniani na Mshindi wa Tuzo za Nobel MALALA yuko Nchini, Serikali Iko bize kuhudhuria Happy Birthday za Wasanii

    Aliyeturoga hii Nchi , alishakufa !!. Huyu Binti Malala , Mtetezi wa Haki za Waschana Duniani na Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Mschana alonusurika kuuwawa Kwa kupigwa Risasi za Kichwa kama Alivyonusurika LISSU , hamna asiyemjua. Jicho la Dunia lote liko linamlinda, popote anapoenda , Mguu wake...
  15. Mwanamwana

    Zambia: Familia ya Hayati Lungu yasema aliacha maelekezo Rais Hichilema asihudhurie msiba wala kusogea popote ulipo mwili wake

    Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ambaye alifariki wiki iliyopita akiwa nchini Afrika Kusini, imedai kuwa marehemu aliacha maelekezo mahsusi akitaka Rais wa sasa, Hakainde Hichilema, asijihusishe kwa namna yoyote na shughuli za msiba wake wala kuwa karibu na mwili wake. Kwa...
  16. chiembe

    Kama chadema wameanza kutoa maelekezo wanachama watoke mbali kuhudhuria mikutano yao, kwa kweli CHAUMA kina meno, kimewauma mpaka kwenye mfupa

    Chaumma kimekamata siasa za nchi. Taarifa niliyopata ni kwamba chama kimeagiza viongozi wake waitishe wana chama kutoka maeneo ya mbali na hata wilaya jirani wahudhurie mikutano yao. Lengo ionekane imejaa. Chauma wanawauma kwa meno makali, wanawajua kwa mbinu zao na wanawapigia hapohapo. Kuna...
  17. Crocodiletooth

    Wananchi wanawajibu wa kuhudhuria mikutano ya vyama kwa ujumla wake!

    Ipo kauli ilitolewa na bw. Lema akitaka watanzania wasiende kuhudhuria mikutano ya baadhi ya vyama, napinga kauli ya bw. Lema kwa nguvu zote, watanzania wanao wajibu wa kuhudhuria mikutano yote ya vyama kwa wingi kabisa, ili waweze kubaini ni yupi au chama gani kitawafaa kwa sababu kura ni siri...
  18. MamaSamia2025

    Relax.... ameenda tu kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM atarudi J'tatu

    Jomba relax... manzi ako tuko nae hapa Dom kwenye mkutano mkuu wa chama pendwa CCM. Ni mgeni mwalikwa kwenye huu mkutano. Si unaona wasanii kibao wamekuja kuhudhuria? Hata wewe ungepata mwaliko ungekuja. Kutokana na uhaba wa sehemu za malazi, manzi ako kapata hifadhi kwenye nyumba ya mjumbe wa...
  19. Gobole Lenye Risasi

    Rais Samia ashindwa kwenda Tabora kuhudhuria Ibada ya kuwekwa Wakfu

  20. S

    Ibrahim Traore awasili Moscow-Urusi kuhudhuria sherehe za kumbukumbu ya ushindi dhidi ya Wanazi

    Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore amewasili mjini Moscow nchini Urusi leo tarehe 8 Mei 2025. Kapteni Traore ni miongoni mwa viongozi walioalikwa nchini Urusi kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kumbukumbu ya ushindi walioupata Urusi dhidi ya wanazi kutoka nchini...
Back
Top Bottom