kuhama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. masopakyindi

    Mkuu wa Mkoa Mbeya awapa bajaji siku tatu kuhama TANZAM highway!

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Sagini amewapiga mkwara mzito wenye bajaji. Kawaambia mwisho jumapili, jumatatu bajaji isionekane barabara Kuu ya TANZAM. TUKUMBUKE Wiki karibia nne zilizopita bajaji waligoma kwa siku karibia nne wakitaka waachiwe kuendelea kubarizi hii barabara kuu. Kwa Mbeya...
  2. PAYE

    Hivi kuhama nyumbani kwa wazazi na kwenda kujitegemea, ni kipimo cha mafanikio ya maisha?

    Wakuu Ni kweli kuhama nyumbani kwa wazazi na kwenda kujitegemea, ni kipimo cha mafanikio ya maisha?
  3. Red black

    Ushauri wa kuchukua kabla hauja Gusa button ya kuhama mji kwenda kutafuta mafanikio sehemu nyingine.

    Jumapili karmu Kama unaona mazingira uliyopo yamebana na unatamani kuhama, zingatia yafuatayo kabla ya kufungasha virago: 1. Usiende Kichwa Kichwa: Usihame kwa kufuata mkumbo au msisimko wa kusikia flani kafanikiwa. Nenda ukiwa na mpango mkakati—unajua unaenda kufanya nini hasa 2. Andaa...
  4. Mla Bata

    Maslahi binafsi, itikadi na mikakati ya kisiasa: Kipi hasa huchochea wanasiasa kuhama kambi?

    Wasalaam, Katika medani za siasa zetu hapa Tanzania, kuhama kwa wanasiasa kutoka chama kimoja kwenda kingine limekuwa si jambo la kushtua tena. Lakini kinacholetwa maswali mengi ni nyakati zenyewe kete hizo zinaposogezwa. Tukio la hivi karibuni la Alute Mughwai Lissu, kaka yake Tundu Lissu...
  5. C

    Wakazi jimbo la California watakiwa kuhama makazi yao kutokana na moto unaoendelea kuwaka

    Maagizo ya kuwahamisha wananchi yametolewa katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Orange (Orange County), California, huku wazima moto wakipambana usiku kucha ili kudhibiti moto unaosambaa kwa kasi kubwa. Kwa mujibu wa maafisa wa Mamlaka ya Moto ya Orange County (OCFA), eneo lililowekewa maagizo...
  6. S

    Nawezaje kubadili kozi katika Chuo Kikuu cha Dodoma

    Namna ya kubadili kozi kutoka sanaa ya kiswahili kwenda bachelor of arts with education
  7. MamaSamia2025

    Halmashauri ya Siha mliwaza nini kumpa barua ya uhamisho mwalimu huku mkijua hakuna hela za kumwezesha kuhama?

    Barua ya uhamisho mlitoa mwezi wa 11 mwaka 2025 halafu malipo ya kwanza Tsh 360,000/= mkatoa Januari 2026. Hivi kabla ya kuandika barua ya uhamisho hamkujua kuwa hakuna hela? Kinachokera zaidi pesa yenyewe mmelipa kwa mafungu karibia mwaka mzima. Na hii inawezekana ubishi wa mwalimu umechangia...
  8. Roving Journalist

    RESOLVED Wakazi wa Kijiji cha Maisha Plus wakubali kuhama kupisha kilimo cha Mkonge Wilayani Muheza

    Kaya 67 zinazoishi kwenye eneo la maarufu la Maisha Plus la Kitongoji cha Bago, Kijiji cha Msakangoto na Kata ya Kigombe Wilayani Muheza wamekubali kulihama eneo hilo, kumpisha mwekezaji wake kuendeleza upanuzi wa kilimo cha mkonge. Hatua hiyo imefikiwa baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga...
  9. Roving Journalist

    ACT: Kuna ukiukwaji wa Haki za Binadamu kwa Wakazi wa Kitongoji cha Miyomboni - Bagamoyo wanashinikizwa kuhama

    Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na kinalaani vikali ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ubomoaji wa makazi, uteketezaji wa mali, vitisho na ukatili unaofanywa na Kampuni ya Nolic kwa kushirikiana na Kampuni ya Kilimo ya Azania Noble dhidi ya wananchi wa Kitongoji cha Miyomboni Kijiji...
  10. Roving Journalist

    Tanzania yasisitiza UNESCO kuhama kwa hiari Ngorongoro ni kulinda utu na Haki za Binadamu

    Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia (WHC) ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kilichoanza Julai 19, 2026 kinaendelea jijini Busan katika Jamhuri ya Watu wa Korea. Mkutano huo unahudhuriwa na takriban watu 3,000, akiwemo Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO...
  11. Boeing787-8

    Je inawezekana mwalimu mwenye Degree kuhama kutoka halmashauri(shuleni) kwenda NECTA, TIE, NACTVET etc....?

    Hello, I hope mko poa. Mie ni mwalimu wa masomo ya Sayansi nafundisha shule moja ya Secondary hapa mkoani. Nimeajiliwa na serikali, 2 years ago. Sasa katika kutafuta changamoto mpya, nimekuwa nikiona matangazo ya kazi uko ajira portal, lakini nkitaka kuomba mfumo unakataa Kwa sababu Nina...
  12. Waufukweni

    Mchungaji Msigwa: Sikujua kama Watu walikuwa wamekasirishwa sana, mimi kuhama kutoka CHADEMA kwenda CCM

    Mchungaji Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chadema kwa miaka 10 (2010/20), alijiunga na CCM Juni 30, 2024 kabla ya kutangaza kurejea rasmi Chadema Mei 23, 2026 amesema; "Mimi sikujua kwamba watu walikuwa wamekasirishwa sana na kitendo cha mimi kuhama kutoka Chadema kwenda CCM...
  13. A

    KERO Kutohama kwa Mshahara wa Mtumishi baada ya kuhama kutoka halmashauri moja kwenda nyingine

    OW-TAMISEMI wanatumia vigezo gani kuhamisha mishahara na taarifa za utumishi? Kama wanataka rushwa waseme ili niwatumie wanihamishie taarifa zangu, haiwezekani mwaka wa pili huu tangu nihamie halmashauri nyingine lakini taarifa na mshahara zinasoma halmashauri nilikotoka hii siyo sawa...
  14. N

    Je, inawezekana Mtu kuhama taasisi?

    Wakuu kuna mtu kaniuliza sina majibu kamili.et Mtumishi anaweza kuhama taasisi kwenda nyingine?mfano kutoka TPA kwenda TRA lkn career moja na position zinafanana
  15. R

    Mchungaji Msigwa arusha jiwe gizani: Kuanguka kwa dola ni pale MTAWALA anapozidi nguvu mamlaka za Katiba na sheria,. nepotism and the like

    "Busara” za mchungaji Msigwa. Ziite utakavyo lkn kuna sense aliloliandika. Ameandika Mch. Peter Msigwa Historia inaonyesha: mataifa mengi duniani hayakuanguka kwanza kwa sababu ya vita au mapinduzi bali , Yalianza kudhoofika taratibu pale ambapo mamlaka isiyo rasmi inaanza kuogopwa kuliko...
  16. Mtemi mpambalioto

    RIDHWANI je ulimaanisha hakuna kuhama vituo kwa wanoanza kazi au wote hata wa zamani?

    NCHI MOJA MATAMKO KIBAOOO KILA WAZIRI AKIJA ANABADILI SERA je nyie hamuoni mnageuka MIUNGU WATU? Ridhwani tuambie je umemaanisha wanaonza kazi yaani First appointment ndio hawaruhusiwi kubadili vituo au kuhama au unamaanisha WOOTE hata wa zamani katika.maeneo yao? Nakukumbusha tu kupitia Bunge...
  17. Zee la madawa

    Naomba mnisaidie niweze kuhama

    Wakuu salaam, Naomba mnipe connection ili niweze kuhama kutoka halmashauri ili nihamie halmashauri x maana naona mfumo wa Ess sina hakika kama itaweza kunisaidia mimi kuhama kama kuna mjuzi wa kunisaidia ili nihame namuona inbox tafadhali
  18. blogger

    Hii Nchi kama unaweza kuhama haama. Na kamwe usirudi tena

    Yani ni Bora ukajipoteza kabisa Msikilizeni hapa Mwigulu alivyojibu swali hili la msingi kabisa. Nimechoka.😓😓
  19. Lagertha

    Nataka kuhama Dsm, nishauri niende Mkoa gani?

    Salaam wanajamvi, Naombeni ushauri wa kina, nataka kuhama jiji la Dsm je niende mkoa gani? Wenye maisha rahisi, vyakula vya kutosha, niweze kufanya biashara pia kwa maana ya mzunguko wa pesa upo, Tafadhalini mnishauri kwa upendo, nina vidonda vya tumbo.
  20. Da'Vinci

    Nafikiria kuhama Catholic

    Hi, Happy New Year. Binafsi nimekua mzito kushiriki ibada ya jumuiya, Misa za kanisani au mambo yoyote yahusuyo kanisa katoliki. Sijawahi kuwaza hivi toka nikiwa najielewa but now things are dreadful to me, nilikua naioenda sana hii imani and proud ila kwa sasa naona napoteza muda wangu...
Back
Top Bottom