kufungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msanii

    Siyo ramli chonganishi. Kufungwa kwa Lissu kuna mstaafu anapata usingizi sasa

    JK ahusiki nimeapa Namtaja mstaafu kapa Chawa we wajitapa Mitandaoni kama vipipa Alistaafishwa kwa pupa Msaliti mgegeda mifupa Utu wake kautupa Legacy ya kujipa Kitini anatamani kujitupa Code hiyo nimewapa
  2. Allen Kilewella

    Wanasiasa mashuhuri zaidi duniani walishawahi kufungwa

    Wanasiasa mashuhuri zaidi duniani, wengi wao walishawahi kufungwa. Achana na Nelson Mandela au Jomo Kenyatta, usifikirie kabisa kujikumbusha kuhusu Kamuzu Banda, hivi unajua nini kuhusu kufungwa kwa Kwame Nkrumah? Unajua kuwa Robert Mugabe aliwahi kufungwa? Tafuta taarifa za Olusegun...
  3. Carlos The Jackal

    Wakili Frank Lubasha: Serikali inayojitambua ni lazima Itumie Brain ya Lissu kwa Manufaa ya NCHI. Lissu sio wa kutukanwa, sio wa kufungwa!

    Niliwahi Mimi binafsi kuandika humu Jamiiforums, Ni ajabu sana Kuona watu waliofeli na wajinga wàjinga wasiokua na akili na wenye ELIMU za kuunga unga ovyoo, akina Samia, Mafwele, na magenge yao KUMSUMBUA LISSU. Lissu ni Mtu mwenye Akili isokua kawaida, huyu alishushiwa hili kipawa cha Akili...
  4. Keynez

    Jamhuri imemshtaki na kumfunga ila watu wanaounda hiyo Jamhuri hawajafurahi kufungwa kwake. Nani anatumia jina la Jamhuri vibaya?

    Serikali chini ya DPP imetumia jina la Jamhuri, imetumia rasilimali nyingi kumshtaki Tundu Lissu. Cha kushangaza hukumu imetoka ila kila mtu, kuanzia vyama vya upinzani, wanaharakati, wanasheria, wananchi wa kawaida, viongozi wa dini na hata makada wa CCM wanatoka kudai kuwa wamesikitika kuona...
  5. JF Member

    Mnao furahia Lissu Kufungwa naomba mnijibu

    Wale wale mnao furahia kufungwa kwa Lissu ndio hao hao wanaosema mazungumzo yanaweza kuwa njia ya kumtoa. Sasa swali la msingi ni hili: mnataka nini hasa? Kama mnaamini ana kosa na hastahili kuwa huru, kwa nini kuachiliwa kwake kutegemee mazungumzo ya kisiasa badala ya sheria na haki kutendeka...
  6. S

    Baada ya Lissu kufungwa, viongozi wa CHADEMA na watanzania wataona hawana tena cha kupoteza kwa kwenda jela

    Licha kuongeza chuki na hasira miongoni wa wanachadema na watanzania kwa ujumla, athari za hukumu hii ni kuwafanya viongozi wa CHADEMA na watanzania kwa ujumla kuona hawana tena cha kupoteza iwepo na wao watashitakiwa na kufungwa jela
  7. I

    Kilifi, Kenya: Paul Mackenzie afungwa miaka 200 jela kwa mauaji ya watu 191 - Shakahola

    Mhubiri tata Paul Nthenge Mackenzie amehukumiwa kifungo cha jumla cha miaka 200 gerezani kutokana na mauaji ya watu 191, wakiwemo watoto 190, katika mkasa wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi. Hukumu hiyo imetolewa Ijumaa, Novemba 6, 2026, na Jaji Diana Kavedza wa Mahakama Kuu ya Mombasa. Mahakama...
  8. Mtemi mpambalioto

    swali Kwa Wana CCM PEKEE! Je mmefurahia LISSU Kufungwa jela?

    Naomba mseme UKWELI nyie wenyewe je hii hukumu ya LISSU kisiasa mnaona imekaa sawa? Je mnafurahia katika ngazi ya chama kwamba mmeepata ushindi Kwa Kufungwa kwake? Hebu ngoja niwakumbushe tu! 1. Uchaguzi wa 2025 Chadema hawakushiriki na Lissu alikuwa jela! Walioandamana walikuwa wanasema...
  9. Carlos The Jackal

    LEMA waambie walokutuma, Hatuogopi kufungwa kwa sababu ya Ripoti za Kihuni za JAJI Chande na JAJI Lila,Kwann CCM hawataki uchunguzi Huru?

    Kama Viongozi wa CHADEMA wataishia Jela, swali la msingi ni Wanaishia Jela kwa Haki au Uonevu na Ukandamizaji??. Yaaan wewe LEMA mpumbavu, unataka CHADEMA iwapihie Magoti CCM eti sasa Viongozi wake wasifumgwe??? Wewe LEMA ni mjinga kupindukia, Badala ya kuwaambia Wananchi lazima Tupambane...
  10. M

    Mahakama ya Kilwa yamhukumu Muharami Hassan miaka 30 jela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

    Mahakama ya wilaya ya Kilwa imemhukumu Muharami Hassan Nayonga, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumkuta na hatia ya kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na watu mbalimbali. Muharami ambaye ni mlinzi na mkazi wa Kata ya Masoko, alikamatwa Aprili 13, 2023, baada ya kumshawishi kwa kutumia...
  11. Troll JF

    Tundu Lissu, Kufungwa siyo Mwisho wa Mapambano

    Nimesikia Mitandaoni Akina Rugemeleza Nshala wanasema kuwa Tundu Lissu anataka kuanza kugoma kula kuanzia Kesho. Nafahamu pia Tundu Lissu ni Mwanasheria Nguli na ameshaziona dalili za kusokotwa hiyo anapaza sauti ili asikike ni kawaida kwa mtu aliyezama kwenye maji kuhangaika kutaka kujiokoa...
  12. David Harvey

    Tushukuru kwa kufungwa yale magoli mawili, maana ilikuwa gharika kuu .

    Mpira ni mchezo wa kikatili! Lazima ukubali uwezo wa mpinzani wako. Kwa miaka 4 mfululizo Simba walikuwa wanapitia maumivu haya, leo ndio tumeelewa uchungu wao. Tumefungwa goli 2 tu lakini bado tunaumia! Sasa fikiria tulipowafunga goli 5, walikuwa wanajisikiaje? Tushukuru hizo goli 2, maana...
  13. M

    Tetesi: Chivayo, aliewahi kufungwa jela kwa utapeli na forgery kakimbia na vibubu kabla ya marejesho, kafoji ajali kuanza maisha mapya ughaibuni

    Baada ya kuangalia video hii nimejiuliza maswai mengi Kila mtu anasema kwa mwili ule hakika ni yeye, nguo alizojirekodi akiwa kenye helikopta zinafanana WHAT IF hata ile video iliyoanza kusambazwa haraka mara baada ya taarifa kuna mtaalam wa kupoteza watu alipewa bilioni 1 kuondoa viulizo...
  14. O

    ‘Tutaenda Wapi?’ Wagonjwa wa Sickle Cell Kisumu Waingiwa na Hofu Victoria Annex Ikikabiliwa na Kufungwa

    Wagonjwa wanaoishi na sickle cell mjini Kisumu wameingiwa na hofu kuhusu mustakabali wa matibabu yao kufuatia taarifa kwamba Victoria Annex, kituo kilichokuwa kimetengwa kutoa huduma maalum kwa wagonjwa hao, kinatakiwa kuondolewa katika eneo hilo. Baadhi ya wagonjwa wanasema walipewa taarifa ya...
  15. Roving Journalist

    Naibu Waziri akifungia kiwanda cha nondo ambacho amekuta kikiwa na risasi na kubaini ukiukwaji wa sheria za mazingira

    Kiwanda cha kuzalisha nondo cha Hanging Steel Factory Tanzania Limited kilichopo Kisenvule, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, kimefungwa kwa muda baada ya Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Reuben Kwagilwa, kubaini ukiukwaji wa sheria za mazingira pamoja na kukutwa...
  16. Jaji Mfawidhi

    Serengeti Boys kufungwa baada ya Siasa na Presha kuingizwa!

    Serengeti Boys , leo 22:00 hrs inacheza fainali na Senegal. Safari ilianza mbali na hakuna aliyekuwa anajua isipokuwa sisi wachache tuliokuwa tunaifuatilia kupitia youtube channela ya CAF WHERE TO WATCH: TotalEnergies CAF Under-17 Africa Cup of Nations Morocco 2026 Final. Wakati timu ilipofika...
  17. Zack Abdul

    Athari za Kiuchumi Oktoba 29,2025

    Tume ilibaini kwamba sekta ya elimu iliathiriwa kiuchumi pia, hasa shule za binafsi ambazo zilipoteza mapato ya ada wakati shule zilipofungwa. Walimu wa shule hizo hawakupata mishahara yao, na familia zilizowaongoza watoto wao kwenye shule za mbali zaidi pia zilibeba gharama za ziada za...
  18. Zee la madawa

    Kwahiyo wakristo wanaruhusu ndoa hizi kufungwa kanisani?

    Klabu ya Chelsea ya Wanawake imetangaza kuachana na Mshambuliaji wao hatari Sam Kerr raia wa Australia ambaye ameifungia magoli 115 klabu hiyo mpaka sasa akiwa ameitumikia klabu hiyo miaka sita na nusu. Miezi kadhaa iliyopita Sam Kerr alizua gumzo baada ya Kufunga ndoa ya Kanisani na Mchezaji...
  19. Da Dona

    Chelsea yamtimua Kocha Liam Rosenior baada ya mfululizo wa matokeo mabovu

    Klabu ya Chelsea FC imemfuta kazi kocha wake mkuu, Liam Rosenior, kufuatia mwenendo mbaya wa matokeo ndani ya klabu hiyo. Uamuzi huo umechukuliwa leo Jumatano Aprili 22, 2026 baada ya Chelsea kupoteza michezo mitano mfululizo ya ligi bila kufunga hata bao moja, hali iliyozua shinikizo kubwa...
  20. M

    Kufilisika kwa Sahara Media: Kodi kubwa za TRA zinaua Biashara au ni Usimamizi Mbovu wa kina Diallo?

    Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara imeamuru kufilisiwa na kufungwa rasmi (winding up) kwa Sahara Media Group Limited, kampuni ya Kitanzania inayojishughulisha na vyombo vya habari, huduma za uchapishaji, matangazo, na uhusiano wa umma. Wengi mtakuwa mnaifahamu kupitia Star Tv au Radio Free...
Back
Top Bottom