kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C-C Digital Pro

    Utajiri unapatikana kwa maombi au kufanya KAZI?

    Tuone.
  2. Roving Journalist

    Madereva 165 wa Malori walalamikia kushindwa kufanya mtihani wa mwisho VETA - MPANDA

    Madereva 165 ambao walikuwa wanasoma kozi ya udereva katika Chuo cha VETA Mpanda wameiomba serikali kuingilia kati sakata la kutofanya mitihani yao ya mwisho hadi sasa licha ya muda wa kozi hiyo kuisha zaidi ya mwezi mmoja sasa.
  3. Panctuality

    Uliwahi kufanya dhambi gani duniani hata ukajutia?

    Maisha ya mwanadamu yamejaa maamuzi mbalimbali. Wakati mwingine tunafanya mambo kwa sababu ya hasira, tamaa, ujinga, ushawishi wa marafiki, au kutokufikiria madhara yake ya baadaye. Baadhi ya matendo hayo yanaweza kutufanya tufurahie kwa muda mfupi, lakini baadaye yakatuacha na majuto moyoni...
  4. A

    KERO Wanafunzi wa SUA tunapata shida, hela za ada zilirudishwa HESLB na sasa tunashindwa kuingia kwenye mtihani

    Katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kuna wanafunzi ambao tulisaini makubaliano ya ada kulipwa kupitia HESLB, lakini fedha hizo zilirudishwa HESLB. Tulipowasiliana na HESLB, tuliambiwa ni hitilafu ya mfumo na kwamba suala hilo linashughulikiwa, hivyo tusiwe na wasiwasi. Hata hivyo...
  5. M

    KERO Mfumo UDOM una changamoto, wanafunzi wanashindwa kufanya usajili na UE imekaribia

    Baadhi ya Wanafunzi UDOM wamekwama kwenye issue ya usajiri na hii ni kutokana na mfumo wao wenyewe kuna muda unakuwa mzito ukiomba ktu kinachelewa muda mwengine control numbers zinakuja mbili mbili sasa kama sasa hivi dirisha limefungwa na hakuna dalili za kufunguliwa hadi leo na wakati huo huo...
  6. Optimists

    Hii ndio biashara ya kufanya Kwa kijana anayetaka kufanikiwa/kuongeza kipato.

    ukiwa na mtaji chini ya million 20 usijichanganye kwenye biashara za muonekano ambazo, taka, frame, TRA, manispaa, ulinzi n.k wote wanakuangalia wewe, na hii era tunayoenda nayo ndio basi tena, Kwa miaka ya Sasa mtaji wa 5M -10M ukiikimbiza kwenye frame labda uwe na rare skills ambazo watu...
  7. R

    Rai ya Jenerali Ulimwengu: UanaHARAKATI ndiyo njia sahihi ya kufanya siasa, vinginevyo ni utapeli wa siasa kusaka tonge kupitia vyama vya siasa

    Mwanasiasa asiye mwanaharakati ni tapeli anayesaka tonge kupitia kauli-mbiu na utambulishi wa vyama. Mwanaharakati ana lake jambo la kulisimamia kokote aliko hadi mwisho wake. Ukiniuliza mie, dharau wanasiasa, heshimu mwanaharakati
  8. bless on

    Usifikishe Miaka 60 Bila Kufanya Haya 6

    Wengi wanapenda kuiongelea miaka 40 Ila Mimi nitakuwa tofauti kidogo 👇 KABLA HUJAfikisha MIAKA 60, HAKIKISHA UMEFANYA MAMBO HAYA 6: 1. Jenga nyumba yako. Hata kama ni ya vyumba viwili, kuwa na makazi yako mwenyewe kunakupa utulivu, heshima na usalama wa maisha unapostaafu. 2. Weka akiba ya...
  9. M

    Hakuna mtu anaejua kesho yake na hakuna anaependa mateso lakini hadi sasa itoshe kushukuru sijawai kufanya kazi kampuni ya wahindi, waarabu au wachina

    Ukiachana na wachache kama kina Bakhresa, makundi hayo kazi ni msuli tembo lakini hadi hio hela umeipata ni kwa manyanyaso sana. Boss tajiri lakini ukichunguza mishahara wanayowalipa wafanyakazi wao unabaki shangaa
  10. MSAGA SUMU

    OSHA wanatoa cheti gani kwa mtu anayetaka kufanya kazi sehemu hatarishi kama mgodini

    Kwa mtu anayehitaji kufanya kazi eneo kama mgodi anahitaji nini, vyeti au matibabu yapi kutokea taasisi ya OSHA na gharama zake zikoje. Natanguliza shukrani
  11. Kipenzi Changu

    Wakongwe tumekuja kuwaonyesha madogo jinsi ya kufanya

    Ngoma zetu zimebaki kuwa kama nyimbo za ukombozi, zimekuwa ngumu kufutika kabisa.. Tofauti na hizi zetu kama pipi tofi, zinayeyuka hata bila kumumunya
  12. nzalendo

    Je? Naweza kufanya PHD kwa kutumia lugha ya KIswahili?

    Yaani nina andiko langu/ utafiti,,,,linalohusu namna ya kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbali mbali ya Tanzania kutokana na rasilimali zilizopo hasa kijijini... Je?..Kwa kifupi naweza pata Prof. wakunisimamia? kunipa muongozo?...lakini lugha nitakayotumia ni kiswahili labda nitachomekea...
  13. USSR

    Wasafirishaji wa Dar es Salaam wakataa kutumiwa kufanya maandamano ya kiharifu

    Kanusho bodaboda,bajaj na daladala hawaja tangaza kuuunga maandamano aidha wanawasihi wananchi kuyapinga kqa kuwa wao bila watu kwenda kutafuta hawapati chochote kitu
  14. ndege JOHN

    Mkeo akikuomba ruhusa ya kufanya kazi ya “Adult livestreaming” kwa mshahara wa milioni 2 kwa mwezi, utakubali?

    Mfano mke wako au mchumba anakwambia anataka afanye kazi ya online live streaming kwenye majukwaa ya watu wazima.hakuna kukutana na mteja yeyote ana kwa ana anafanya kila kitu akiwa chumbani nyumbani kupitia kamera. Wateja wote ni wa nje ya nchi na atakuwa analipwa takribani 70k kwa siku masaa 4...
  15. bless on

    Jinsi ya Kulifanya Jokofu (fridge) Lako Lidumu Miaka 10+

    JINSI YA KULIFANYA JOKOFU (FRIDGE) LAKO LIDUMU MIAKA 10+ Watu wengi hununua friji na kuliacha tu jikoni hadi pale linapoacha kupoza. Ukweli ni kwamba, friji ni kama gari; lisipopata "service" ndogo ndogo, litakula umeme mwingi na kufa kabla ya muda wake. Hapa kuna siri 5 za kitaalamu za...
  16. C

    Kufanya mazingaumbwe ni skill inayolipa sana

    Kaa wewe umeshajipata katika sekta yako mfundishe mtoto wako apaye skillz za kufanya illusion na mazingaumbwe. Kisha anaanza kutembea shule baada ya shule baada ya shule. kiingilio 500, sekondari buku anaenda ku perform mazingaumbwe Hapo atakua anatengeneza hela nyingi sana kwa performance...
  17. Fbn

    Nani mwemye mamlaka ya kuthibitisha wamekamatwa na ushaidi wanatumika au kufanya makosa.Maana kila mtu kawa kambale kuwa msemaji.

    Nikama uwezi kuelewa yupi IGP,RPC,OCD,Mwanajeshi,polisi,RC,DC, Mwaipopo, mwenyekiti wa kikundi cha bra bra mpaka raisi na waziri wake. kila mtu anakuja itelenjesia zake na uthibitisho wake. Huyu alishasema wageni,pesa zimetumwa,watu wamelipwa,mtu kapewa usd milion 1,mwaka jana kasahau sinema...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nini cha kufanya usiku wa full moon?

    Baadhi ya mambo ambayo watu hufanya ni: Kutembea au kufanya matembezi mafupi kwa mwanga wa mwezi (mahali salama). Kupiga picha za mwezi na mandhari ya usiku. Kupiga kambi au kutazama nyota. Kutafakari, kuandika malengo au kutumia muda wa utulivu. Kuhusu imani kwamba full moon huongeza nguvu za...
  19. figganigga

    Polisi: Changamoto hazitatuliwi kwa kurushiana Mawe, kufanya Vurugu bali kwa kukaaa pamoja, kuongea na kusahihisha kama Watanzania

    Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Alphonce Misime akieleza hali ya Ulinzi na Usalama katika maonyesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), amezumgumzia Amani ila hakuzungumzia haki. Kasema Baraka ambazo ametuwezesha Mwenyezi Mungu Pumzi inatuwezesha kufanya shughuli mbalimbali za...
  20. Etwege

    Kwa wale wanaowacheka watu waliojenga nyumba badala ya kufanya biashara

    Tangu zamani watu waliojenga nyumba kabla ya biashara wamekuwa wakiulizwa maswali ya kwa nini wasijenge biashara kubwa kwanza alafu ndio baadae wajenge nyumba, wanaouliza hayo maswali wanadai kujenga ni kuzika pesa! Dhana ya kwamba ukijenga unazika pesa siku hizi imeshika kasi baada ya...
Back
Top Bottom