kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Picha nzito ya historia ya evolution ya mtu mweupe. Sisi bado tupo na maswali ya namna ya kufanya zindiko zuri la utumbo wa samaki ili kupata wateja.

    Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani. Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" , 😁😁 no bro, you are just dumb The Worst Marcostilone mcTobby
  2. T

    Chumvini litakuwa jambo langu la mwisho kufanya hapa duniani

    Hiki kitu nimeshindwa kufanya kabisa kwa wanawakee kadhaa zaidi ya mara tano, kwa wanaoweza kwenda huko sijui wanatumia mbinu gani. Basi bhana wiki iliyopita kwenye pitapita zangu mitaa ya majengo hapa mkoani Arusha nikakutana na kabinti kamoja kazurizuri karefu kembamba , nikamsaundisha...
  3. Tlaatlaah

    Hongera Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, ndugu Alhaj Adam Omari Kimbisa kwa kuzifanya wilaya zote za mkoa wa Dodoma kua ngome kuu za CCM Tanzania

    Kwa hakika unafanya kazi nzuri na kubwa sana kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dodoma. Asante kwa kazi kubwa na nzuri unazofanya katika kuuheshimisha mkoa wa Dodoma na makao makuu ya nchi. Katika mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa mwaka jana, wakati wa kuteu na kuthibitisha jina la...
  4. G

    Kwamba vyombo vyetu vyote vya habari vimeshindwa kufuatilia Ili kufanya mahojiona na Makamu mstaafu Hadi mkuu Pascal Mayalla

    Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kuchimba habari ambazo zinaleta sintofahamu kwenye jamii. Ushindani wa vyombo vya habari ni kuwa wa kwanza KULETA habari Kwa wakati haswa zile za kiuchunguzi. Ndugu Pascal Mayalla tusaidie mahojiona na Makamu au ndugu wa karibu kuondoa sintofahamu ambayo...
  5. C-C Digital Pro

    Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu.

    AMANI HAIPO SAWA. Kwa mjibu wa Civilian-Coin: "Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu". Civilian-Coin
  6. Jannatul Firdaus

    "'Milango ya Mauti Imefunguliwa': Nabii Genoveva Atoa Onyo la Mwisho kwa Kajala Masanja Kufanya Toba"

    Nabii Genoveva, anayejitambulisha kama mtumishi wa Mungu, ametoa ujumbe mzito wa kiroho akidai kuwa mwigizaji na mfanyabiashara mashuhuri nchini Tanzania, Fridah Kajala (Kajala Masanja), yuko katika hatari ya kupoteza maisha muda si mrefu iwapo hatatubu madhambi yake na kutengeneza mfumo wa...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

    KUFANYA HARUSI NA MWANAMKE ALIYEMEZA MIKIA MINGI NI KUJICHORESHA NA KUJIZIMA DATA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. ANGALIZO; Mada hii sio nzuri kwa watu ambao hawana bikira na hawajaolewa. Na pia waliooa ambao wanawake wasio bikira. Na vijana wenye wachumba ambao hawakuwakuta bikira...
  8. C

    Waamuzi wanaofanya makusudi kufanya makosa na VFS ipo, wafukuzwe kabisa kuchezesha ligi

    Sitarajii TFF iwe na huruma na hawa waamuzi wanaofanya makosa maksudi licha ya wao kuwa na nafasi ya kupitia maamuzi yao kupitia vfs. TFF wawe na standard katika kushughulikia makosa yanayofanywa na wachezaji pamoja na waamuzi. Mfano ni Eli Sasii ambaye ameshindwa kutoa adhabu sahihi kwa beki...
  9. S

    Mtu anayehitaji kufanya biashara yoyote ile vitu gani azingatie?

    Kwa mtu anayehitaji kufanya biashara katika engo yoyote ile vitus gani azingatie
  10. Mstahiki Mea

    Mambo yanayoweza kufanya Ukishinda Beti (Mkeka usilipwe)

    Kwenye tasnia ya betting malalamiko hayaishi pengine ni kutokuwa na uelewa wa wahusika na wadau leo naona niorodheshe mambo ambayo yanaweza kusababisha usilipwe mkeka hata kama umeshinda na nihatua gani ya kuchukua ,, vile vile nitaeleza mambo yanayochelewesha malipo. UKIFANYA MAMBO HAYA...
  11. Gunner11

    Huwa najiuliza ni msanii gani anaweza kufanya hili

    Katika nchi iliyojawa na kukosa haki nani anayeweza kwenda jukwaani na kusema free Tanzania 🇹🇿 Nani anayeweza kupaza sauti free Lissu, free nchimbi, free pole pole? Sio kwamba hawapo ila wote ni machawa, wote wako insecure kukosa ugali wao, kutekwa, kuwa wamfano. It's not that hatuko free...
  12. M

    Tusiache kufanya checkup mara kwa mara

    Tusiache kufanya check up Miaka kadhaa nilipompokea Yesu Kristo kama Bwana na Mokozi wa Maisha yangu, nakumbuka siku ile ilikuwa ni ya kipekee kiasi kwamba ndani yangu kuliingia pendo kubwa sana ambalo sikuwai kuwanalo. Sikujua kwamba kumbe Mungu anatupenda kiasi kile , upendo ule ulipoingia...
  13. Crocodiletooth

    Kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar kwa udongo bado haitoshi, kuna la kufanya zaidi

    Ili kuwakatisha tamaa wale viherehere waisoutakia mema muungano wetu ipo haja ya dhati na thabiti ya kuona ni jinsi gani tutafanya ili muungano huu,tuupigilie msumari wa mwisho ili nia na akili za wale wachache wasioutakia mema muungano,nia zao za hovyo zisiweze kufikirika kwa namna yoyote ile...
  14. youngkato

    Unataka kufanya biashara ya kukodisha nguo za harusi? Usikurupuke kununua nguo nyingi…Jifunze hii kwanza!

    Biashara ya kukodisha nguo za maharusi inaweza kuwa na fursa kubwa kwa sababu harusi, send-off na sherehe mbalimbali zinaendelea kufanyika kila siku. Lakini kuwa na nguo nzuri pekee hakutoshi kukufanya ufanikiwe. Unahitaji kuielewa biashara yako na kuisimamia kwa mfumo. 1. 🎀 Chagua nguo...
  15. S

    Mwigulu aje hapa akanushe kuwa Lissu alipopigwa risasi Magufuli hakumwambia atangaze serikali haihusiki akakataa kufanya hivyo na Magufuli akamchukia!

    Nimeshangaa sana kuona leo hii Mwigulu Nchemba anasema waliompiga risasi Lissu walifanya hivyo ili ionekane serikali ilihusika. Niwaambie ukweli wa siku ya tukio la Lissu kupigwa risasi. Wakati huo Mwigulu Nchemba alikuwa waziri wa mambo ya ndani. Mara tu baada ya Lissu kujeruhiwa kwa risasi...
  16. PAYE

    NECTA: Watahiniwa 1,168,649 kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2026

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza kuwa jumla ya watahiniwa 1,168,649 waliosajiliwa kutoka katika shule za msingi 20,019 nchini watashiriki katika Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) kwa mwaka 2026. Mtihani huo wa kitaifa unatarajiwa kufanyika rasmi tarehe 9 na 10 Septemba...
  17. Brother Depo

    Iran Yaendelea Kuwaogopa Israel, Israel Yazidi Kufanya Mashambulizi Lebanon

    Bango kubwa kwa sasa ni Iran wazidi kuiogopa Israel. Wafuasi washabiki wanazi wakunwa wa Iran siku Tano zilizopita waliweka habari kwa mbwembwe na furaha kubwa kuwa Iran imetoa bonge la onyo kwa Israel endapo Israel watashambulia kusini mwa Lebanon eneo la Al Taher. Nikiwa kama mchunguzi wa...
  18. Mad Max

    Tesla Cybercab imeanza kufanya kazi rasmi baadhi ya majimbo USA. Sema Bei kwa route ni ya moto na demand kubwa sana!

    Kama mnakumbuka, October 2024 Tesla walikua na Event wakazindua Robitaxi zao wanazoziita Cybercab, unarequest gari (kama Uber), inakuja bila dereva, inakupeleka unakotaka kwenda. Easy. Tesla wamezindua Cybercab (Robitaxi) Tesla wamezindua Cybercab Robitaxi II Sasa kawaida ya Tesla, wanatangaza...
  19. Tlaatlaah

    Daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan huchukua hatua na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
  20. Carlos The Jackal

    Baada ya Kuahirisha Baraza Kuu, simmeona Wenyewe tangu Juzi Walofadhiliwa kufanya Fujo, wanavyojitokeza kujilopokesha?

    Sasa fikiria hizo kelele, ndizo zingeibuliwa pande zote , Kusingekuapo na Mkutano Tena, Bali Fujo Fujo ambazo Serikali na Msajili wangetumia!!. Sasa wameambiwa kwakua Mkutano umeahirishwa, ni Ama kurudisha Pesa za watu au Kuita Vyombo vya habari kumshambulia Heche
Back
Top Bottom