kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unapokataliwa na mwanamke usiumie wala kujiona hufai. Kisaikolojia Wanawake wamebobea kufanya bad decisions

    UNAPOKATALIWA NA MWANAMKE USIUMIE WALA KUJIONA HUFAI. KISAIKOLOJIA WANAWAKE WAMEBOBEA KUFANYA BAD DECISIONS. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii siri hutokuja uambiwe popote. Na bahati nzuri siri nyingi nilishakupatia. Na hii ni mojawapo. Kisaikolojia mwanamke ni kiumbe ambacho kimebobea...
  2. M

    BODI YA LIGI mkiachana na Gas detector tunawaomba mbia muweke kitengo maalumu cha kufanya Doping test.

    Habari wana Jf. Nimeisikia taarifa ya bodi ya ligi kuhusiana na mpango wake wa kuweka Gas detector katika mechi ya watani wa jani siku chache zijazo. Nawapongeza kwa hilo. Wito wangu kwao ni kuweka kitengo kitakachoshughulikia masuala ya doping test ili kupima matumizi ya madawa yaliyopigwa...
  3. T

    Kwa mwanafunzi, hivi ni lazima uipende taaluma yako?

    Nikiwaza hili ni jambo nitakalokuwa nafanya kila siku asubuhi hadi jioni kipindi chote cha maisha yangu kama chanzo changu cha kipato na utambulisho wangu , inachosha!, uhuru kidogo, naona kama niko boxed kwenye maisha. Inanilazimu kutafuta namna ya kuipenda hii taaluma ili niwe na moyo wa...
  4. Wakuu nishaurini 'side hustle' ya kufanya kwa Dodoma

    Miaka inaenda mshahara una koma moja naishia kula na kulipa watu kodi huku inabidi kuanzisha familia Kwa wenye uzoefu na mazingira ya Dodoma ni side hustle gani inaweza kuingiza kipato iwe mazingira ya mjini au hata pembezoni ila kwenye kata za watu wengi Kama kuna fursa yeyote ya biashara mtu...
  5. G

    Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu

    Ni maoni yangu hakuna haja ya maandamano mengi Kwa sasa Taifa litulie kwanza Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu Ikiwezekana uwepo mfuko MAALUMU wa kuwakumbuka wale wote waliopata...
  6. Nimejaribu kufanya YouTube kama Side Hustle nipunguze kulalamika kwenye Uzi wa Mshahara wa January: Sio rahisi aisee!

    Wakuu, niaje? Mwaka Jana mwezi September, nilikua na road trip ya Dar - Kigoma - Dar, nilidrive na nilikua na vituo kila mkoa/mji njiani. Nikaleta mrejesho hapa: Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia Mafuta ya Tsh 230,000/= tu! Wengi wanaulizia maswali mbalimbali na...
  7. M

    Katika kujenga Discipline (Nidhamu) hakuna vita kali kama Will Power Vs Self controll, Ni rahisi sana kusema I will do xx ila ni mtihani kufanya kweli

    Nidhamu au Discipline ni tunda la ku master Self Contoll mara kwa mara mpaka inakuwa sehemu ya maisha yako, lakini una kazi ya ziada ya kumechisha Self Controll na WillPower, Sio kazi rahisi. Will ni nia au maamuzi unayojiwekea. ndio maana kwenye kiingereza huwa tunasema i will ...
  8. Oktoba 2026: Tibeli women, mwanamke mjenzi. Nitasimama

    OKTOBA 2026: TIBELI WOMEN, MWANAMKE MJENZI. NITASIMAMA. Kwa wale Wanawake na Mabinti za Tibeli, na Wanaume wenye mabinti, Wake na wanaopenda Wanawake zao. Mimi Mtibeli, Baba yenu. Nimeutenga mwezi huu mzima. Utakuwa Mwezi wa wanawake wa Tibeli, MWANAMKE MJENZI, kauli mbiu yetu itakuwa...
  9. A

    KERO Malalamiko kuhusu kukamatwa kwa mama yangu Buza, bila uthibitisho wa makosa aliyoyafanya

    Jana nilipigiwa simu na mke wangu nikapewa taarifa kwamba mama yangu amekamatwa Buza kwa Lulenge na jiji kwenye eneo lisiloruhusiwa kufanya biashara, japo hapakuwa hata na uthibitisho kwamba anauza bidhaa yoyote. Wakawachukua na baadhi, wengine waliokamatwa wamechukuliwa pesa zao na wengine...
  10. Nini cha kufanya begi lako/ mzigo unapokuwa haujafika kwenye mkanda wa kupokelea mabegi?

    Chini ya Mkataba wa Montreal (Montreal Convention), mashirika ya ndege yana wajibu wa kisheria kuwajibika kwa mizigo iliyopotea, kuharibika au kuchelewa. Begi kutofika kwenye mkanda wa kusafirisha mizigo 'baggage carousel' katika uwanja wa ndege si lazima imaanishe limepotea kabisa. Mara nyingi...
  11. Taifisheni mabasi yote yaliyogoma kufanya kazi Leo hii ni hujuma dhidi ya uchumi wetu

    Husika kichwa cha habari hapo chajieleza, kugomea kufanya kazi kwa basi ambalo lilisajiliwa kufanya kazi ya kusafirisha abiria ni hujuma kubwa sana. Hebu jiulizeni wagonjwa wangapi wameshindwa kupata huduma za afya? Watoa huduma wangapi wameshindwa kutoa huduma kwa kushindwa kusafiri? Hii...
  12. Kutokana na mgomo wa mabus na Malori leo ndo ingependeza wenye gari binafsi kufanya road trip kabambe

    Salaam wakuu. Kama heading inavyojieleza, kwa siku ya leo barabara haina msongamano kabisa hivyo kama una road trip yako na gari yako binafsi leo ilikua siku safi sana ya kutembea na kuipima mapafu chuma yako bila ya usumbufu wa manjagu. Nawasilisha
  13. Nilipokuwa yanki miaka 10+ na 20s nilidhania siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidiii, sikuwa sahihi, siri ya mafanikio ni connection na favour

    Pesa ni numbers, pesa sio maneno, pesa sio process yoyote, Pesa ni numbers. Kumbuka una hela ila hauna pesa
  14. MATANGAZO YA TAHADHARI YA EL NIÑO YANATUTIA HOFU BADALA YA KUTUPA MAJIBU YA KUFANYA

    Matangazo ya mara kwa mara kuhusu El Niño yameanza kuwapa hofu baadhi ya wananchi. Wakati mwingine mtu anafikia hatua ya kusita hata kufanya mambo ya msingi kwa sababu anawaza, “Itakuwaje?” Maana ukweli ni kwamba, nyumba nyingi tunazoishi ni za hali ya kawaida tu na si kila mtu ana uwezo wa...
  15. A

    Malalamiko kuhusu utoaji huduma katika Zahanati ya Mkolowony Moshi DC

    Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu hali ya utoaji wa huduma za afya katika Zahanati ya Mkolowony iliyopo Moshi DC. Zahanati hiyo imeruhusu mtu ambaye si mtaalamu wa afya kutoa huduma kwa wagonjwa. Kinachotia wasiwasi zaidi ni taarifa kwamba mtu huyo anahusika hata katika kutoa sindano kwa...
  16. Maskini hawana kazi ya kufanya, ndio wanaojifanya wana uchungu na ushoga. Ndio wanaompa airtime Dudubaya

    Let's say Juma na Salum wanafanya mapenzi wao kwa wao wewe ambaye hufanyi inakuuma nini? Unaathirika vipi? Biashara zako na kazi zako haziendi kwakuwa kuna wanaume 2 Dar wanageuzana? Maskini hajui Sheria wala haki zake na za watu wengine. Watu walioendelea huko USA na kwingineko wameona ni...
  17. M

    Ni aibu kubwa kwa serikali na nchi kumfungia kufanya sanaa mtu anayepambana kurekebisha hali mbaya iliyopo ya mmomonyoko wa maadili katika jamii.

    Wanaume wote wapo pamoja na dudu baya. Wamama,wadada hadi wabibi wanaowapenda na kujivunia vijana wao wakiume,wanaunga mkono kampeni ya dudu baya. Kwa kifupi watanzania wote [ukiwatoa mashoga,wasagaji na basata] ya serikali ndio hawaoni jambo jema,tukufu na la kheri analofanya dudubaya. Hii la...
  18. A

    KERO Wananchi Halmashauri ya Biharamulo tunalazimishwa kufanya usafi huku tukilipa fedha za usafi kila mwezi

    Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo imekuwa ikitoza ada ya usafi kwa kila kaya, ofisi na wafanyabiashara. Wananchi wamekuwa wakilipa fedha hizo kwa matarajio kwamba zitatumika kuboresha usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya umma, ikiwemo kusafisha mifereji ya maji na maeneo mengine...
  19. Mwanamke akabiliwa na mashtaka ya kufanya Ngono na mbwa

    Malia Elizabeth, mama mwenye umri wa miaka 38 kutoka Florida, nchini Marekani, alikamatwa kwa tuhuma za kufanya vitendo vya kingono na mnyama, baada ya mume wake ambaye walikuwa wametengana kugundua video ya kamera za usalama ikimuonyesha akifanya kitendo hicho na mbwa wao wa familia aitwaye...
  20. Kushindwa kufanya tendo. Naombeni msaada wanaume wenzangu

    Hellow wanandugu jamaa. Nina changamoto kwenye suala la kufanya mapenzi, yani nikianza tu huwa nahitaji kuwahi kumaliza, la sivyo mambo yanakwenda haraka. Baada ya hapo huwa sirudii tena, hamu inakata. Mazoezi nafanya, yani sijui nini shida, stress au nini. Naombeni msaada wanaume wenzangu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…