kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Askari wa Israel waendelea kufa Gaza.Maelfu watakiwa kwenda kupigana, huku wengi wakigoma.Netanyahu avunja safari ya nje.

    Waziri mkuu wa Israel amevunja ghafla safari yake iliyopangwa kwenda Azerbajan wakati wito wa maelfu ya askari wa akiba umetolewa ili waende kuongeza nguvu kupambana na huko Gaza. Hali hiyo imekuja ikiwa ni zaidi ya miaka miwili ya vita na jeshi la Israel likiwa limefunga mipaka yote ya Gaza na...
  2. DOKEZO Walaji wa nyama ya ng'ombe kwa sasa tupo hatarini kufa, kupata kansa ya Koo, Kuvimba kongosho na Figo kupoteza uwezo wake !

    Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache kabla ya kwenda kuchinjwa ! Na pia zinachomwa shindano zinapokaribia kusafirishwa na mlaji anaipata...
  3. M

    Maisha baada ya kufa

    Kuna pepo na kuna moto Maisha ya Watu wa Peponi (Ahli Jannah) Sifa Kuu za Peponi: Neema zisizoisha: Kuna mito ya asali, maziwa, mvinyo usioharamisha, na maji safi (Qur’an 47:15). Makazi bora: Nyumba za dhahabu na fedha, zenye mito inapita chini yake (Qur’an 18:31). Chakula na matunda...
  4. Nimekumbana na matusi ya kufa mtu kutoka kwa GenZ kisa nimehoji uhakiki wa "maendeleo" anayofanya Ibrahim Traore

    Huyu dogo alichukua uongozi kimabavu na baada ya hapo akawa anasifiwa Afrika yote na mitandao ya kijamii, sawa tufumbie macho hilo la kutumia nguvu kwenye kuchukua uongozi, maana kuna viongozi wengine huganda kwenye uongozi na kuharibu nchi mpaka unatamani tu hata jeshi lichukue nchi, tuje...
  5. S

    Je unaweza kufa juu

    wakati wa tendo la ndoa ,nisaidieni sababu ili ka zinaepukika . Je iliwai kukutokea ?
  6. Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

    Wakuu habari zenu, Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine . Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife! 1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa 2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo...
  7. Adhabu ya Kunyongwa hadi Kufa haitekelezeki

    1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea 2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
  8. U

    Jenerali wa mwandamizi Jeshi la urusi auawa Kwa mlipuko wa bomu lilitotegwa kwenye gari jijini Moscow

    Wadau hamjamboni nyote? Jenerali wa Urusi, Yaroslav Moskalik, ameuawa katika mlipuko wa bomu uliotokea ndani ya gari aina ya Volkswagen Golf jijini Moscow. Anaaminika kuwa miongoni mwa viongozi wa kijeshi wa Urusi waliolengwa na Ukraine ndani ya ardhi ya Urusi, ingawa Ukraine haitoi uthibitisho...
  9. CCM na Dola, Ndoa yao ilifungwa Mwaka 1961, Maisha waloyaishi na kuyaishi Sasa, Kila Mmoja ni lazima ambebe mwenzake Kwa Jasho na Damu hata Kufa

    Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!. Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia. Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
  10. M

    Kama Tundu Lissu anasema haogopi kufa ilikuwaje hadi akamkimbia Magufuli? Jeła sio kuzuri tusidanganyane

    Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa. Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena. Sasa mtu...
  11. Je, unajua? Ubatizo wa maji mengi ni ishara ya mtu kufa na kufufuka na Yesu Kristo

    Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na Kristo. Na anapotoka majini, ni ishara ya kufufuka pamoja na Yesu na kuanza maisha mapya ya...
  12. Nimefurahi sana CHADEMA kutokwenda kusaini kanuni za maadili, mwaka huu hakuna mgombea atayepotea , kutekwa wala mwananchi kufa kwa sababu ya Uchaguzi

    Wasalaam ndugu zangu Binafsi nawapongeza CHADEMA kutokwenda kusaini kanuni za maadili kwa sababu naona wamejitambua kwa sababu zifuatazo: 1.Uchaguzi ni fursa ya kwa wanachi kuchagua viongozi wanaowahitaji kulinga na muda na mazingira yaliyopo.Kupima wagombea kulingana na sera zao kisha...
  13. Huko Yemen magaidi wa Ki-houthi wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu kutoka majeshi ya Marekani

    Magaidi wa Houth wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Marekani. Kipondo hicho kimefanya wapate kiwewe na walipohojiwa huku wakiwa wamebugia miru hi mdomoni walisema “ Imekuwa kila usiku watu wana kosa Amani maana hatujui leo Marekani itashambulia wapi, maisha kama haya ni lazima...
  14. Morogoro: Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua baba yake mzazi na kumzika

    Mahakama ya Kuu Kanda ya Morogoro imemhukumu kunyongwa hadi kufa mshtakiwa Amos Martin Masua mkazi wa Kingolwila mkoani Morogoro kwa kosa la kumuua baba yake mzazi Martin Masua (84) mkazi wa Kidunda na kumzika pembeni ya nyumba yake. Hukumu hiyo imetolewa Aprili 4, 2025 na Jaji Aisha Sinda...
  15. Baada ya majeshi ya Marekani kushusha kipondo cha kufa mtu huko kwa wahouthi Iran asalimu amri kuondoka huko Yemen

    Iran imeripotiwa kuwaamuru wanajeshi wake kuondoka Yemen na inapunguza uungaji mkono wake kwa Wahouthi huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya anga ya Marekani dhidi ya kundi hilo la waasi. Gazeti la Telegraph la Uingereza limemnukuu "afisa mkuu wa Iran" akisema kwamba Tehran inapunguza uungaji...
  16. CCM/DOLA, Sasa mmepata Mpinzani wa kweli , hayumbishwi, hatetereki , hanunuliwi, Haogopi Kufa Wala Kufungwa !!.

    Kama Kuna mwanaCCM kaisikiliza Hotuba ya LISSU kwa kutumia Akili zake with Open Heart and clear Mind , bila uchawa Wala kutanguliza matumbo na bila kushupaza Shingo. Mtakubaliana namimi, MWAKA 2025 BILA MABADILIKO YA UCHAGUZI, NCHI HII KITANUKA KITU KIKUBWA AMBACHO HAKIKAWAHI KUTOKEA !!. Na...
  17. J

    Vikundi/ vyama vya KUFA na KUZIKANA vinaleta ustawi gani katika jamii?

    Utamaduni ni jambo ambalo linanguvu saana, Hata wataalamu wa mambo ya kijamii wanasema ili uweze kubadilisha utamaduni wa sehemu fulani inaweza kuchukua hata miaka 50. Katika jamii zetu kumekuwa na desturi au kaida za kuisaidiana katika Sherehe mbalimbali kama harusi, birthday, vipaimara...
  18. Ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kipelekea kufa

    Ninapoishi kumezuka huu ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kushindwa kula na kufa kabisa. Kama akichinjwa kabla hajafa akipikwa hutoa mafuta mengi wastani wa mils 100 na kuendelea. Mwenye kujua tiba yake nahitaji kujulishwa tafadhali.
  19. Maelfu ya watu waandamana kaskazini ya Gaza kupinga vita, wakiimba hatutaki kufa na damu za watoto wetu sio nyepesi.Acha vita.

    Kulingana na shirika la habari la kipalestina la Wafa,maelfu ya watu yaliingia kwenye vichohcoro vya vifusi vya nyumba zao zilizovunjwa wakiimba kwa sauti huku wamebeba mabango wakisema hawataki tena kufa na hakuna kuhama. Kimsingi maandamano hayo yalikuwa ni kupinga vita visiendelee na wala sio...
  20. K

    Ushahidi huu, Simba hawakuwahi kufanyiwa vurugu popote mechi ya Dabi

    Ukitazama video hiyo hapo chini, hakuna mahali popote Simba walipofaniwa vurugu kabla ya mechi ya Dabi zaidi ya kuzuiwa tu kuingia uwanjani. Hakuna mtu aliyesukumwa, hakuna mtu aliyepigwa ngumi, hakuna mtu aliyepigwa hata kibao na wala hakuna jiwe lililorushwa labda likavunja kioo. Isitoshe watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…