Huyu dogo alichukua uongozi kimabavu na baada ya hapo akawa anasifiwa Afrika yote na mitandao ya kijamii, sawa tufumbie macho hilo la kutumia nguvu kwenye kuchukua uongozi, maana kuna viongozi wengine huganda kwenye uongozi na kuharibu nchi mpaka unatamani tu hata jeshi lichukue nchi, tuje...
Wakuu habari zenu,
Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine .
Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife!
1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa
2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo...
1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea
2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
Wadau hamjamboni nyote?
Jenerali wa Urusi, Yaroslav Moskalik, ameuawa katika mlipuko wa bomu uliotokea ndani ya gari aina ya Volkswagen Golf jijini Moscow. Anaaminika kuwa miongoni mwa viongozi wa kijeshi wa Urusi waliolengwa na Ukraine ndani ya ardhi ya Urusi, ingawa Ukraine haitoi uthibitisho...
Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!.
Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia.
Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa.
Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena.
Sasa mtu...
Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na Kristo. Na anapotoka majini, ni ishara ya kufufuka pamoja na Yesu na kuanza maisha mapya ya...
Wasalaam ndugu zangu
Binafsi nawapongeza CHADEMA kutokwenda kusaini kanuni za maadili kwa sababu naona wamejitambua kwa sababu zifuatazo:
1.Uchaguzi ni fursa ya kwa wanachi kuchagua viongozi wanaowahitaji kulinga na muda na mazingira yaliyopo.Kupima wagombea kulingana na sera zao kisha...
Magaidi wa Houth wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Marekani. Kipondo hicho kimefanya wapate kiwewe na walipohojiwa huku wakiwa wamebugia miru hi mdomoni walisema
“ Imekuwa kila usiku watu wana kosa Amani maana hatujui leo Marekani itashambulia wapi, maisha kama haya ni lazima...
Mahakama ya Kuu Kanda ya Morogoro imemhukumu kunyongwa hadi kufa mshtakiwa Amos Martin Masua mkazi wa Kingolwila mkoani Morogoro kwa kosa la kumuua baba yake mzazi Martin Masua (84) mkazi wa Kidunda na kumzika pembeni ya nyumba yake.
Hukumu hiyo imetolewa Aprili 4, 2025 na Jaji Aisha Sinda...
Iran imeripotiwa kuwaamuru wanajeshi wake kuondoka Yemen na inapunguza uungaji mkono wake kwa Wahouthi huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya anga ya Marekani dhidi ya kundi hilo la waasi.
Gazeti la Telegraph la Uingereza limemnukuu "afisa mkuu wa Iran" akisema kwamba Tehran inapunguza uungaji...
Kama Kuna mwanaCCM kaisikiliza Hotuba ya LISSU kwa kutumia Akili zake with Open Heart and clear Mind , bila uchawa Wala kutanguliza matumbo na bila kushupaza Shingo.
Mtakubaliana namimi, MWAKA 2025 BILA MABADILIKO YA UCHAGUZI, NCHI HII KITANUKA KITU KIKUBWA AMBACHO HAKIKAWAHI KUTOKEA !!.
Na...
Utamaduni ni jambo ambalo linanguvu saana, Hata wataalamu wa mambo ya kijamii wanasema ili uweze kubadilisha utamaduni wa sehemu fulani inaweza kuchukua hata miaka 50.
Katika jamii zetu kumekuwa na desturi au kaida za kuisaidiana katika Sherehe mbalimbali kama harusi, birthday, vipaimara...
Ninapoishi kumezuka huu ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kushindwa kula na kufa kabisa.
Kama akichinjwa kabla hajafa akipikwa hutoa mafuta mengi wastani wa mils 100 na kuendelea.
Mwenye kujua tiba yake nahitaji kujulishwa tafadhali.
Kulingana na shirika la habari la kipalestina la Wafa,maelfu ya watu yaliingia kwenye vichohcoro vya vifusi vya nyumba zao zilizovunjwa wakiimba kwa sauti huku wamebeba mabango wakisema hawataki tena kufa na hakuna kuhama.
Kimsingi maandamano hayo yalikuwa ni kupinga vita visiendelee na wala sio...
Ukitazama video hiyo hapo chini, hakuna mahali popote Simba walipofaniwa vurugu kabla ya mechi ya Dabi zaidi ya kuzuiwa tu kuingia uwanjani. Hakuna mtu aliyesukumwa, hakuna mtu aliyepigwa ngumi, hakuna mtu aliyepigwa hata kibao na wala hakuna jiwe lililorushwa labda likavunja kioo. Isitoshe watu...
Nimewaza tangu enzi za utumwa mpaka Sasa, katika vitu waafrika wanaogopa Sana ni kifo.
Ukichunguza kwa makini waafrika tunawaza zaidi kufa na baada ya kifo kuliko kuishi kabla ya kifo.
Tunawaza tukifa kitatokea nini badala ya kuwaza tunavyoishi kabla ya kufa maisha yetu yana thamani ipi...
Hakuna tena vizuizi vyovyote vya kisayansi vinavyotuzuia kutoa nakala yawanadamu. (Human cloning)
Mnamo mwaka wa 2018, wanasayansi wa China walifanikiwa kuunda nakala ya macaque wawili wanaokula kaa, Zhong Zhong na Hua Hua, na hivyo kuashiria Kwa mara ya kwanza kwa sokwe kuwahi kuumbiwa nakala...
Dini zimekuwa zikitumia kifo kama dhana ya kutisha toka na ujinga na ujanja ujanja wa kutaka kuwatisha ili kuwatawala na kuwaibia waumini. Mara utaingia motoni, mara peponi. Nani amewahi kwenda kule? Wengine huenda mbali na kuelezea ilivyo pepo au motoni. Yote uongo mtupu. Ni ngano za kutishana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.