Muda mwingine unaweza kukubali kuwa Yanga ni sikio la kufa iwapo km suala la Fei Toto litawabwaga chini. Je Yanga hawakupata somo kupitia kwa Morison?
Ni kweli Yanga Wana wanasheria tena mahili, lakini sio kila nwanasheiria ni mjuzi wa sheria zote na Duniani kote hakuna mtu anasomea sheria kwa...