kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hali ya watu kufa kwa kurushwa dirishani yarejea tena Urusi baada ya uasi

    Haya mambo ya mahasidi wa Putin kufa kwa kurushwa dirishani yalikua yametulia, naona yanarejea tena... RUSSIAN bank vice-president has mysteriously died after plunging from a window at her apartment in Moscow. Loko-Bank executive Kristina Baikova, 28, reportedly fell out of the window of an...
  2. JamiiForums Tanzania Kufanya kila kitu kwa wakati ni kuwahi kufa

    Umesoma kwa wakati, umeoa/umeolewa kwa wakati, umepata watoto kwa wakati, umekuwa na kipato kwa wakati, umesomesha kwa wakati na kila kitu kimekaa sawa kwa wakati. Maana yake hata kufa utakufa kwa wakati/mapema baada ya kukamilisha mambo yako.
  3. JamiiForums Tanzania Mnaishije bila kwenda kwa mganga wa kienyeji? Una mnatake risk tu mnaumwa na kufa imetoka hiyo?

    Delete this post Nimepost kimakosa
  4. JamiiForums Tanzania Wanne wahukumiwa kunyongwa hadi kufa Tabora

    Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imewahukumu kunyongwa hadi kufa washtakiwa wanne wakazi wa Kata ya Usunga Wilaya ya Sikonge kwa kosa la kumuuwa Alfred Lusamalo aliyekuwa Diwani (CCM) miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020. Waliohukumiwa kunyongwa ni Nelson Mlela (37), Masemba Lusangija...
  5. JamiiForums Tanzania Alikiba sio wa kufa kimziki leo, bado sana

    Wakuu, Alikiba huyu ni mkongwe kama tujuavyo. Kadri muda ulivyosogea watu walitabiri kifo chake cha kimziki, ingawaje wale alioanza nao kuimba wengi wamepotea. Nimesikiliza hizi nyimbo mbili latest; Mahaba na On fire, niseme tu huyu mtu bado sana kupotea, sio leo wala kesho, hii on fire...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Musa utashangaa ya Firauni; aliyesingiziwa kufa aomba rambirambi zake huko Mtwara!

    Taharuki yatanda kwa wananchi wa kijiji na kata ya Nanganga mkoani Mtwara, baada ya kupata taarifa ya kifo cha Simon Mchekura maarufu ‘Samora’ ambaye mwili wake ulidaiwa kuokotwa na Jeshi la Polisi katika kijiji cha Nyengedi, mkoani Lindi, na kuhifadhi kwenye Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Lindi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza Mtaalam kwa Kiswahili tofauti ya Kufa Kiume na Kufa Kishujaa kasema ni maneno yenye maana sawa tu

    Kuna Wendawazimu nchi fulani Jumamosi walikuwa na Furaha ya Kazi bure iliyopelekea Kupokea Hirizi za Kuvaa Shingoni kutoka Uarabuni huku Wenzao wakibeba Ndoo yenye Madini na walivyorudi Makwao wanajisifia kuwa Wamekufa Kishujaa wakitaka Kujitofautisha na Wenzao ambao Wao walisema walikufa Kiume...
  8. JamiiForums Tanzania FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

    Leo ndiyo nngwe ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ikiikutanisha timu ya USM Alger ya nchini Algeria na Yanga SC ya Tanzania ambapo Yanga itakuwa ugenini. Katika mchezo wa kwanza Yanga ilipoteza 2-1 katika uwanja wa Benjamini Mkapa. Timu hizi katika historia zimeingia fainali kwa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DJ aliyerekodi Video wakati mkewe akinywa Sumu hadi kufa, akamatwa na Polisi

    Jeshi la Polisi Nchini #Kenya, linamshikilia kwa mahojiano, #DJBrownskin (Michael Macharia Njiiri) anayedaiwa kurekodi tukio hilo ambalo limetajwa kuwa ni kosa la kusaidia kuua, kinyume na Kifungu cha 225 (c) cha Kanuni ya Adhabu. Upande wa Upelelezi umesema DJ huyo aliacha bila kuchukua hatua...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

    Bila salamu naandika kwa uchungu nilionao moyoni nataka sumu zote zitoke Leo. Miaka tisa iliyopita niliingia kwenye mahusiano na mtoto wa binamu yangu. Nilikuja kuomba ushauri hapa baada ya penzi kukolea. Thread hii hapa: Nampenda sana mtoto wa binamu yangu, nitaruhusiwa kumuoa? Miaka mingi...
  11. JamiiForums Tanzania Hili la Joel ( Joe ) na Kujirusha Kwake hadi Kufa Ghorofa la DERM Makumbusho linaanza kunipa Mashaka Kifikra na Kimtizamo

    Kauli ya Mlinzi kuwa Marehemu Joe alimwomba aende Msikitini Kuswali imenichanganya. Hivi kumbe akina Joel ( Joe ) huwa ni Waislamu? Kauli ya Mkewe kuwa Mumewe aliwahi kumwambia anataka Kuongeza Mke wa Pili na akamkatalia ndipo Mzozo ulipoanza ndiyo imenichanganya zaidi. Hivi kumbe Siku hizi...
  12. JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Nilivyonusurika kufa kwa kujirusha Jengo la Mwanjonde, Malimbe Cumpus

    Ni miaka kadhaa imepita baada ya kunusurika kujitoa uhai wangu. Chanzo cha hayo yote ni maisha duni Niliyoyapitia kipindi nipo pale cumpus, nilikuwa naipambania Diploma yangu ya kwanza. Sasa baada ya kukosa msaada home yani kama nilisuswa hivi hasa ikanibidi niingie mtaani kusebenza nipate...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamke wa kufa na mwanaume mmoja wala mwanaume wa kufa na mwanamke mmoja

    aAshampoo jana nilienda kusuluhisha ndoa fulani huko sasa wakaniuliza ashampoo kama mjomba una ushauri gani nikajibu hakuna wakufa wa ndizi moja wala wa kufa na kitasa kimoja mvumiliane tu mrudiane. Sijui walinielewa hakunielewa nikakaa kimya Nisipotezee muda sana nataka niwahi...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Madaktari (MD) nao wanaumwaga na kulazwa kabisa au hadi kufa?

    Hello, Mimi kama Wadiz a.k.a Baharia Naumia sana na roho mbaya, majidai na dharau za za baadhi ya Madaktari kwa wagonjwa ni kero tishio, baadhi wanajikuta sana hadi najiuliza hivi hawa wana kinga ya kuumwa na kufa, au wana bima ya uhai wa maisha yao. Kuna wimbi la kutuandikia madawa lundo...
  15. JamiiForums Tanzania Nliishi kwa shida na kukaribia kufa ndani ya Miezi ya moto

    Hiki kilikuwa kipindi kigumu sana katika maisha yangu. Nlikonda ghafla, nikawa na mawazo wakati wote na nikawa nashawishika kunywa sumu. Nliona hiyo ndo ilikuwa njia rahisi pia kuniondolea mawazo na manyanyaso ambayo naelekea kuyapata. Nlikuwa nimesafiri kwenda mkoa flani kikazi kama week 3...
  16. JamiiForums Tanzania Kisa dislike watu mnajisikia kufa duuuh, asee I doubt your self worth

    Wakuu, za sahizi tena Nipo hapa nacheka kaa fala, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hii ni baada ya ku dislike baadhi ya comment za watu na mtu akaamua kunianzishia thread Asee hivi nyie watu mnajua mnabishana na mtu mwenye miaka mingapi hivi, Maana najua humu wengi ni watu wazima sana mostly 28+ huko Sema mpo...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati Gani Mtu Anapaswa Kufa?

    Ni wazi kwamba kifo kipo na kitatokea kwa kila mtu. Kwa asili, kifo sio jambo baya; ila jambo baya ni, namna kifo kinavyotokea na pia kushindwa kujua kwa uwazi nini kinaendelea baada ya mtu kifo. Tunapata uchungu na huzuni mkubwa ndugu zetu wanapokufa si kwa sababu ya kifo chenyewe isipokuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ishu sio kufa, ishu nyumbani umejenga?

    Samaleko wana Jukwaa na Moderators kwa ujumla. Unapotokea msiba wa mtu maarufu hapa nchini kuanzia Viongozi, Wafanyabiashara na Wasanii kumekua na mtindo kwenye mitandao hii Jamii watu wakitaka kufahamu mazingira na nyumbani kwa mfiwa kuna Nyumba nzuri? Amejenga? Ni mtindo uliozuka baada ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna "jam" ya kufa mtu hapa Maseyu-Morogoro!

    Tumekuwa kwenye foleni ya magari toka Saa 7 mchana, Hadi muda huu wa saa 11 jioni, ndiyo foleni hiyo ya magari imeanza kufunguka. Tunaomba watu wa "traffic Police" watueleze tatizo lilikuwa nini? Kwa kuwa watu wengi wameathirika Sana Kwa kuchelewa kufika makwao Kwa zaidi ya massa 3
  20. JamiiForums Tanzania Wakili: Deni la Membe kwa Musiba liko palepale

    Wakili Jonathan Mdeme, aliyekuwa akimwakilisha mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Bernard Membe (69) kwenye kesi dhidi ya mwanahabari Cyprian Musiba, amesema deni la waziri huyo wa zamani wa mambo ya nje kwa Musiba liko palepale na msimamizi wa mirathi ataendelea alipoishia. Membe ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…