kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kliniki ya Ardhi yafanyika kuelekea wiki ya Afya mahala pa kazi Njombe

    Katika kuelekea wiki ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi mwaka 2026 Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Njombe pamoja na Halmashauri ya Mji zimeanza kutoa huduma za Kliniki ya Ardhi kwa wananchi katika viwanja vya Mjimwema, mkoani Njombe April 26, 2026. Akizungumza katika Kliniki hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Chande: Hatua Kuelekea Mustakabali Imara

    Sasa ni wakati wa kupona, kuwajibika na kusonga mbele kwa umoja. Ripoti hii ni hatua ya mwanzo ya mustakabali imara. #RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Jeshi la anga la USA limeishambulia meli ya Korea kasikazini ikiwa na askari 13,000 kuelekea Urusi?

    Je, ni upi uhalisia wa chapisho hili linalosambaa kwa kasi sana kwenye mitandao ya kijamii?
  4. JamiiForums Tanzania Morogoro: Nyoka aliyekuwa anafugwa auawa baada ya kuleta taharuki Mavimba

    wa Kata ya Milola, Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Aloyce Andrew, kwa kushirikiana na wananchi wa kata hiyo, wamefanikiwa kumuua nyoka aliyekuwa akifugwa ambaye alisababisha taharuki kwa wakazi wa eneo la Mavimba, njia panda ya mnadani na wananchi wengine...
  5. JamiiForums Tanzania Kuelekea AFCON 2027, Ulega asema Serikali imejipanga kuhakikisha inakamilika kwa wakati

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameweka bayana dhamira ya Serikali ya kuhakikisha miradi ya barabara inayohudumia Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 inakamilika kwa wakati, akisisitiza kuwa maandalizi ya miundombinu ni kipaumbele cha juu katika kuhakikisha Tanzania inakuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania kutumia changamoto ya upatikanaji wa mafuta duniani kama fursa muhimu ya kuelekea kwenye uzalishaji na matumizi ya gesi asilia

    Ni wazi uelekeo wa Taifa letu kwa sasa, ni kwenye matumizi ya nishati ya gesi asilia majumbani, viwandani na katika sekta ya usafirishaji. Hii itasaidia kuondokana na taharuki zisizo za lazima kama hii ya chanagamoto ya uhaba wa nishati ya mafuta kama ambavyo imeiathiri na kuihangaisha dunia...
  7. JamiiForums Tanzania Hatimae wanaanga waondoka Duniani kuelekea Mwezini

    Artemis II: Safari hatari na ya kihistoria, binadamu wanarejea Mwezini baada ya miaka 50. Kwa mara ya kwanza katika zaidi ya miaka 50, binadamu anarudi Mwezini, akisafiri zaidi kutoka Duniani kuliko mtu mwingine yeyote aliyewahi kuwa hapo awali. Wanaanga wanne watafanya safari ya zaidi ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bara bara ya Kibaha, Njia ya kutoka na kuelekea Hospital ya Tumbi ni mbovu na imejaa mashimo makubwa

    Bara bara ya kwenda na kutoka hospital ya mkoa wa pwani (Tumbi hospital) Ambayo ni ya kiwango cha rami imeharibika na kuwa mbovuu kwa muda mrefu na imejaa mashimo yanayo tanuka kila siku. Mwezi wa kwanza mwaka huu waliyachimba ili kurekebisha barabara na wakayatelekeza bila marekebisho kiasi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kuelekea CBE Mwanza imeharibika na ni hatari kwa Watumiaji

    Hii ni sehemu ya barabara la Mwanza ukiwa unaenda Chuo cha CBE Mitaa ya Nyakato Mecco, unaweza kujua ni mto kumbe ni barabara. Barabara la Kangae, sasa hivi ni miezi 9 tangu hali imekuwa hivyo ya shimo na kuharibika. Tangu yatokee maafali ya Chuo cha CBE wahusika walikwangua Barabara, shughuli...
  10. JamiiForums Tanzania Kuelekea kumbukizi ya John Magufuli

    Tuanze kumkumbuka kwa hili la kununua ndege, Wapo waliokebehi na kuzarau niwaulize Je kama asingenunua hizo ndege wale watanzania waliosaidiwa kurudishwa Tanzania kutoka Saudi Arabia wangepanda Fuso kurudi Tanzania?
  11. JamiiForums Tanzania Serikali kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kupisha ukarabati kuelekea AFCON 2027

    Kwani ukarabati wa Lupaso utaisha lini? Tangu mwaka 2023 Serikali iliposaini mkataba wa Bilioni 30 mpaka leo bado mambo hayaeleweki. Serikali imetangaza kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utafungwa kwa ajili ya ukarabati wa mwisho kuanzia mwezi huu (Machi, 2026) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kuelekea derby kuna penalty or red card...timu ziwe makini sana kwenye hili

    Wale mliokaribu wajuzeni wachezaji mchezo wa derby kkutakuwa na red card ama penalty Wacheze kwa adabu na heshima sana refa atakaekuwepo n kama amekuwa chambo mistake za kadi hatorembesha Hali hii italeta sitonfahamu kwa dk kadhaa hata hivyo mpira utaendelea na kadhaa kuondoka na simanzi...
  13. JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Samia kuelekea Ulaya 2025- 2026

    Rais Samia na mwanao andaeni mlio Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu. 1. Kisiasa Kisiasa Rais Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Tutatenga fedha za kujenga barabara ya kuelekea Kampasi ya Mzumbe Tanga - Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaahidi wananchi wa Mkinga kuwa katika Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/27 kupitia TARURA itatengwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 16 kwa kiwango cha changarawe, ambazo zitaunganisha Chuo cha...
  15. JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...
  16. JamiiForums Tanzania Kuelekea uzinduzi wa Soko la Kariakoo, Prof Shemdoe asema ameridhishwa na maandalizi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya ufunguzi Soko Kuu la Kariakoo lililopo Ilala Jijini Dar es Salaam. Prof. Shemdoe ameyasema hayo leo Februari 07, 2026 alipotembelea...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

    Samia to the World!!!!! Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS. Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi...
  18. JamiiForums Tanzania 2030 na baada ya hapo, kuna uwezekano wa kuundwa Chama kipya chenye ushawishi au serikali ya mseto

    Salam wanajamvi, kwa namna mambo yalivyo ni wazi ushiriki na imani ya wananchi kwenye mambo ya siasa umepungua, nikiwa na maana ni ngumu kwa mwananchi wa kawaida kuamini nini viongozi wanacho eleza wakiwa kwenye majukwaa na hii ni kutokana na timing ilio fanyika katika mambo yalio tokea hapo...
  19. JamiiForums Tanzania Kuelekea AFCON 2027: Kuanzishwe dalaladala na Mwendokasi VIP

    Usafiri wa umma wa daladala katika Jiji la Dar es Salaam ni mbovu sana na haujawahi kuwa wa kistaarabu, sehemu ya kwenda kwa dakika 45 yanatumika hadi masaa mawili tena huku abiria wamebambiana kama ndizi pamoja na kuvujiana jasho. Sasa tusiwafanyie hivyo wageni wa AFCON ikiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kuelekea ICC: Samia S. Hassan azidi kukabwa koo. THE SUN na THE TIMES magazeti ya Uingereza yaanika ushahidi mwingine mauaji ya 29/10 - 3/11/2025

    https://youtu.be/aVlUdCvR93Q?si=quqP1lgRF2pBKGJw Sijui ile Tume ya mchongo chini ya Jaji Othumani Chande inatafuta nini tu wakati ushahidi wa ushiriki wa vyombo vya dola (Polisi, TISS, magereza, KMKM na UVCCM waliovikwa magwanda ya polisi pamoja na Mercenaries kutoka nchi za Uganda, DRC, Zambia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…