Wakuu,
Ni mwendo wa kuendelea kuangalia panapovuja mpaka iache kunyesha.
https://www.youtube.com/live/7DyNX31-xaQ?si=rDbUhzxMfwptm2Q-
Meza Kuu inajumuisha;
Henry Kileo - Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Kinondoni - Nimekaa kwenye chama kwa uaminifu sana, lakini chama sasa kimepoteza muelekezo...
Wanachama wawili wa Chama cha Siasa cha Independent People's Party (IPP), Vyonheaven Urima na Andrew Bomani, wamewasilisha maombi Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, wakiomba ruhusa ya kufungua shauri la mapitio dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa...
CHADEMA kimetoa majibu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kufuatia malalamiko ya mwanachama wake, Lembrus K. Mchome, aliyedai kuwa kikao cha Baraza Kuu Taifa cha Januari 22, 2025 kilikuwa batili kwa kukiuka Katiba ya chama.
Katika majibu yao, CHADEMA wameeleza kuwa barua ya Mchome ilikuwa ni rufaa...
Wana CCM tumekaa kimya wengi wetu si kuwa tumeridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea la hasha ni kuwa hatuna la kufanya waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe.
Nimeona umechukua hatua kwa viongozi wa Chadema na kutangaza kutotambua wajumbe wa secretariat. Nakusihi na huku kwetu CCM umulike...
Huwezi kuishi kwa kujifanya mtoto mdogo Kila wakati ilihali umekuwa, nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria hivyo jitafakari. Taifa linakuwa vituko kwa sababu ya watu tuliowapa dhamana, fikra za hovyo zimewatawala. Ofisi ya msajili kwa hili huwezi kukimbia matokeo yake wewe siyo mahakama...
Wakuu,
Tunaweza tusione umuhimu wa uchaguzi mkuu kwa sasa na kujiapiza kuwa hatushiriki, lakini kutoshiriki kwako uchaguzi mkuu ni kuhalalisha wale usiowapenda wapite waongoze tena miaka mitano ijayo, katika muktadha ndugu zangu watanzania, umekubali kuwa na kiongozi usiempenda kwa miaka...
Wakili Edson Kilatu ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya Katiba na Sera amesema kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa anaongozwa na Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, sura namba 258 ya sheria za Tanzania, ambayo inampa mamlaka ya kufanya uangalizi katika chaguzi za ndani za vyama vya siasa...
"Ni jambo ambalo limenishtua ni jambo ambalo sikutegemea kukutana na maamuzi ya namna hiyo hasa nikizingatia nafasi ya Msajili wa vyama vya siasa, yeye ni mlezi wa Demokrasia"- Wakili Edson Kilatu - Mchambuzi wa masuala ya Katiba na Sera.
Mbunge wa Viti Maalum Nusrath Hanje amezungumza na Wasafi Media kuhusu mitazamo ya watu kuhusu majimbo Mapya yaliyoanzishwa
Katika mazungumzo ambayo amefanya na Carlos Ngonya, Hanje amesema kuwa mara nyingi watu wamekuwa na mitazamo mibaya kwenye mambo mazuri na wanachofikiria baadhi ya watu ni...
Jeshi la Polisi Mkoani Pwani limepokea magari saba ikiwemo matatu aina ya Toyota Land cruiser mpya (Zero kilomita ) hatua inayolenga kuongeza kasi na ufanisi wa Jeshi hilo katika kukabiliana na uhalifu , kuhakikisha usalama wa raia na mali zao pamoja na kuimarisha utendaji kazi kwenye Wilaya za...
Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.🤣
Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi...
Heshima hujengwa kwa muda mrefu lakini inaweza kuvunjika ndani ya saa 1 tu usipokuwa makini.
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa Rais mstaafu Jakaya Kitwete tangu alipostaafu mpaka sasa kuanzia utawala wa marehemu JPM na sasa Rais Samia. Nakiri Jakaya kuwa ni mwanasiasa mtulivu mwenye...
Kuna taarifa kwamba wapo wabunge tayari wanasubiri kuapishwa. Hawana sababu yakufanya kampeni kwa sababu tayari wamepewa nafasi.
Haya majimbo wanayotegemea kuongoza naamini wapo wana CCM wanapanga kugombea?
Je wana umuhimu wakutumia nguvu kugombea? Wananchi wameridhia ? Wanafahamu majimbo husika?
Tawi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kisutu, limeandika barua ya kutaka maelezo kutoka kwa mwanachama wake, Henry Kilewo, likimtuhumu kwa usaliti, kuhujumu shughuli halali za chama, na kuendesha kampeni za kuwashawishi wanachama kuhama chama chao.
Katika barua hiyo iliyotiwa...
Kupitia mchoro huu wa Masoud Kipanya, hii ndiyo hali halisi CHADEMA wanapitia, je joka litatoka salama kweli?
Mwalimu Boniface Jacob ametafsiri hivi;
1.Joka la Kaki - hiki ni chama cha siasa kinacho vaa sare zenye rangi ya kaki kombati nchini Tanzania.
2.Ukubwa wa Joka- Ukubwa wa hicho chama...
Wakili msomi Dickson Matata kwa kushirikiana na jopo la mawakili wa CHADEMA, wamefanikiwa kupigania haki ya dhamana kwa Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, ambaye alikamatwa usiku wa kuamkia leo Mei 13, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na kushikiliwa katika...
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Jumapili ya tarehe 11 Mei 2025 alishiriki ibada katika Kanisa la Anglican Kabanga ambapo alitoa Sadaka ya Shilingi Milioni Mbili (2,000,000) ili kuunga mkono ujenzi wa Kanisa hilo.
Akisalimiana na waumini kwenye Kanisa la Anglican Kabanga...
Msimu wa inzi kufuata uvundo umeingia. Utaona na kusikia mengi. Kila mchumia tumbo atahama chama.
Kila changudoa wa kisiasa atapata bwana mpya. Yote ni sababu ya njaa, ujinga, unafiki, uzwazwa na utapiamlo kiakili.
Namna hii, kweli Rais mbeba maono, mwanasayansi, mchumi maarufu na muweza wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.