kuchagua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ShesRise_1

    Je, Mfanyakazi Ana Haki ya Kukataa au Kuchagua Mfuko wa Hifadhi ya Jamii?

    Hello guys Nina jambo linanifikirisha, jambo lenyewe ni kuhusu mfuko wa hifadhi ya jamii Katika ofisi za umma na makampuni binafsi kuna utaratibu wa kuwasajili wafanyakazi wao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii na hili lina msingi wa kisheria Lakini mimi nataka kueleweshwa 1. Je kama mimi ni...
  2. BIOTOXINS

    Mkwamo wa Kisiasa Israel: Netanyahu Apoteza Wingi wa Viti, Waarabu Washika Hatamu kama 'Kingmakers'

    Uchaguzi mkuu wa Israel uliofanyika mnamo Oktoba 27, 2026, umeacha taifa hilo katika sintofahamu kubwa ya kisiasa baada ya matokeo ya mwisho ya Kamati Kuu ya Uchaguzi (CEC) kuthibitisha kuwa hakuna upande uliopata ushindi wa wengi. Uchaguzi huu, ambao ulikuwa wa kwanza tangu mashambulizi ya...
  3. D

    KERO Chuo cha Makumira kinapaswa kuacha tabia ya kuthibitisha nafasi za udahili wa wanafunzi bila ridhaa yao

    Chuo cha Makumira kinapaswa kuacha tabia ya kuthibitisha nafasi za udahili wa wanafunzi bila ridhaa yao, hasa wakati wanafunzi hao bado wanaendelea na mchakato wa kufanya uchaguzi wa vyuo mbalimbali kupitia mfumo wa TCU. Kitendo hiki kinawanyima wanafunzi uhuru wa kuchagua vyuo...
  4. B

    Kuchagua POS Bora kwa Maduka jijini Dar es Salaam

    Dar es Salaam Kuchagua POS Bora kwa Maduka jijini Dar es Salaam Maduka yenye shughuli nyingi yanahitaji POS ambayo ni ya haraka, rahisi, inayopatikana mtandaoni, na muhimu kwa maamuzi ya kila siku. Weka kipaumbele kasi kwenye kaunta Mtiririko rahisi wa mauzo huwasaidia wafanyakazi kuwahudumia...
  5. 3

    Mwigizaji ‘Nadia’ wa City Maid, Awataka Wazazi Kuwafunza Watoto Kuchagua Wenza Bora

    Mwigizaji mashuhuri wa filamu nchini Rwanda, Sandra Ishimwe, anayejulikana zaidi kama Nadia katika mfululizo maarufu wa "City Maid," ametoa wito mzito kwa wazazi kuchukua jukumu la kuwafunza watoto wao jinsi ya kufanya maamuzi sahihi wanapochagua watu wa kuingia nao kwenye mahusiano ya...
  6. the ostrich eggs

    Katuga: Ni haki au sio haki kwa mtu yeyote aliyehamasika na Hotuba ya Mwenyekiti kuchagua njia yake kutumia njia yoyote kuuvuruga uchaguzi?

    Mwana JF wewe ulichagua njia gani zaidi ya hizi za Mwanasheria wa serikali?
  7. the ostrich eggs

    Katuga: Ni Haki au sio Haki kwa mtu yeyote aliyesikiliza Hotuba ya Mwenyekiti kuchagua njia yake kutafsiri hotuba ya Mwenyekiti?

    Wana JF mlitafsiri vipi?
  8. T

    Tatizo sio kwamba Watanzania wanataka vurugu Watanzania wanataka tu option ya kuchagua

    Mimi naona kuna kitu CCM inapaswa kukielewa vizuri kuhusu Watanzania. Watanzania kwa ujumla ni watu watulivu sana. Wengi hawataki maandamano, hawataki vurugu, hawataki nchi isambaratike. Mwananchi wa kawaida anataka maisha yake, biashara yake, familia yake na amani yake. Lakini pamoja na hayo...
  9. Red black

    Je, mwanadamu anayo tena uhuru wa kuchagua (free will) au kila kitu kimepangwa?

    Niko hapa kujifunza Zaidi.
  10. PROFOUND NOTION

    Hii michango ya harusi laki moja mnayoweka kwenye kadi tena bila option ya kuchagua ya size yako tutaonana wabaya aisee

    MLianza na 20, 30, ikaja 50, ikaja 80, sasa hivi 100k Laki moja imekuwa sasa kama trend. Tena hamjali hata hali ya mtu kisa tu ni rafiki au ndugu Hivi haya yootee ya nini, jamani, Si mchukuane mpelekane nyumbani hivyo hivyo kwani lazima mrushe watu roho mjini humu na matarumbeta?
  11. C

    "Ndiyo ninachagua ila sababu zangu za kuchagua zinachaguliwa"-UHURU WA KUCHAGUA NI UDANGANYIFU

    Ukiwa kweli una uhuru wa kuchagua, ungeweza kuchagua iwapo ungekuwepo au la Si tu kwamba ungeweza kuchagua iwapo ungekuwepo au la, bali ungeweza pia kuchagua sifa zinazokufafanua, kama vile utu (personality), ujuzi (skills), tabia (traits), na mambo ya nje kama vile familia, utajiri, n.k. Yote...
  12. A

    KERO Kwanini Watumishi tunaungwa katika Vyama vya Wafanyakazi TUGHE na TALGWU bila kuchagua?

    Kwanini Watumishi tunaungwa katika Vyama vya Wafanyakazi, Chama Cha Wafanyakazi Wa Serikali Na Afya Tanzania (TUGHE)na Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) bila kuchagua? Kuna hivi vyama vya Wafanyakazi TUGHE na TALGWU wanakuunga kilazima bila mfanyakazi kujua, hawakupi...
  13. Keyboard_Warrior

    Nimekuwa SHORTLISTED kada zaidi ya 3, naweza kufanya usaili kada zote au natakiwa kuchagua moja tu?

    Habari guys? Ndugu zangu, kamanda wenu Keyboard Warrior nataka kuingia serikalini. Sasa miezi kadhaa iliyopita nilifululiza sana kutuma maombi ya kazi AJIRA PORTAL, leo nimechungulia nimekuta nimeitwa kwenye usaili katika kada zaidi ya 3. Matangazo ya kada zote wanasema usaili utafanyika kwa...
  14. RRONDO

    Kupanga ni Kuchagua

    Poleni na starehe vijana. Kupanga ni kuchagua, sasa utaamua ununua IST huku unaishi kwa baba mwenye nyumba au kujenga kama haka huku unarudi kulala pazuri ukiwa kwenye daladala au bodaboda. Mjumbe hauawi. Weekend njema.
  15. Pakome

    Wasira alisema CCM ilisimamisha mgombea wao lakini wanachama wa CHADEMA wakawa wanatukanana kwa siku 31 badala ya kuchagua mgombea wao

    Wasira alisema CCM ilifanya uchaguzi wa mgombea wao na wakafanikiwa kumpata na kumsimamisha huku wakiwa wanasubiri mgombea wa CHADEMA Badala yake CHADEMA haikupeleka mgombea wake ilikuwa ikitukanana kwa muda wa siku 31 Ilikuwa ikimtukana Mbowe na Wasira akashangaa sana kuona nguvu yao ya...
  16. R

    PostGE2025 Rais Samia: Oktoba 29 mamilioni ya watanzania walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais
  17. S

    Kamishna Mkuu TRA: Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda ameshiriki zoezi la kupiga kura leo tarehe 29.10.2025 jijini Dar es Salaam. Baada ya kumaliza zoezi hilo amesema "Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania katika...
  18. Common Folk

    GE2025 Hivi toka lini kuchana mabango ya kampeni za uchaguzi ikawa kosa kisheria? Ina maana ukiwa mwanajeshi sheria inakulazimisha kuchagua chama tawala tu?

    Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi! Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk! Kwa jicho la 3, mimi...
  19. Hance Mtanashati

    Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja

    Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja.
  20. Idugunde

    Ukweli: Kuna tofauti kati ya Kutiki na kuchagua kiongozi anayefaa kwa taifa lako

    Kutiki maana yake ni kuweka alama.ya vyema. Hata kama ulichokiwekea alama ya vyema hakifai kwa manufaa yako. Lakini kuchagua ni kupambanua kile kilicho chema kwa manufaaa yako na taifa lako. Hivyo hata kama wanaokwenda kutiki watatiki tu kama mkumbo. Lini watatiki?
Back
Top Bottom