kubeba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    SoC01 Mwanafunzi Bora Chuo Kikuu Mzumbe aliyejiajiri kwa kukusanya na kubeba taka na kufanikiwa

    Naitwa Teju ni kijana wa kitanzania nilisoma shule ya sekondari Ivumwe Secondary school nilipata ufaulu wa Diraja II (Division Two) na ALevel Mbalizi Secondary school nilipata ufaulu wa Daraja I (Division One) na baadaye nilijiunga chuo kikuu cha Mzumbe Course ya Usimamizi wa Biashara katika...
  2. Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

    Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler! Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya...
  3. Uchumi wa Kati: Waziri wa Viwanda, Kitila Mkumbo azindua tela la kubeba mizigo

    Mh Kitila Mkumbo amezindua tela bora lenye uwezo wa kubeba mizigo ya hadi tani 5 lilotengenezwa Nchini Tanzania . Ubora wa tela hilo umethibishwa na Shirika la viwango nchini Tanzania TBS ========== Nimesoma hii Habari ; "Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amezindua Tela la...
  4. Kuota umebeba maiti kwenye gunia ina maana gani?

    Leo nimeota ndoto kama ifuatavyo. Nimeota nimebeba maiti ya mtu aliyeuliwa nilikuwa nimebeba kwenye gunia. Cha ajabu hiyo maiti sijui hata nani alimuua hata huo mwili siijui cha ajabu nilikuwa nabeba nachoka nilikuwa nimeambatana na rafiki yangu lakini cha ajabu rafiki yangu alikua hataki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…