kubeba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Y

    Je unajua unaweza kuchaguliwa na mizimu ya ukoo kubeba mikoba bila hiyari yako? Umejipangaje?

    Mizimu au majini ya ukoo ambayo yanabebwa na mababu, hao mababu wakifa huchagua yanayemtaka ili aendeleze kazi. Kuna jamaa nikikutana naye anasema yaani mstakabari wa kila mwanaukoo wao uko kwake. Kila wakikutana yeye ndio hutoa muongozo na maelekezo ya mababu. Yeye hakupenda ila mizimu...
  2. realMamy

    Rafiki wa Mume wangu............

    Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12 sasa hivi. Changamoto kubwa kwenye ndoa yangu ni kwamba mume wangu ni mtu wa kununa, kukasirika na kusikiliza sana marafiki. Ana rafiki yake mmoja ambaye tangu tuoane amekuwa akimsikiliza kuliko hata mimi mke wake. Mara nyingi tukigombana, hata tukikaa na...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Kama hujaolewa ni Marufuku kubeba mimba. Na ukibeba mimba bila ndoa utalea mwenyewe.

    KAMA HUJAOLEWA NI MARUFUKU KUBEBA MIMBA. NA UKIBEBA MIMBA BILA NDOA UNALETA MWENYEWE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba Mtemi! Mkicheka na nyani mtavuna mabua. Endeleeni kuchekea huu umalaya unaondelea mkifikiri ukikomaa mambo yatabaki yalivyo. Hayatabaki hivi yalivyo. Sheria itungwe...
  4. Sifi Leo

    Dawasco kibamba kwa ili hamtonielewa, ila mahakamani nitawasilisha nyinyi na fundi wenu kushoka,mnampaje vifaa vyangu akauze dukani kwake?(Majuzi haya

    Ninatambua watumishi wa umma mlio wengi mbaishi kwa wizi wizi usio na tija Sasa huu mwingine ni wizi wa kipumbavu na ujinga mchana kweupe. Niliona kuunganishiwa maji, saveyor wenu akaja akachora michoro yenu, na akachukua fomu ile na kuiwasilisha ofisini kwenu kibamba na nauli nilimpa. Baada...
  5. Jaji Mfawidhi

    Polisi : Marufuku Bajaji kubeba abiria siti ya Mbele.

    Sheria ipo, polisi hapa anakumbushia tu, abiria wa bajaji ni 3 tu, hao wanaozidi wakipata ajali bima haiwatambui. Bajaji kalipa LATRA kubeba abiria 3 u, wewe unayeongezea untafuta balaa tu. Bajaji zote zinazopata ajali na bairia mbele, hakuna anayepona , sababu, derev anakuwa kashikilia...
  6. a sinner saved by Christ

    Mistari 20 ya biblia ambayo ufalme wa giza hawaipendi kutokana na kubeba nguvu kubwa ya moto mkali unaounguza na kuharibu kazi zote za giza,shetani

    Zaburi hizi 1)zaburi ya 23 (wagalatia 3:13,mwanzo 22:14 isaya 54:17) 2)zaburi ya 27 3)zaburi ya 64 4)zaburi ya 91 5)zaburi 112 (wagalatia 3:29,mithali 3:29) 6)zaburi ya kwanza 1 .(yeremia 17:7-8,wafilipi 4:19) 7)zaburi 30
  7. Mjomba Malume

    Ronaldo: Kubeba Euro 2016 kwangu ni sawa na World Cup tu

    Baada ya Portugal kutolewa na Spain kwenye World Cup 2026, Cristiano Ronaldo alisema Euro 2016 kwake ina uzito sawa na World Cup. “Watu wanaweza kusema chochote wanachotaka… lakini kwangu, kuipa Portugal Euro ilikuwa na uzito sawa na World Cup kwa hiyo, nina furaha.” alisikika "MBUZI" huyo.
  8. ChoiceVariable

    Kazi wanazofanya Watu Weusi Marekani Sio Kubeba Box ,Dada huyu kwenye Video Ametupa Ubuyu

    My Take Bora nibakie nyumbani Tanzania kubeba zege kuliko kusafisha Mavi ya wazee na Watoto wa Kizungu 😆😆😆👇👇 https://www.instagram.com/reel/DY4s2xCIHzu/?igsh=aWlrNjB6M2NrNjhh
  9. E

    China; Mshirika Mkuu Ajaye katika Vita dhidi ya Ugaidi

    Kwa muda mrefu Marekani pamoja na Washirika wake wa Ulaya magharibi ndiyo walikua viranja wa dunia.Yapo mengi mazuri walifanya katika nyanja za demokrasia na utetezi wa haki za binadamu, na mengi ya hovyo pia kama uporaji wa rasilimali na kuchochea vita maneneo mbali mbali duniani kwa manufaa...
  10. A

    HOJA Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local?

    Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local? Tunaomba mamlaka ziingilie kati sisi wamiliki wa malori ya local tunapitia wakati mgumu wa biashara kwani gari za transit zimekuwa zikitoka mfano DR Congo zinarudi bila mzigo zikifika Tanzania zikiwa zinarudi Dar zinapakia mzigo wa...
  11. PureView zeiss

    Japan wanaenda kuishangaza dunia Kwa kubeba world cup 2026...Huu ni utabiri wangu

    Japan ndiyo timu ambayo itaenda kuishangaza dunia Kwa mara ya Kwanza usiku wa July 19 Kwa kubeba world cup. Nimeangalia mechi Yao moja Tu waliocheza na uholanzi nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanaenda kubeba ndoo World cup ya mwaka huu haina mwenyewe zaidi ya Japan Tu....najua mada hii itapata...
  12. chakii

    Moshi: Kijana wa bodaboda apoteza maisha baada kukimbizwa kugongwa na gari la Polisi akihisiwa kubeba mirungi

    Gari ya polisi Rombo yadaiwa kumgonga dereva pikipiki aliyedaiwa kuwa na mirungi nakuondoka na mwili, barabara yafungwa RPC asema barabara ishafunguliwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema barabara ya Rombo na Moshi imefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa zaidi ya saa...
  13. Mshana Jr

    Fuata moyo wako lakini usisahau kubeba akili yako

    Moyo pekee (Bila Akili) Huleta maamuzi ya kukurupuka, matatizo ya kifedha, au kubaki kwenye mahusiano mabaya kwa sababu ya hisia tu. Akili pekee (Bila Moyo) Hufanya maisha kuwa ya kuchosha, yasiyo na furaha, na yenye kufuata taratibu tu bila msisimko. *Ruhusu moyo uchague unachokipenda, lakini...
  14. Doto12

    Kwa takwimu hizi, Huyu hakustahili kubeba EPL

    Yaan8 ni kipofu Hata mashabiki wake ni vilaza
  15. M

    Kuna ukweli biashara ya kubeba mizigo kwa kirikuu imeyumbishwa na maguta ya Kichina

    Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii wafanyabiashara wanaoenda kununua vitu kama maduka makubwa nao hawachezi mbali wameanza kuyaelewa maguta Pia kirikuu...
  16. baz kaiza

    System ya kubebana na kubeba watu wasiokuwa na uwezo ndio imefikisha Tanzania hapa

    Tanzania Ina system ya kubebana na kubeba watu wasiokua na uwezo ndo imefisha nchi hapa akitoka Jaji kuongea anaongea kama mtu wa darasa la saba au hajawai kwenda shule kabisa. Tanzania hii huna mtu yoyote kwenye system hata Kama una uwezo umesoma kiasi gani kama huwezi kujipendekeza au kua...
  17. MK254

    Meli ya Iran iliyokua inatumika kubeba na kushambulia kwa drones yagaragazwa

    Hii meli ilikua imejificha baharini, kazi yake kutuma mamia ya drones, imekutwa huko huko na kufutwa kwenye uso wa dunia. Yaani Iran imesambaratishwa na kuachwa hoi kabisa, kiasi kwamba hivi karibuni itakua mnyonge wa yeyote anayetaka kuipiga, hata kainchi ka Afrika kataweza kujipigia...
  18. Roving Journalist

    Samia Suluhu akataa kuzindua Stendi Kuu mpya ya Mailimoja Kibaha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekataa kuzindua stendi kuu mpya ya Mailmoja Kibaha mkoani Pwani, akiwa katika ziara yake mkoani humo. Hatua hiyo ameifikia kutokana na kupata wasiwasi wa utekelezaji wa mradi kuwa na baadhi ya mapungufu ambapo amedai baada...
  19. Roving Journalist

    Songwe: Wanawake watishia kufanya mgomo wa kubeba mimba hadi ujenzi wa Zahanati ukamilike Wilayani Mbozi

    Wanawake katika Kijiji cha Kilimampimbi, Kata ya Kilimampimbi Wilayani Mbozi Mkoani Songwe wametishia kufanya mgomo wa kubeba mimba mpaka ujenzi wa Zahanati ya Kijiji ukamilike ili kuepuka changamoto wanazopitia wakati wa kujifungua. Wakizungumza na EATV baadhi ya Wanawake kijijini hapa...
  20. mcTobby

    Wezi waliojifanya maafisa wa polisi, wamepora pesa kwenye gari la kubeba Pesa huko Italia

    Tukio hili limetokea mchana kwenye barabara moja huko Italia baada ya wezi kuisimamisha gari ya pesa na kuipora.. wawili wamekamatwa... Tukio hili limenikumbusha filamu moja ya Money heist inayoitwa HEAT ============== Genge lenye silaha limefanya shambulio la mchana kwenye gari la...
Back
Top Bottom