kubadilisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Je ni lazima kubadilisha jina baada ya kuokoka?

    Je ni lazima kubadilisha jina baada ya kuokoka? Katika biblia Mungu hakuwabadilisha watu majina kutokana na tafsiri za majina yao. Ni muhimu sana kufahamu hili, vinginevyo shetani anaweza kukutesa na tafsiri ya jina lako. Hii ni kwa sababu usipomwelewa Mungu jinsi anavyotenda kazi...
  2. A

    DOKEZO Serikali kuhuisha sheria ya Utumishi wa Umma, sura ya 298. Wale waliokuwa wanalipwa mishahara binafsi wajiandae

    Wakuu habari, Kwa taarifa za chini chini, Serikali inaenda kuhuisha sheria hizo kupitia Ofisi ya waziri Mkuu... Kumbuka sheria hasa ya mishahara binafsi inaenda kufanyiwa marekebisho; kuanzia mwezi wa saba watu watapunguziwa mishahara yao.
  3. K

    Nuru ya Mama Samia haitaweza kung'ara tena bila kubadilisha vitu hivi!

    1. Polisi wafuate sheria kwasasa ndiyo wamekuwa kama serikali. Badalisha wote wa juu leta Polisi ya wananchi. Umeshangaza watu sana kumtoa waziri ambaye angeweza kukusaidia 2. Jeshi kwa jeshi hili la kichawa hatakubalika 3. Tume huru na wasimamizi wa vyama vya kisiasa waache upendeleo na...
  4. Azam/UTV jaribuni kubadilisha wachambuzi wa habari za kimataifa angalau mara moja moja

    Inashangaza sana Azam/UTV ambacho inawezekana kikawa ni kituo kikubwa cha kitanzania kwa habari za kimataifa za Kiswahili nchini kumtumia mchambuzi mmoja tu wakati wote kijana aitwaye Rahby ambaye ni mnazi mkubwa wa Iran na Ayatollah na ni anti-west wa kutupwa. Tunaelewa kuchambua siasa za...
  5. Je inawezekana kubadilisha namba niliyounganisha na NMB Acc. Ilhali hiyo laini nilishaipoteza na aliyenisajilia yupo mbali na nilipo?

    Habari za muda huu kama kichwa cha habari kinavyojieleza Je! Naweza kuunganisha namba mpya ninayoitumia kwenye NMB kwa sababu namba ya simu niliyounganisha mwanzoni wakati nafungua Account haipo yaani ilishapotea na aliyenisajilia yupo mbali na nilipo
  6. Utawala wa JPM umeleta matunda haya kwa kufungia maduka ya kubadilisha pesa

    Kuna kitu kinaitwa catalyst kwa kikemia sawa na mfano wa viuongo vinavyafanya haraka kuchochea kitu kiwe tayari kwa matumizi,mfano vitunguu swahumu na tangawizi kwenye mishikaki. Sasa kwa utawala uliyopita magufuri ndio chanzo ya yote haya kuanzia utekaji,kubaka uchaguzi,kuua vyama vya...
  7. Nyerere hakutaka jambo lolote aliloanzisha libadilishwe, Rais aliyetaka kubadilisha alijiingiza kwenye matatizo makubwa

    Ni vigumu sana kuzungumzia Chama Cha Mapinduzi pasipo kumhusisha Mwl Nyerere Hii ni kwasababu Chama Cha Mapinduzi kinaishi kwa kufuata misingi ya Mwl Nyerere Mambo yote aliyoanzisha Mwl Nyerere hakutaka kuona yakibadilishwa Raisi yeyote yule aliyemfuata na akajaribu kubadilisha basi alijikuta...
  8. Nauza na kubadilisha Housing na vioo vya Laptop

    Kama Laptop yako imevunjika kioo au Housing imechoka njoo tubadilishe. Ilala - Dsm 0767953873
  9. PostGE2025 DCP Misime: Hadi sasa hali kiusalama nchini kwetu iko shwari

    Leo Disemba 12, 2025 Jeshi la Polisi limetoa taarifa baada ya saa 24 kupita toka tulipotoa taarifa ya mwisho asubuhi ya tarehe 11.12.2025 juu ya hali ya usalama nchini. Akitoa taarifa hiyo Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Misime amesema "Tungependa kuwajulisha kuwa, kwa ushirikiano wa...
  10. Mashine ya kubadilisha Hewa ya Kabonidayoksaidi Kuwa Petroli Yagunduliwa

    Teknolojia mpya imeibuka duniani ambayo inabadilisha hewa ya kabonidayoksaidi (CO₂) kuwa mafuta kama petroli na dizeli. Hili ni jambo la kihistoria kwa sababu linageuza gesi chafu inayoongeza ongezeko la joto duniani kuwa bidhaa yenye thamani inayotumika katika sekta ya usafirishaji na viwanda...
  11. Msaada: Nataka kubadilisha cheti changu kuzaliwa pamoja na baadhi ya herufi za majina yangu na mama yangu

    Habari wakuu, Poleni na msiba wa kitaifa tunaoendelea kuuomboleza. Moja kwa moja nijikite kwenye mada husika kwa kuwaomba msaada wa mawazo na ushauri kwa ujumla. Mimi nina cheti cha kuzaliwa lakini cheti changu ni cha zamani sana kimetoka tangu mwaka 1988. Katika cheti changu jina langu...
  12. Kubadilisha jina ulilotumia kusajili kwenye LIPA no inawezekana?

    Habari wadau, Kuna lipa no ya biashara yangu nlisajili kwenye mtandao wa Airtel, sasa nimefikia uamuzi wa kubadili jina la biashara, nataka no za LIPA no ziwe zile zile, nibadili jina tuu, inawezakana?
  13. Kariakoo ni fulsa ya kubadilisha maisha ya maelfu ya watanzania

    🌍 Kuibua Upya Kariakoo: Kutoka Soko la Jadi Hadi Kitovu cha Biashara ya Kidigitali Afrika Kwa muda mrefu Kariakoo limekuwa moyo wa biashara nchini Tanzania, likihudumia si Dar es Salaam pekee bali pia mamilioni ya watu kutoka Afrika Mashariki na Kusini. Lakini katika dunia ya sasa ambapo karibu...
  14. Kipi sahihi kuwa na fundi mmoja permanent ama kubadilisha mafundi?

    Nina wasiwasi na fundi anayenirekebishia pikipiki anatumia udhaifu wangu wa kutokuwa na uelewa juu ya changamoto za pikipiki na kutojua bei ya vifaa kunikanda linapokuja ishu ya payments baada ya service. Kwa wamiliki na wazoefu wa pikipiki which ni best way ya kufanya service kutumia fundi...
  15. Hiki ndicho kilichotokea Baada ya kubadilisha uvaaji wangu wa saa kutoka mkono wa kushoto na sasa kuwa kulia

    Nimekuwa na Nguvu ya mamlaka, heshima, deal zangu za pesa zinaenda vizuri nikiongea na mtu ana kwa ana huwa ananisikiliza na kunielewa leo kuna mkuu mmoja niliambiwa ni kisiki ila leo kakubali kutia saini kuruhusu muamala. Nathibitisha kwa kusema kuwa kuna Nguvu katika uvaaji wa saa mkono wa...
  16. H

    LATRA Wanaruhusu kubadilisha lori kuwa basi la abiria?

    Mwenye uelewa na haya mambo, nakumbuka zamani haikuwa issue kubadili lori na kuwa basi la abiria kwa kuunda na kuvisha bodi. Je hili linawezekana leo? manake unaweza kubadilisha alafu ukaambiwa haijakidhi viwango. Mwenye taarifa sahihi weka mezani. Asante
  17. W

    Kumbe CCM wanaweza kubadilisha katiba yao tena mtandaoni lakini ya Wananchi aaah!

    Katibu wa CCM, Amos Makala ametangaza leo kuwa CCM wanatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa na utatanguliwa na vikao vya Kamti Kuu Halmashauri Kuu Taifa kupitia njia ya Mtandao. Pia ameeleza kuwa ajenda ya kikao hicho ni Marekebisho ya Katiba ya Chama hicho ila najiuliza kama...
  18. EFD machine niliyonunua TZS 500,000 kubadilisha printer ni TZS 142,000 siyo upigaji huu?

    TRA angalieni hawa mawakala wenu,Bei za marekebisho za machines pindi zikipata hitilafu ni kubwa sana ukilinganisha na biashara zenyewe tunazofanya. Hapo pia bado gharama za uhuwishaji ambapo ni kias Cha TZS 45,000 kila mwaka.
  19. Unajua kauli moja inaweza kubadilisha joto la kisiasa nchini?

    Hata kama siyo wote , lakini wengi wataweza kuelewa wakiona mtuhumiwa ameamua kubadilika toka moyoni! Fikiri, kwa mfano, alkijitokeza na kusema, "Ndugu Watanzania wenzangu, naomba mnisamehe! Nimetambua makosa yangu, na ninayajutia sana. Mnisamehe, na mnipe muda nirekebishe nilikoharibu" Kwani...
  20. Mabadiliko 7 ya Mtazamo Yanayoweza Kubadilisha Maisha Yako

    Mafanikio yako yanategemea sana mtazamo wako. Wazo hili nililipata katika uzoefu wa Richard Yu. Alikimbia China ya Kikomunisti, akaanza maisha upya Marekani (yeye na wazazi wake), na baadaye akajenga biashara kadhaa zenye mafanikio—ikiwemo online school (shule ya kidigitali). Safari yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…