kubadilisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    Hoja ya kubadilisha shtaka chini ya Kifungu cha 319 cha CPA inahitaji kuchunguzwa pamoja na masharti ya haki ya kusikilizwa na kujitetea

    Wasalaam Wakuu Kuna jambo ambalo linahitaji mjadala mpana kuhusu hukumu iliyotolewa dhidi ya Tundu Lissu. Uamuzi wa hukumu ya kesi ya Tundu Lissu unaacha maswali mengi ya msingi kuhusu tafsiri ya sheria, haki ya kusikilizwa na uhuru wa kujieleza katika nchi inayojitambulisha kama demokrasia...
  2. Jeep wrangler

    Tech 7 zitakazobadilisha maisha yako moja kwa moja

    Miaka 5 ijayo (2026 - 2031) dunia haitaenda pole pole. Kitaalamu, tunakwenda kwenye miaka ya AI kufanya kazi badala ya kuongea tu. Hizi ndizo tech 7 zitakazobadilisha maisha yako moja kwa moja: 1. AI Agents - AI itakufanyia kazi, sio kukujibu tu Sasa hivi unaniuliza, nakujibu. Miaka 5 ijayo...
  3. youngkato

    Jinsi ya kubadilisha picha kuwa video kwa kutumia Gemini AI pro

    Sasa unaweza kutengeneza video mbalimbali za Ai kwa ajili ya matangazo na kurahisisha kazi zako kwa sj. 15,000 tu Whatsapp 0693880325 #GeminiAIPro #ArtificialIntelligence #AIVideoCreation #DigitalMarketing #ContentCreation #AITanzania
  4. Lyetu

    Ni wakati wa kubadilisha jina la DIT kuwa TIT

    Pendekezo kwa Serikali: Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) iwe Tanzania Institute of Technology (TIT). Hadi sasa DIT ina Campus nne DIT main Campus (imeanzishwa 1957) DIT MWANZA Campus (Imeanzishwa 2010) DIT SONGWE Campus (Imeanzishwa 2014) DIT DODOMA Campus (Imeanzishwa 2024) Na upo...
  5. Jemima Mrembo

    Hii ni fursa ya kubadilisha maisha yako. Kwa mtaji mdogo, unaweza kuanzisha fleet line yako mwenyewe.

    Hebu fikiria ni vijana wangapi wafuasi wa uwekezaji wa Sativa wanavyopiga hela za mdosi lakini baada ya siku chache wanakuwa wamemaliza mahela yote kwenye starehe. Weee ni mkamalia, umepata mijihela yako njoo uchukue daladala yangu hii kwa bei poa. Starting price ni 21 million, maongezi pia...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Ni nani unayemsubiri aje kubadilisha maisha yako?”

    Hamjambo! Hili ni swali muhimu sana. Swali la ukombozi. Majibu yake ndio msingi wa wewe kutoka hapo ulipo. JE ni nani unayemsubiri aje kubadilisha maisha yako? Ni mumeo? Ni mkeo? Ni wazazi wako? Au watoto uliowazaa? Au serikali? Kama huna unayemsubiri. Sasa muambie Mtibeli hapa, nini...
  7. A

    KERO Jiji Mwanza wananizungusha kubadilisha jina la umiliki wa ardhi kwenye mfumo wa elektroniki

    Halmashauri ya Jiji la Mwanza kushindwa kubadlisha jina la mmiliki wa kiwanja kwenye mfumo, Nilinunua nyumba Mwaka 2024 na kukamilisha taratibu zote za kuhamisha milki Julai, 2024. Japokuwa kwenye hati linasomeka jina langu, Halmashauri ya Jiji la Mwanza wameshindwa kurekebisha taarifa zangu za...
  8. M

    Tuliowahi kufika kipindi ambacho uchumi ulishuka ghafla, ulikubali vipi kubadilisha maisha uliyozoea na presha ya watu kukushangaa au kukucheka ?

    Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine. Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote. Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
  9. T

    AI Bora yenye uwezo wa kubadilisha maandishi ya Kiswahili kuwa Audio

    Habari watu wa humu, Hebu nipe pendekezo la AI bora kabisa yenye uwezo wa kubadilisha maandishi (text) ya Kiswahili kuwa audio, yenye lafudhi ya kiswahili fasaha na cha Kitanzania. tf.
  10. Zerock

    Kuna uwezekano wa kubadilisha majina yote matatu kwenye ID yako?

    Huwa natamani sana kubadilisha majina yangu yote matatu,najua haitobadilisha kitu kutoka kwa mzee wangu,atabaki kuwa mzee wangu hadi kiyama. Je inawezekana au ni jina la kwanza tu..!?
  11. O

    Gikomba Yabadilika: Jengo Jipya Laahidi Kubadilisha Sura ya Soko

    Soko maarufu la Gikomba jijini Nairobi liko katika hatua mpya ya mabadiliko makubwa, huku majengo matatu ya kisasa yenye ghorofa kadhaa yakianza kuchukua sura. Mradi huo unalenga kubadilisha soko hilo kutoka eneo lenye msongamano na miundo ya muda hadi kituo cha kisasa cha biashara. Kwa mujibu...
  12. M

    Ukiona ukatili mtandaoni, usikae kimya na Usishiriki. Tunaweza kubadilisha mtandao uwe salama kwa kila mtu

    Je, umewahi kuona chats za watu zikisambazwa mitandaoni huku wengine wakicheka na kuendelea kuzishare? Wengine huenda mbali zaidi kwa kutaja majina ya wahusika, vyeo au hata ndugu zao nk. Huo ni ukatili wa mtandao kwani mawasiliano mengi hufanyika kwa faragha kati ya watu wanaoaminiana. Pale...
  13. Mdudubitehunter

    Kubadilisha Umiliki wa Pikipiki niliyonunua

    Wakuu Wasalam, Nimenunua Pikipiki kwa mtu hapa Morogoro Mjini. Nahitaji kubadilisha Umiliki ili nyaraka zisome majina yangu, Naomba wenye uelewa wa process ninazotakiwa nipitie na gharama za kukamilisha mchakato huo. Natanguliza Shukran 🙏
  14. jT0078

    Nauza na kubadilisha 'housing' za Laptop!

    Laptop yako imeharibika housing? Lete tukubadilishie kwa haraka na kwa bei nafuu. ✅ Tunazo housing za aina mbalimbali za laptop ✅ Pia tunafanya fix ya housing iliyopo bila kubadilisha 📍 Tunapatikana Ilala, DSM 📞 0767953873
  15. ndege JOHN

    Hii chuki dhidi ya ‘Single Mothers’ Inaweza Kubadilisha Mfumo wa Mahusiano ya hawa Gen Z wakagoma kabisa kushika mimba mpaka ndoa

    ni kweli vijana wengi wa sasa hawataki kuoa single mothers, hamuoni kwamba hali hiyo inaweza kuwafanya mabinti wa Gen Z ambao ndo wengi bado hawajazaa kuwa waangalifu kupita kiasi kuhusu kupata mtoto kabla ya ndoa? Msichana akiona kwamba dada zake waliizaa halafu wakaachwa soko linapungua...
  16. ndege JOHN

    Watu Unaokaa Nao Wanaweza Kubadilisha Umri Wako Kiakili

    Kuna kitu cha ajabu sana kuhusu maisha watu unaoishi nao wanaweza kabisa kubadilisha namna unavyojiona hata bila wewe kugundua. Ukiwa karibu sana na watu wa umri mkubwa, baada ya muda unaanza kujikuta unatabia za kikubwa automatically. Unaanza kuongea kwa utulivu, kufikiria maisha kwa...
  17. X

    Wakati Tanzania tukisubiri Mvua, China wao wanajenga mito mikubwa kubadilisha Uchumi

    Dunia yabaki midomo wazi! Hii si mito ni mfereji ya China! Maajabu yanayowashangaza wahandisi wengi Duniani. Mifereji yao ni mikubwa kuliko mito mingi ya asili Afrika. Ukiona utadhani ni bahari zinazopita katikati ya nchi. China mpaka sasa imetumia zaidi ya dola bilioni 10 kujenga mfereji...
  18. Yoda

    Siku tukibahatika kupata uongozi makini tutaweza kubadilisha miji yetu ndani ya muda mfupi kama China

    Oneni jinsi Wachina ndani ya miaka 20 tu walivyobadilisha miji yao mfano wa Chongqing kutoka slums kama za tandale na kutokuwa na mpangilio hadi kuwa majiji ya hadhi sawa na ya West
  19. J

    Je ni lazima kubadilisha jina baada ya kuokoka?

    Je ni lazima kubadilisha jina baada ya kuokoka? Katika biblia Mungu hakuwabadilisha watu majina kutokana na tafsiri za majina yao. Ni muhimu sana kufahamu hili, vinginevyo shetani anaweza kukutesa na tafsiri ya jina lako. Hii ni kwa sababu usipomwelewa Mungu jinsi anavyotenda kazi...
  20. A

    DOKEZO Serikali kuhuisha sheria ya Utumishi wa Umma, sura ya 298. Wale waliokuwa wanalipwa mishahara binafsi wajiandae

    Wakuu habari, Kwa taarifa za chini chini, Serikali inaenda kuhuisha sheria hizo kupitia Ofisi ya waziri Mkuu... Kumbuka sheria hasa ya mishahara binafsi inaenda kufanyiwa marekebisho; kuanzia mwezi wa saba watu watapunguziwa mishahara yao.
Back
Top Bottom