kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rafiki Wa kike anahitajika kuanzia miaka 35 kuendelea tuienjoy tu akiwa sio mwanasiasa itakuwa vizuri zaidi dm me

    urafiki ni upendo, mawazo na utulivu.
  2. N

    Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    Mimi ni mwanamke mwenye miaka 34 sina mtoto na sijawahi kuolewa Naishi Dodoma, nimeajiriwa Elimu yangu ni ngazi ya shahada Dini yangu ni Mkristo Mwili wangu ni kawaida Afya yangu ni njema Mume wangu awe na umri kuanzia 34 hadi 45,asiwe mume wa mtu nahitaji wa kwangu Dini yake awe mkristo Mwili...
  3. Tetesi: Yanga, Azam, Singida Black Stars na Fountain Gate Academy kuhamia ligi ya Zanzibar Muda wowote kuanzia sasa

    Wataitisha press ya pamoja, baada ya hapo Azam Media limited italalamika na kusitisha matangazo ya ligi kuu Tanzania bara kwa kigezo cha kuhofia hasara baada ya baadhi ya timukujitoa. Samia anaharibu nchi, kaharibu na mpira.
  4. Inaonyesha mivutano ya iran na USA tunaweza kuwa laumu ila wote wanatumiwa na watu ambao kila nchi kujiweka kama sio yeye

    Ukiangalia migogoro ya iran na USA ni kama hawa watu wamekuwa mwana seserere wa nchi zilizopo karibu na iran. Na mpaka sasa unaweza kujiuliza wao kama wanafanya biashara kwa nini watumie nchi nyengine mfano iran anavyo fanya na nchi za nyengine kumtumia USA kuwapiga.
  5. Mnyika: Msajili wa Vyama vya Siasa anatakiwa kuipatia CHADEMA malimbikizo ya ruzuku yake yote kuanzia Juni hadi Oktoba 2025

  6. Nataka kuwa na mahusiano na mwanamke wa miaka kuanzia 27 Hadi 30+

    Mimi ni kijana Niko mbeya natamani tu kuwa na mwanamke wa miaka iyoo maana Hawa wa 2000 mbona kama pasua kichwa sana, na mimi nna miaka 28, kama upo interested DM, uwe vyovyote Ile usiwe mnene, kama love wa jua Kali,,, ukiwa Black 🖤 utakua vizuri maana weupe ndo sawa na wale wale wa 2000, 😔😔😔😔😔
  7. Ratiba rasmi ya ziara ya karibu mwenyewe CCM kihogosi kuanzia tar 01 Hadi 03 July mkoa wa pwani

    Ziara hii ya siku tatu ya mkoa wa pwani ni kwaajili Yao pekee na sio vyama vingine. CCM ni zaidi ya shetani
  8. Wanachadema kuweni makini mda umepangwa na kusudio kuanzia mda huu.

    Mpaka kufika saa 8 wengi simu zenu zitakuwa zimekosa chaji. Naomba kujiweka sawa nawapa taarifa ila wanataka kufanya kitu kibaya watawala na washapanga.
  9. Plot4Sale Kinahitajika kiwanja kuanzia sqm 1200

    Habari wana jamvi. Mdau mmoja anahitaji kiwanja kuanzia sqm 1200 katika moja ya maeneo haya. 1. Kinyerezi 2. Kifuru 3. Segerea 4. Goba 5. Mbweni 6. Madale Sifa ya kiwanja/eneo 1. Tambarare au kama mlima usiwe mkali sana slope yake. 2. Kinafikika kwa barabara vizuri 3. Neighborhood nzuri au...
  10. M

    Nanunua pumba za mahindi kuanzia tani 17 na kuendelea

    Nahitaji pumba nzuri zilizokauka. Kwa bei njoo inbox au nichek 0682493359 kama una mzigo.
  11. S

    KERO Watumishi wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Busega ajira ya kuanzia January 2025 hadi April 2026 hatujalipwa pesa za kujikimu

    HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA KUNA UTAPELI MWINGI KWA VIONGOZI TUNAOMBA WACHUNGUZWE. Mimi ni mwajiriwa kada ya afya ni nurse by professional, niliajiriwa mwaka Jana lakini cha kushangaza Toka turipoti kazini ni mwaka sasa na miezi umepita hatujalipwa pesa za kujikimu. Tumekuwa tukifatilia...
  12. Nidhamu yako ya pesa huwa inarudi ukibakiza kuanzia kiasi gani?

    Wakuu, kuna ile ukiwa na pesa ni kama kiwango cha nidhamu ya matumizi huwa kinapotea au kushuka unakuwa unatumia tu. Na baada ya kubaki na kiwango kidogo nidhamu inarudi wakati unasubiri michongo itiki tena au mshahara uingine. Wewe nidhamu huwa inarudi ukibaki na kiasi gani? Mimi nikibaki na...
  13. Mafuta yanaenda kupanda tena kuanzia kesho

    Kesho jumatano kutakuwa na kilio kingine cha mafuta kupanda tena ni muda WA kujipanga tena kisaikolojia na maisha magumu tena. Adui ya nchi hii anaenda kuwaumiza tena wananchi huku nchi jirani wakiendelea na maisha yenye faraja kutoka kwa serikali zao zinazojali watu wake. Maadui hawa wa...
  14. Na nyie mmeliona hili kwa mabinti wa kuanzia 2000-2005?

    Salam sio kipaumbele sana. Kiukweli hawa mabinti wanastahajabisha sana, eti unamleta ghetto ambalo maji yapo ya kutosha tu, lakini unamchimba vilivyo, mwisho unamuonesha bafuni akatoe vumbi ili andoke vizuri yeye anabinua mabega juu kuashiria hayuko tayari kwenda kuoga!, sasa najiuliza hawa...
  15. Elimu rasmi sio kigezo pekee au cha mtu kuwa tajiri kihalali, lakini ni nyenzo thabiti sana inayoweza kurahisisha kukuza utajiri

    Unaweza kumfundisha mtoto wako kutafuta na kutumia pesa kwa kuanza kumjengea tabia ya kuweka akiba, kuelewa thamani ya kazi kupitia shughuli ndogo za nyumbani, na kumshirikisha katika maamuzi ya kifamilia ili kueleza tofauti kati ya matakwa na mahitaji ya msingi Kujenga akili ya kifedha...
  16. R

    Kuanzia Januari 2027 Waafirka kuingia Congo-Brazzaville bila Visa

    Rais Denis Sassou Nguesso amesema kuwa uamuzi huo wa kufuta hitaji la visa kwa nchi yake utaanza rasmi 2027, ikiwa ni sehemu ya msisitizo na dhamira yake ya dhati kuelekea misingi ya Uafrika kwanza (Pan-Africanism). “Kuanzia tarehe 1 Januari 2027, kuingia Jamhuri ya Kongo Brazzaville...
  17. N

    Kuna nini kinaendelea CCM?

    Inavyoonekana, ni kama vile CCM kuna ombwe la ki Uongozi. Asha-rose Migiro hatoshi na hana sifa za kuendelea kuwa Katibu Mkuu hata kwa siku moja mbele! Ni Katibu Mkuu asiye na ushawishi wala hasikilizwi na yeyote. Yupo kimya kama vile alilazimishwa awe hapo alipo. Mbaya zaidi, pesa za Chama...
  18. Rais Samia piga marufuku watoto chini ya miaka 5 kuwa nje kuanzia saa 11 asubuhi kwa ajili ya masomo

    Wakuu nipo barabarani muda huu, Ama kwa hakika maisha yamebadilika. School buses zipo busy kuchukua wanafunzi. Wazazi wanakwena makazini na watoto wao. This is pure madness, there is no control. Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu, No child at this hour , wanahitaji kupata...
  19. Zanzibar Mbioni Kuanzia "Muhimbili National Hospital Yake"

    My Take Safi sana ni mwendo wa kusogeza Huduma Kwa Wananchi,wanaozubaa wacha wazubae. Ni aibu Kwa Nchi kama Zanzibar ambayo ni kitovu Cha Utalii Tanzania kushindwa kuwa na hospital Bora za kuhudumia Watalii na Wananchi. Aisha wanaweza anzisha Utalii tiba na kuongeza bidhaa ya Utalii wa beach...
  20. C

    Bei ya Mafuta kupanda kuanzia 05. Mei 26 (5,000@litre-Petrol)

    Wenye vituo vya mafuta wanachekea chooni. Kila mtu ashinde mechi zake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…