Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limeanza operesheni maalumu ya kuwabana waendesha bodaboda na bajaji wanaokiuka sheria na kanuni za usalama barabarani.
Operesheni hiyo, inayoanza Septemba 29, 2026 na kutekelezwa nchi nzima, inalenga kuongeza utii wa sheria na kupunguza makosa...
Mwaka jana, chuo kilitangaza kuwa hakukuwa na grace period, hivyo muda wa masomo unapomalizika, mwanafunzi alitakiwa kulipia extension ili kuendelea na masomo.
Hata hivyo, mwaka huu chuo kimetangaza kuwa grace period ipo kwa muda wa miezi mitatu. Changamoto ni kwamba sisi tuliolipia extension...
Slobodan Milošević (aliyekuwa Rais wa Serbia na Yugoslavia) na mke wake, Mirjana "Mira" Marković, walikuwa miongoni mwa wanandoa wenye nguvu, ushawishi na vituko vingi zaidi katika historia ya kisiasa ya Ulaya. Mke wake alijulikana kama "Lady Macbeth wa Balkan" kutokana na jinsi alivyomtawala na...
Bei ya kupikia kwa kutumia gesi ya LPG inatarajiwa kupanda nchini kuanzia Oktoba 2026, huku ongezeko hilo likihusishwa na kupanda kwa bei za kimataifa za propane na butane—gesi kuu zinazotumika kutengeneza LPG.
Kwa mujibu wa data ya Saudi Aramco, bei ya butane ilipanda kwa 25.8%, kutoka...
DC SHAKA AONGOZA ZOEZI LA USAFI STENDI KUU YA MABASI KILOSA
~ Wananchi Wajitokeza kwa Wingi, Wampongeza kwa Uongozi wa Vitendo
Macho ya abiria na wafanyabiashara katika Stendi Kuu ya Mabasi Kilosa leo asubuhi yaligeuka ghafla kuona jambo ambalo hawakulitarajia. Sio basi jipya lililowasili...
Ukifuatilia vizuri culture ya vijana Arusha, kuna makundi fulani yamekuwa na influence kubwa sana.
Wale wadudu mnaowaona wengi, wengi wao ni wa huko Babati.
Muziki wa Arusha umetawaliwa kwa kiasi kikubwa na Warangi, wanyaturu, wanyiramba, wambulu.
Makundi yameanza kuwa kama utamaduni na...
Hutuwezi kuwa taifa lenye nguvu imara na lenye maendeleo makubwa kama tutaondoa ushindani wa ubora .
Tunaweza kuliua taifa taratibu Kwa sababu ya kikundi Cha watu wachache wenye tamaa wadhaifu wasio na uwezo wasiotaka ushindani.
Kuanzia kwenye mfumo wa ELIMU tunaopaswa kuandaa vijana wenye...
Mwakilishi wa Kiwanda cha Twiga Cement
"Sasa leo kwanza tumefurahi sana ujio wa mgeni wetu rasmi ambaye ni kamishna general wa TRA, na tunachofurahia ni kwamba wamekuja wamejifunza nini ambacho kinaendelea katika kiwanda chetu.
Sasa kwa muhtasari tu, katika yale ambayo tuliongea, mojawapo...
Katika ujenzi wa madarasa, nimemuelekeza Waziri wa Tamisheni kuanzia sasa wafanye tathmini: maeneo yote ambayo yana majengo yanayofaa kufunikwa kwa kumalizia majengo ambayo yamejengwa kwa nguvu za wananchi, wasianzishe ujenzi wa majengo ya aina hiyo hiyo mapya. Fedha hiyo iende kutekeleza...
Katika maisha kuna jana, leo na kesho. Yote ni historia.
Na unapokuwa katika safari ya kisiasa, akiba ya maneno inasaidia sana.
Mlikuwepo, mpo na mtaondoka. Unapopewa nafasi, usitumie nafasi hiyo kwa maslahi yako binafsi. Tambua una ndugu, familia na jamaa.
Nawakumbusha, walikuwepo na...
Nimeona leo tangazo la simu za Raddy ambazo zinatengenezwa Tanzania. Ni hatua nzuri na nimefurahi kuona simu hizi za hapahapa Tz, maana wanasema kiwanda kimeajiri watz zaidi ya 1000 ila natamani wangeimprove product zao
Kwa mfano nimeona hii simu yao inaitwa "Raddy Janja Pro" inauzwa 350,000/=...
🏠 MDau ameuliza:
“Nianze na nyumba ndogo ya kuanzia maisha, au nianze moja kwa moja na dream house yangu?”
Jibu langu kama mtaalamu wa ujenzi ni hili 👇
Kama tayari una ramani na maono ya nyumba unayotaka kuishi kwa muda mrefu, usikimbilie kujenga nyumba nyingine pembeni ya kiwanja.
Kwa nini...
Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, kuanzia Barabara ya Kitambaa Cheupe hadi kwa Mama Ngoma, unakabiliwa na tatizo la mara kwa mara la mifumo ya maji taka kuziba na chemba kujaa.
Hali hii imekuwa kero kubwa kwa wakazi, hasa ikizingatiwa kuwa watoto hupita katika njia...
Kila nikijaribu kwenda mbele ya muda na kuangalia yatakayokuwa yanaendelea huwa nachoka!
Naona, viongozi wa sisiemu wakiburuzwa sana, kupewa kesi za uhaini kwa sana n.k.
Ama kwa hakika kutesana ni kwa zamu!
Kuna vitu vinashangaza sana na sijui ni wasomi kuwa wengi au hata sijui tu.
Sisi tumezaliwa na kukua tunalala pamoja tena pasina hata kujua kuna kulawitiana nk
Tukaenda shule maghetoni Bado tutakutana na watu Si ndg zetu tunaungana wawili Hadi watatu geto Moja tunalala na maisha ya naenda...
Serikali inatambua mchango wa Kanisa na baba Askofu. Kila tunapotaja maendeleo ya nchi yetu, kuanzia mwanzo mpaka hapa tulipofika, hatuwezi kuyataja kwa kina maendeleo hayo bila kutaja mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Mpanda - Katavi.
🗓️ Agosti 30, 2026.
————————————————...
askofu
baba
baba askofu
kanisa
kuanzia
maendeleo
maendeleo ya nchi
mchango
mkuu
mpaka
mwanzo
nchi
nchi yetu
serikali
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu nchemba
Tumeongeza idadi ya safari kati ya Dar es Salaam na Dodoma ili kukupa urahisi zaidi wa kupanga Safari zako kila siku.
Sasa una fursa ya kuchagua muda unaokufaa, kagua ratiba kuona muda wa kuondoka na kuwasili wa treni zetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.