kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mfalme_wa_Nyika

    Masikini Iran muda wowote kuanzia sasa Marekani naye ataingia kumtwanga rasmi na hatimaye Ayatollah kumkuta ya Saddam Hussein

    Hii si ndoto ni kweli, Iran ndo mwisho wake huu... Anasikitisha, Usa anaingia rasmi.. Iran kilichobaki ni kukimbia tu
  2. secretarybird

    Wakuu kuanzia sasa na kuendelea nikiona mtu anapigania usimba na uyanga najitolea kumpeleka Mirembe

    Yes, nampeleka mirembe kwa gharama zangu japokuwa mimi sina uwezo mkubwa kifedha lakini niko tayari kuzikopa popote ili nimsaidie mtanzania mwenzangu mwenye ugonjwa wa akili maana nikimwacha anaweza akaanzisha makaazi yake dampo. Nayasema haya kwa sababu watanzania wengi ukiwasikiliza...
  3. U

    Benjamin Netanyau aliagiza Iran itandikwe kuanzia November 2024 agizo litekekezwe kabla ya April 2025

    Wadau hamjamboni nyote. Advertisement Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema katika taarifa ya video kuwa agizo la kuangamiza mpango wa nyuklia wa Iran lilitolewa mwezi Novemba 2024, na ameahidi kutoa taarifa za video kila siku pale itakapowezekana. "Agizo hilo lilitolewa muda...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    Tutegemee matukio gani kujitikeza kuanzia sasa kuelekea Oktoba 2025?

    Uzi huu ni kwa wale waona mbali tu. Wale waliibarikiwa kipawa na Mwenyezi Mungu cha kuweza kuona yajayo. Kwa upepo unavyoenda, ni matukio gani makubwa unahisi yanaweza kutokea kuanzia sasa mpaka hapo Oktoba? Cc: Tumia akili
  5. Mad Max

    Wapenzi wa Magari ya Audi: Kuanzia mwaka 2025 Audi A4 hatunazo tena, zimekua replaced na Audi A5!

    Tumetoka mbali sana na Audi A4, kuanzia mwaka 1994 na hatimaye tumefika mwisho wake baada ya miaka 30. Hadi sasa tumekua na jumla ya generations tano za A4, kuanzia B5 ya mwaka 1994 hadi B9 ya 2015. 1st Gen B5 2nd Gen B6 3rd Gen B7 4th Gen B8 5th Gen B9 Ni moja ya gari nilizowahi zielewa...
  6. E

    TanzaGIZA Serikali mfu kuanzia BUNGE mpaka VYUO VIKUU

    kwema ndugu zangu wa kitanzania Hivi serikali imeshindwa kabisa kuendesha mwendokasi Hivi Tanzania nzima hakuna kichwa/mtu wa kuweza kusimamia mwendokasi Hivi UDSM inazalisha wasomi kweli au ni chuo cha siasa, yaani Chuo cha TAIFA kimeshindwa kutoa akili moja ya kusimamia Mwendokasi Hivi...
  7. Alhadj mohameid

    Je unamiliki tipper kuanzia SqM.15 na kuendelea fursa ni ya kwako sasa

    ⛑️TANGAZO MAALUM KUTOKA UMATIDO⛑️ (Umoja wa Madereva Tipa Dodoma) 🚛 Unamiliki Lori la TIPA? Unataka lori lako lipate kazi za uhakika, lisimamie kwa uadilifu, na kukuingizia kipato bila usumbufu? ⚠️ USIKOSE FURSA HII! Chama cha UMATIDO kinakaribisha wamiliki wote wa magari ya TIPA kujiunga...
  8. mirindimo

    KERO Naona tuko kwenye mgao mkali wa umeme Kimara kuanzia Stop Over

    Kila siku umeme unakata asubuhi unarejea saa mbili usiku hakuna taarifa hakuna lolote hii inaitwa "mtajijua" sijui kwanini tunateswa namna kwenye nchi yetu !!!
  9. stabilityman

    Natoa ofa kuanzia leo Nitajie kiwanja chako kina ukubwa gani mimi nikwambie unaweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi

    Bure kabisa fatilia hapa Natoa ofa kuanzia leo Nitajie kiwanja chako kina ukubwa gani mimi nikwambie unaweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi vya kulala Wasalaam Eng James 0743 257 669
  10. Dennis Robert Shughuru

    Nitahakikisha kunakuwa na Tanzania master plan model na kuanzia balozi, mwenyekiti, afisa mtendaji, wakuu wa wilaya na mikoa watakuwa na hardcopy

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisga nchi nzima inapimwa, na hii kazi ya kupima nchi nzima watapewa waholanzi, wakimaliza Tanzania master planning itakuwa kwenye three dimension na hardcopy watapewa mabolozi, wenyeviti wa mitaa, wakuu wa wilaya, na wakuu wa mikoa ili mwananchi akitaka kujenga...
  11. chiembe

    ACT Wazalendo wanajiandaa kumpokea Mnyika muda wowote kuanzia sasa? Wenye za ndani watufahamishe

    Kuna tetesi za Mnyika kujiunga na ACT wazalendo, wenye za ndani watufahamishe!
  12. Uponyaji na uzima

    Waumini wa ufufuo na uzima tutaendelea na ibada kama kawaida pale ubungo na nchi nzima kuanzia jumapili, serikali ijue Gwajima hamiliki hilo kanisa

    Kama serikali ina tatizo na Askofu Gwajima basi washughulike naye huko ila sisi tutaendelea na ibada jumapili kama kawaida. Mkitaka mje na silaha na kutuua ila wala hatutaacha kukusanyika maana hilo ni agizo la biblia takatifu. Askofu Gwajima sio mmiliki wa kiwanja au jengo na wala sio...
  13. Eli Cohen

    Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya La Liga kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

    Mimi nitaenda na formation ya 4-4-2 DIAMOND 1. Casillas 2. Alves 3. Ramos 4. Pique 5. Marcelo .Alonso . Xavi . Modric . Iniesta . Messi . Ronaldo
  14. kyagata

    Hapa mbeya ugali nyama choma unaupata kuanzia saa 11 alfajiri.

    Aisee Leo nimeamka na hangover sio poa,mwenyeji wangu akaniambia usiwaze twende tukapige diko somewhere, nikamuuliza saa 11 ile msosi tunatoa wapi. Jamaa akaniambia Acha wenge nifuate,tukaingia huko uyole ndani ndani tukaibuka kwa jamaa anaitwa j4,tukakuta nyomi ya raia ya kutosha,tukapiga nguna...
  15. Eli Cohen

    Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya EPL kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

    Mimi nitaenda na formation: 4-3-1-2 1. Cech 2. Neville 3. Vidic 4. Terry 5. Cole 6. Scholes 7. Gerrard 8. Lampard 9.Rooney 10. Ronaldo 11. Henry
  16. Mhaya

    Shukuru Mungu Kwa Maisha Uliyonayo Wengine Hawana Kabisa Pa Kuanzia, Tujifunze Kusaidiana

    Jana majira ya saa tano usiku wakati najiandaa kucheki muvi, nikapatwa na msukumo wa kutoka nyumbani na kwenda kuzurura mitaani. Huwa ninafanya hivi mara kwa mara ila msukumo wa jana ulikuwa mkubwa. Nilipotoka ndani, kwanza nikakutana na kibaridi kinapiga, nilitaka kusitisha safari ila nikasema...
  17. flamini

    Natafuta kuanzia tonne 5 ya Hass or fuerte Avocado kwa maeneo ya Arusha or kaskazini

    Wakuu nimepata mchongo wa kukusanya avocado za Hass kwa maeneo ya kaskazini sababu zinaenda Nairobi. Nataka supplier wa uhakika na bei nzuri tufanye biashara na malipo ni hapo kwa hapo. Nicheki pm tufanye biashara.
  18. stakehigh

    Kuanzia mwaka 2022 mpaka 2024, Serikali imetumia 3B Ksh kulipia uzembe

    https://www.youtube.com/watch?v=iMrLys3Q9iM
  19. H

    Mbunge Aliyewaita Watanzania ni KENGE, Kuanzia Leo Watanzania Tumwite Yeye MBUNGE KENGE

    Jana, kupitia mitandao mbalimbali, tumemsikia mbunge wa Zanzibar akiwaita wananchi ni Kenge. Yaani mtu ambaye upeo wake ni duni, elimu yake ya kubabaisha, mtu mwongo aliyelidanganya bunge kuwa ana diploma, kumbe hata form 4 tu aliimaliza kwa shida, anawaita watanzania Kenge. Hana uelewa wala...
  20. Yoda

    Mamlaka za Saudia zimekanusha taarifa za Pombe kuruhusiwa kuanzia 2026 nchini humo

    === Afisa mmoja wa Saudi Arabia alikanusha Jumatatu taarifa za vyombo vya habari zilizodai kuwa ufalme huo, ambao ni mahali palipozaliwa Uislamu, ungeondoa marufuku ya miaka 73 dhidi ya pombe, ambayo imekatazwa kwa Waislamu. Taarifa hiyo, ambayo iliripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari vya...
Back
Top Bottom