Wayarahisishe kulingana na levo na yawe ni lazima
1: Financial literacy.
Watoto na wanafunzi wajue fedha ni nini, jinsi ya kuzipata kihalali, kuzisimamia na kuzisalisha hadi maskini anakuwa bilionea.
China kuna kipindi video zinawekwa chekechea za wazazi wakifanya kazi kwa suluba ili angalau...
Somo la uraia lifutwe,na somo la sati za kazi ifutwe kwa shule za msingi kisha watoto wasome sheria kuanzia angalau darasa la 5.
Sekondari pia Uraia liondolewe ,SHERIA NA SAIKOLOJIA yawe masomo ya lazima kusoma.
Jamaa ina rundo la watu wasiojua haki zao za msingi na hawajui ni kwa nmna gani...
Taifa lolote linalotaka kuendelea lazima kipaumbele kiwe katika elimu
Katika nchi yetu elimu imepewa nafasi ndogo sana katika vipaumbele vya nchi
Angalia walimu wanavyoishi maisha ya chini sana katika jamii
Angalia majengo ya shule kwa maana ya madarasa, ofisi, fenicha, vyoo vya shule...
Ninawazo la biashara kwa dar es salaam maeneo ya mbezi, naishi mkoa wa dar es salaam, mbezi mwisho karibia...mtaji 10M kuanzia nicheki 0756704145 whatsapp, tufanye kazi
Siku zote nilikua najiuliza , huyu kweli mwanamageuzi? Kweli sio chawa? Kumbe nimegundua , ni chawa wa LEMA.
Msakatonge, mzee fursa. Akinishambulia mimi kuwa chawa na napinga mageuzi, kumbe yeye ni chawa fursa, chawa mchafu, chawa kizee
Hamjambo!
Mimi sio TMA. Lakini kama Mwana jiografia, mazingira yananijulisha hapa kuanzia tarehe hizo mvua kubwa zitaanza kuripotiwa kunyesha.
Sasa sijui itakuwa ni El nino au mvua tuu za msimu vuli.
Haya nimemaliza.
Naondoka Kiel nino. Kibabe yaani.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Kwa jinsi pesa zinavyotoka na zinachotwa serikalini ili kujisafisha na kulazimisha kuwa yajatokea mnapata ujasiri gani.
Mfano leo mnachoma mafuta ,mnajaza askari na wanajeshi kila mkisikia wasi wasi.
Jambo lengine kulazimisha wasanii wawasifu,kujaza watu mitandao ya kijamii kujisafisha.
Yetu...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewakaribisha Watanzania, hususan viongozi wa jumuiya za kiraia, kushiriki mkutano utakaofanyika Mlimani City, Dar es Salaam, kuanzia Oktoba 28 hadi 30, 2026.
Mkutano huo unalenga kujadili changamoto zinazokabili jumuiya za kiraia, kuimarisha...
Mpendwa wetu Tundu Lissu ametangaza mgomo wa kula na kunywa kushinikiza kutimizwa haki zake kama zilivyoamriwa na mahakama.
Sasa jeshi la Magereza Tanzania wameendelea kumnyima haki ya kuongea kwa faragha na mawakili wake.
Hivyo basi nami kwa kutambua kwamba mtetezi wa wanyonge anapita kwenye...
Niombe watanzania asiwepo mtu wa kuingilia mgomo wa kutokula ambao anatarajia aufanye Lissu kuanzia tar. 26/10/2026.
ili kutupa nafasi sisi wasomi tuweze kubaini na kuona ni siku ngapi mtu anaweza akaishi bila kula mpaka anakufa. Sisi wasomi jukumu letu litakuwa ni kuhesabu siku tu mpaka siku...
Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili.
"Hayo ameyaeleza...
Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025.
Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya .
Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
Ukitaka kwenda kibiti na au mikoa ya kusini na unatokea morogoro au mikoa ya kaskazini na unataka kwenda lindi au mtwara au rufiji basi itakulazimu kwenda mpaka dsm ndo uende mikoa ya kusini rufiji, lindi na mtwara
Hii inconvinience ni kwa sababu kuanzia chalinze mpaka kibiti hakuna barabara ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Mkoa wa Dodoma ni Mkoa Pekee Ama Miongoni Mwa Mikoa Michache Sana Nchini Ambayo Imebahatika Kupata Bahati ya Kutoa Viongozi wakuu Wa nafasi ya pili na tatu pamoja na Katika Mhimili wa Bunge .
Ambapo Katika Nafasi ya Umakamu wa Rais Imeweza Kumtoa na Kulipatia Taifa...
Tukisema mnasema wivu. Waarabu na wahindi hapa tanzania wanaongoza kuwa na utambulisho wa uraia kuanzia kwao na popote.
Uhamiaji hapo ni pesa yako ila na shangaa kila kukicha wana dili na warundi ambao maskini wa kutupa.