kuachiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Keynez

    Kimantiki takwa la kuachiwa huru kwa Tundu Lissu kabla maridhiano hayajafanyika halina maana tena!

    Moja ya matakwa ambayo CHADEMA wamekuwa wanayasema kama moja ya vigezo vya kuingia katika meza ya maridhiano ni kuachiwa huru kwa Tundu Lissu bila masharti yoyote. Ukiangalia hapa ambapo tumefikia, takwa hilo halina maana tena maana kama mahabusu amekaa siku 577, kama kuhukumiwa amehukumiwa...
  2. Pascal Mayalla

    Voices from Within: Tundu Lissu Kuachiwa Huru Kesho? Kujiunga na Ndugu Zake Kumzika Kaka Yake Alute Siku ya J.4!

    Wanabodi, Leo asubuhi hii, nilikuwa najibu kwa hasira, post ya jamaa fulani humu jf, baada ya kuniita "kibaraka" ambayo imenitia hasira sana hadi ku invoke the the voices from within!, sasa hata kabla sijamaliza kuiandika kumjibu, na kuiposti, nikiwa katikati, nikaisikia ile sauti, ya kutoka...
  3. Yoda

    Wakatoliki na Walutheri wanaweza kusababisha Lissu kuachiwa

    Waumini Wakatoliki na Walutheri wakigoma kwenda kanisani mwezi mmoja tu mfululizo viongozi Wakatoliki na Walutheri serikalini watasababisha Lissu aachiwe, Dini bado ina nguvu na ushawishi mkubwa sana kwa wanasiasa wa Tanzania na inaweza kutumika kama nyenzo ya mabadiliko raia wakijua kutumia vizuri
  4. econonist

    Kwa kweli Marekani ni model wa Demokrasia duniani.

    Kwa kweli Marekani ni model wa demokrasia duniani. Uchaguzi imefanyika ndani ya masaa sita washindi washajulikana na walioshindwa wamekubali kushindwa na maisha yanasogea. Hadi Rais kichaa Trump kakubali kushindwa na kuahidi kufanya kazi na democrats. Kwa marekani usipotekeleza sera zako...
  5. M

    Shtuka, Kuachiwa kwa picha za Nchimbi ni Kiki ya kuzima vuguvugu la Oktoba 29 pamoja na Kutekwa Twaha Mwaipaya

    Kuna picha za Nchimbi zimeachiwa kuwa ameonekana Dubai mapumzikoni, tambueni kuwa picha hizo haziko kwa bahati mbaya ila zinatumika kuhamisha upepo mbaki kubishana juu ya uhalisia wa wapi alipo Nchimbi na msahau kutekwa kwa Twaha Mwaipaya pamoja na Vuguvugu la Maandano. CCM wana kila mbinu ya...
  6. C

    kesi za maandamano ya Oktoba 29 yatamatika Bunda na kuachiwa huru kwa watu 30

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Musoma, imemwachia huru George Mapuli Bukingi na kuhitimisha rasmi mfululizo wa kesi za vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, wilayani Bunda. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Kakolaki, aliyekubali rufaa ya Bukingi iliyokuwa ikipinga...
  7. Richard

    Kuachiwa kwa Kaijage kwarasimisha vita kati ya walosoma wakaelmika na walosoma lakini hawajaelimika

    Mwadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma bwana Melkisedek Kaijage leo kaachiwa huru baada ya upande wa mashtaka unoiwakilisha serikali kusema kwamba hauna nia ya kuendelea na kesi hiyo ya mchongo. Hiyo ni kesi ya mchongo kwasababu siku wanasheria wa UDOM wakihangaikia dhamana kwa ajili yake dhidi ya...
  8. Kigongoi kwetu

    Sio rahisi kuachiwa kuachiwa kirahisi

    Watawala wana hofu sana na huyu mtu,wanafahamu sana misimamo yake,hanunuliki na Wala hashawishiki kwa chochote. Kwenye mazingira ya kawaida ni kwamba angekaa pembeni baada ya kushambuliwa kwa risasi zile. Kwa sasa watawala watakachokifanya ni kuendelea kumuweka kizuizini na pia kuitumia...
  9. Idugunde

    Mzee Butiku ni mnafiki, anasema Lissu hawezi kuachiwa kwa amri ya rais wakati fisadi Harbinder Seth na mwenzake waliachiwa kwa amri ya Rais

    Huyu mzee huenda kweli alimuuza Polepole akatekwa. Tulishuhudia baada ya Magufuli kufa Mafisadi papa wa CCM wakaachiwa kwa amri ya rais. Leo huyu mzee analeta porojo👇
  10. Dalton Elijah

    SI KWELI Kikwete aomba Tundu Lissu kuachiwa ndani ya wiki hii maana Tanzania tuna amani.

    Kumekuwepo na machapisho yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii yenye nukuu mbalimbali zinazodaiwa kuwa zimetolewa na viongozi wa nchini Tanzania.Moja ya kurasa hizo ni mjadala tv na siasa za kweli ambazo huchapisha maudhui hayo mara kwa mara
  11. Carlos The Jackal

    Ridhiwani Kikwete Apinga KATIBA Mpya, Apinga kuachiwa kwa Lissu , yote haya ni sababu ya 'Urais' aloandaliwa anaona unapepea peeeee

    Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan. Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
  12. Scars

    NASA wamerudi tena Mwezini, na tayari picha za awali zimeanza kuachiwa — Je, Wale wabishi wa ‘Moon Hoax’ Bado Wataendelea Kubisha?

    Juzi tarehe 1 tumeona team ya Artemis II kutoka NASA imefanya tena ziara ya kuelekea mwezini ambayo itachukua siku 10 na leo tayari picha za awali zimeanza kusambazwa. Hii siyo simulizi ya karne ya 20 tena, bali ni ushahidi wa karne ya 21 unaoonekana kwa macho. Lakini ni kama umekuja wakati...
  13. Kijakazi

    akina Tundu Lisu wa venezuela waanza kuachiwa!

    D.Trump (USA)- wafungwa wa kisiasa waliofungwa na communist maduro wameanza kuachiwa, thanks to D.Trump, ni swala la muda tu hata akina Tundu Lisu watafikiwa, tusife moyo to fight evil ...
  14. Genius Man

    Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania

    Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania Habari kubwa ni kuachiwa kwa mmarekani haraka sana. Ujue hatuna serikali halali ni wahuni.
  15. W

    PostGE2025 DPP awafutia kesi ya uhaini Niffer na Mika Chavala

    Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 3, 2025 na Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya, baada wakili wa Serikali...
  16. Hance Mtanashati

    Nilisema kuhusu wahaini kuachiwa ili kumjenga kisiasa Rais Samia hatimaye leo yametimia

    Siku chache zilizopita niliandika thread kuhusu hizi kamata kamata za watu kisha kubambikiwa kesi ya uhaini, Rais Samia atakuja kutoa tamko hao watu waachiwe na malengo makuu ni mawili 1) Kumjenga Samuya Kisiasa 2)Kuwapumbaza wadanganyika. Hatimaye yametimia leo.
  17. Genius Man

    Viongozi wa upinzani wawe makini baada ya kuachiwa wanaweza wakawa wamepanga wawateke

    Viongozi wa upinzani wawe makini baada ya kuachiwa wanaweza wakawa wamepanga wawateke. Imarisheni ulinzi na muwe na ulinzi wa watu wenye silaha za moto.
  18. American nigga

    Diddy anaweza kuachiwa kati ya tar 8 mwezi wa 1 mwaka 2026

    Nyota ya Diddy inaonyesha nguvu kubwa sana ya uthibiti katika kila hali siku hizo so kwa makadilio Diddy anaweza kutoka Jela kati ya Tar 5 hadi tar 9 january na reccond zaidi Tar 8.
  19. DuaZaMama

    Mastaa Lukamba, Rose Ndauka watamani kuachiwa kwa Tundu Lissu

    Mwigizaji Rose Ndauka na Msanii Lukamba wameeleza matamanio yao ya kumuona Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiachiwa na kushiriki shughuli za kisiasa kama ilivyokuwa hapo awali. Kupitia mtandao wa Instagram Lukamba amechapisha picha ya Lissu akiambatanisha na maneno...
  20. O

    Mwenyekiti Wa CHADEMA Kuachiwa Tarehe 29 Octoba Siku Ya Uchaguzi!

    Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka, Habari ndo hiyo!
Back
Top Bottom