Borjana Krišto (née Krželj; born 13 August 1961) is a Bosnian Croat politician serving as the 11th Chairwoman of the Council of Ministers of Bosnia and Herzegovina since January 2023. She previously served as the 8th president of the Federation of Bosnia and Herzegovina from 2007 to 2011. She is the first woman to hold both positions.
Krišto holds a degree in law from the Faculty of Law in Banja Luka. Following the 2006 general election, she became president of the Federation of Bosnia and Herzegovina in February 2007, serving until March 2011. In June 2011, Krišto was one of the candidates for nomination to the office of Chairwoman of the Council of Ministers. Ultimately, she was not nominated.
A member of the Croatian Democratic Union since 1995, Krišto was the party's candidate for a seat in the Bosnian Presidency as a Croat member in the 2010 and 2022 general elections. However, she failed to get elected in both elections. She was a member of both the national House of Peoples and House of Representatives as well.
In January 2023, Krišto was appointed Chairwoman of the Council of Ministers, following the 2022 general election.
Mafundisho ya kanisa yanamtaja sana Mungu wa israel ila hata siku moja huwezi kuta wanaitaja dini ya Waisrael. Judaism religion
Na huwezi kuta kanisa linasema ukweli kwamba wa israel wanamkataa yesu kristo sio masihi na wala sio mwana wa Mungu na wala sio Mungu.
Pia huwezi kuta kanisa linataja...
Ni miaka 2000 sasa Yesu Kristo anasuburiwa kurudi kama alivyohaidi katika Mathayo 24.
Mbona hakuna dalili ya kurudi kwake kabisa kuja kuwachukua watu wake (kanisa) au kufa ?
Dunia haina muelekeo na mahesabu kabisa ya Yesu kurudi!
Mafundisho makuu ya Yesu Kristo ni Upendo.
1. Kuwapenda jirani kama unavyojipenda mwenyewe
2. Kuwapenda na kuwaombea maadui zako.
3. Ukipigwa shavu moja ugeuze na lingine
4. Kusamehe saba mara sabini
5. Kutopenda kujikusanyia mali/ kuwa tajiri bali kusaidia masikini na wahitaji.
Haya...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Tumekombolewa kwa mateso makali sana ya mwana wa MUNGU YESU KRISTO ambaye alipitia katika tumbo la mama bikira isaya 7:14 na pia soma isaya 9:6
Mama huyu bikira alizaliwa katika mji wa daudi mnamo miaka 700 toka nabii isaya kuishi alizaliwa...
Nakumbuka miaka ya nyuma mahubiri kuhusu Mpinga Kristo, alama ya mnyama (666) na kitabu cha Ufunuo yalikuwa kawaida sana kuyasikia kuanzia makanisa ya kilokole vijijini huko hadi yale makubwa ya akina askofu Mwakatage na Mwenisongole mijini huku!
Kila baada ya muda ungeyasikia madhabahuni.
Leo...
Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo.
Biblia inatuambia "Yesu akakutana na kijana tajiri akamwita, Mwalimu mwema, yesu akajibu, Mimi sio mwema Bali mwema ni MUNGU peke yake" hapa yesu anakiri kuwa yeye sio MUNGU.
Yesu...
Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo?
Sababu leo ni Miaka 2026 Tangu kuzaliwa kwa Emanueli(Yesu) huku Mohamad ikiwa kwanza ndo Miaka 1448 Tangu kuzaliwa kwake.
Je, Ni kweli Yesu kampiga gap la Miaka zadi ya 500 Mtume Mohamad?
Kwa Ufupi Mohamad ni...
Hela za Tanganyika zimehamishiwa Zanzibar. Sasa wanajenga KM mbili za Barabara kwa Bilioni 50+ kisa AFCON.
AFCON ishakuwa Dilisha la upigaji.
Kumbuka Bajeti ya Miundombinu ya Zanzibar ni Bilioni 400 tu kwa mwaka 2026/2027 .. Sasa kama Bilioni 50 zinajenga Kilometa mbili, Mishahara, Matumizi...
Wanadamu wote wametenda dhambi na wanastahili hukumu ya Mungu.
Katika Mwanzo 6:5-7 twasoma "BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote. BWANA akaghairi kwa kuwa amemfanya mwanadamu duniani, akahuzunika moyo. BWANA...
1 WAKORINTO 6
1 Je! Mtu wa kwenu akiwa ana daawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki, wala si mbele ya watakatifu?
2 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo?
3 Hamjui ya kuwa...
Hapo vip!
Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo.
Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Nawasalim salam
Sisi sote kama wakristo tunao wajibu mkubwa sana juu ya kumuishi na kumtangaza KRISTO katika kazi na maisha na matendo yetu
KRISTO YESU ni mwana wa MUNGU aliye hai mathayo 16:15-16 Baba wa mbingun ndo katufunulia hayo...
Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni
Ni wapi maandiko yanasema Yesu anaombea wanadamu
Katika maandiko, Warumi 8:34, yanasema,
“Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; tena ndiye...
Injili iliyoletwa na Kristo, ndiyo neno pekee la Mungu lililoleta ukamilifu wa maagizo yote yaliyotangulia yaliyokuwa na mapungufu mengi.
Yesu Kristo alisema kuwa hakuja kuitangua torati ya Musa bali kuikamilisha, kwa sababu ilikuwa na mapungufu. Kwa hiyo utimilifu na ukamilifu wa unabii wote...
Amani ya YESU KRISTO iwe nanyi ndugu Watanzania wenzangu
Naomba kutumia fursa hii kumtambulisha kwenu Yesu Kristo MFALME WA AMANI
ISAYA 9:6 "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu...
Friends and Our Enemies,
Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike.
Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special...
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika
Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani
Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.