Hakika watu wa kale walipata kunena kwamba "Mti mrefu haukosi upepo" - ikiwa na maana kwamba, mtu anayefanya vizuri hukutana na maneno mengi ya ukinzani na nongwa.
Mfano huo naweza kuutumia kwa namna ambavyo baadha ya vikundi maalumu vya watu waliojipanga katika kudogodosha,kuchafua...