Mwezi Agosti mwaka 1985, mfalme wa Pop, Michael Jackson, alicheza karata ya kibiashara iliyowashtua na kuwakasirisha mabosi wote wa makampuni makubwa ya muziki duniani.
Alinunua hati miliki za nyimbo zote za bendi maarufu zaidi duniani, The Beatles (pamoja na nyimbo za Elvis Presley na maelfu...