kodi

  1. Takwimu za Serikali zinaonyesha 6% tu ya Watanzania ndio wanaolipa kodi

    Takwimu za serikali zinaonyesha Watanzania sasa wako ama wanakafiriwa kuwa Milioni 60. Kwenye takwimu hizo, wazee ni Milioni 2 na ushee ila hawajafika Milioni 3. Wazee wa kuanzia umri wa miaka 61. Maximum ni Milioni 3. Kwenye hizo takwimu ina maana nguvu kazi ni watu Milioni 57, yaani ambao...
  2. Kazi ya kuweka Vinasaba (Marking) kwenye mafuta, TBS hawajui, Wabunge na Waziri Kalemani hajui chochote kinachoendelea. Je, kodi stahiki italipwa?

    DISCLAIMER: Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu hili suala kwa jinsi nilivyoliona na kulishuhudia. Sina maslahi yoyote na suala hili. ========= Ni maajabu juu ya maajabu. Nchi ina maajabu sana hii. Iko hivi: Hivi karibuni bungeni, Mb. Shabiby na Tabasamu waliibua hoja kwamba serikali imepigwa...
  3. Mashauri sita yaliyosababishwa na Serikali ya John Pombe Magufuli: Kugharimu mabilioni ya kodi za Watanzania

    Habari Wana JF, Bila shaka wengi mnafahamu kuwa Serikali ya Tanzania maarufu kama Serikali ya Magufuli ilitenda kwa kutanguliza nguvu, vitisho na weledi duni hasa katika kudeal na majadiliano ya kibiashara na wawekezaji mbalimbali. Matumizi ya nguvu yalichagizwa zaidi na kutungwa kwa sheria...
  4. N

    Hivi ongezeko la mshahara linalofanywa kisiasa kwa kupunguzwa kodi kwa asimilia 01 lina matokeo gani?

    Hii imeshindwa kueleweka kwa wengi. Je, ina maana kuwa ile kodi aliyokuwa analipa mfanyakazi lets say ni shilingi laki moja (100,000) kwa sasa inapungua kwa kiasi cha asilimia 1 ina maana analipa shilingi elfu tisini (90,000)? - Kwa maana hiyo kwenye mshahara wake anaongezewa shilingi elfu...
  5. Serikali ya Colombia yafuta Muswada wa ongezeko la kodi baada ya maandamano makubwa ya siku nne

    Rais Iván Duque ameondoa Muswada tata wa mageuzi ya Kodi kufuatia maandamano makubwa yaliyodumu Nchini humo kwa siku nne Awali alisisitiza ongezeko la Kodi lilihitajika ili kukabiliana na mdororo wa kiuchumi lililosababishwa na mlipuko wa Virusi vya Corona, uamuzi ambao uliwakasirisha wananchi...
  6. Swali: hivi wabunge wanalipa kodi?

    Habari wadau, Nimekaa nikatafakari income gap ya wabunge na sisi makanjanja. Naomba kujua mbunge anakatwa kodi kwenye mshahara wake m 12 kwa mwezi? Kama hakatwi why? mfanyakazi wa mshahara wa 280000 iweje alipe kodi na anayepokea zaidi ya 10M asilipe kodi? Karibu mnijuze.
  7. K

    Kwanini Viongozi wa Mahakama, wabunge na viongozi wakuu wa serikali awalipi Kodi?

    Nchi yetu inakautawala kaajabu kwelikweli, watu wanaopaswa kuwa mfano mzuri wa ulipaji Kodi ndio waliozuiliwa na sheria kulipa Kodi. Watu wanaolipwa vizuri awalipi Kodi. Watu wanaopaswa kuwatetea na kutunga sheria nzuri kuhusu Kodi awalipi Kodi. Watu wa aina hii wanawezaje kujua uchungu wa Kodi...
  8. Nahitaji kuanza biashara ya kufuata vijora Mombasa ushauri tafadhali

    Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima wa afya, Ndugu zangu ninaomba kujuzwa kwa wale wazoefu wa biashara ya kwenda Mombasa kufuata vijora ni taratibu zipi natakiwa kuzifuata na mtaji ama kianzio cha biashara na tax pia wanatozaje, naombeni michango yenu na nataguliza shukrani za dhati kwenu...
  9. K

    Rais Samia atangaza kupunguza kodi 1% ya makato ya Mishahara ya wafanyakazi kutoka 9% mpaka 8%..

    Asante mama
  10. K

    Ushawahi kumlipia mchepuko wako kodi ya nyumba?

    Kuna mwanamke hapa namfatilia ni almost mwaka sasa , hajawahi kunipa game japo huwa tunatoka outing mara nyingi lkn nikimgusia mambo ya sex tunagombana hata kusikia anasema mpaka ndoa hataki kutoa mzigo ila nimekuwa msaada kwake kwa mambo mengi lkn mishen yangu ya kusex nae haijatimia, Na kila...
  11. Zanzibar inachangia nini kwenye Serikali ya Muungano? Isije ikawa wanatumia Kodi za Bara

    Watu tunataka Elimu mchango ambao Zanzibar inatoa kwenye Serikali ya Muungano. Naona kama Tunaumia sana sisi wa Bara. Kuubeba Muungano. Mfano nataka kuoa. Nimeandaa Harusi baadaye nikaamua kutofanya sherehe. Je zile pesa nagawa pia kwa bibi harusi? Ndicho ambacho alichofanya Samia. Yaani pesa...
  12. S

    Madalali wasajiliwe na walipee kodi

    Wakati umefika tuwe na sheria ya kutaka madalali wasajiliwe na walipe kodi kwani licha ya kuingiza kipato kupitia udalali, wanaongezea watu gharama za maisha huko wao hawalipwi kodi. Dalali akikutafutia nyumba/chumba, unatakiwa umlipe kodi ya mwezi mmoja mbali na kodi unayopaswa kumlipa mwenye...
  13. Z

    TRA na Wizara ya Biashara tumieni njia hizi kukusanya kodi. Kila mwananchi lazime atalipa kodi na nchi itapaa kiuchumi

    Heri ya sikukuu ya Muungano, Nimewaza namna ya kila mwananchi kulipa kodi bila shurti. Yani ni hivi.Ondoa cash mitaani then kila mwananchi alipie bidhaa kwa mitandao ya simu ( M pesa,halopesa,Tigo pesa,aitel money, ttcl pesa,nk) na mitandao ya bank ( simbaking). I tell this is the only...
  14. Nashauri makampuni ya simu yaanzishe utaratibu tuwe tunalipia huduma za simu kama kodi za nyumba

    Habari wakurugenzi..! Nilikiwa nashauri haya makampuni yaanze kukubali gharama za simu tuwe tunazilipa kama kodi ya nyumba tuwe tunalipa kila baada ya miezi au mwaka na tunaandikishiana na kuwe na mikataba kati ya mtumiaji wa huduma na kampuni husika . Hilo swala la kulipa vifurushi naona...
  15. IST mpya ya 2004, CC 1490 inauzwa TZS 12,000,000.

    Nauza IST mpya kabisa haijasajiliwa na ina cc 1490 ya mwaka 2004 kwa bei ya TZS 12,000,000 ikiwa imejumuisha kodi na gharama za kutolea bandarini. Tuwasiliane kwa namba 0736770052.
  16. Zungu atoa ufafanuzi kuhusu kodi ya mtandao

    Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, alipendekeza kuwepo kwa kodi ya Uzalendo itakayokatwa kila siku kupitia Mitandao ya Simu kwa kila Mtanzania ili kuwa chanzo kipya cha mapato kwa Serikali. Zungu amejibu kwa ku-comment kwenye ukurasa wa Instagram wa JamiiForums akieleza kuwa Tsh. Bilioni 540...
  17. Zitto Kabwe aliwahi kupinga kodi ya laini ya simu

  18. Azzan Zungu ataka uwepo wa kodi ya uzalendo itakayokatwa kwenye Mitandao ya simu kwa kila Mtanzania

    Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali. Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540...
  19. Kodi za Tanzania Bara zifanane na za Zanzibar

    Kwa jina la JMT. Sijashuhidia hili ila miaka mingi nimekuwa nasikia kuwa kodi huko visiwa vya Zanzibar iko chini sana. Zamani ndugu yangu mmoja alikuwa anafuata vitu huko. Juzi kati kuna jamaa yangu kanunua TV huko. Hata magari nasikia kodi ipo chini sana. Napendekeza kodi za Bara ziwe sawa na...
  20. U

    Klabu ya Simba yapewa siku 14 kulipa kodi ya ardhi jumla ya Tshs milioni 77

    Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo mali za Klabu hiyo ikiwemo kiwanja cha Bunju kitashikiliwa au kitauzwa Utekelezaji wa agizo hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…