kizazi

Kizazi is an administrative ward within Muhambwe Constituency in Kibondo District of Kigoma Region in Tanzania.
At the time of the 2012 census, Kibondo District had a total population of 261,331.

View More On Wikipedia.org
  1. zimwi likujualo

    JE, KIZAZI CHA SASA KIMEPOTEZA MAADILI,AU MABADILIKO YA DUNIA YANATUFANYA TUONE HIVO?

    habari wana jamvi Kumekuwa na malalamiko mengi katika jamii kuhusu mabadiliko ya tabia, mwenendo, heshima, uwajibikaji na misingi ya malezi katika kizazi cha sasa. Baadhi ya watu wanaamini kuwa kizazi cha sasa kimepoteza maadili kutokana na athari za mitandao ya kijamii, mabadiliko ya...
  2. Sifi Leo

    Nina wasi wasi, Mzee Allute atazikwa na wanasingizia, ila kasoro Mwigulu mchemba, ila itakuwa lahana kwa kizazi chake.

    Tarehe 10/11/2026 Allute atazikwa mkoani singida. Nina hakika atazikwa na wana singida wote ingawa baadhi yao wapo mikoa mbalimbali wakiuza bar Silalamiki ila naomba wana singida kasoro Mwigulu usije tuliAaaaaa.
  3. fexcash

    Kizazi kitakachoikomboa Tanganyika

    UKOMBOZI WA TANGANYIKA UTAFANYWA NA NANI? Taifa la Tanganyika linapitia kipindi kigumu kinachohusisha changamoto za ukandamizaji, uporaji wa haki za wananchi na unyonyaji wa rasilimali za taifa. Hoja na maneno mengi yamekuwa yakizungumzwa, lakini bado hakuna hatua madhubuti za kutosha...
  4. M

    Kaa ukijua malipo yapo. Unavyowatesa wengine yatakurudia wewe, na yasipokupata, kizazi chako hakitapata amani kikikutana na kizazi cha uliowatesa

    Kaa ukijua kuwa malipo yapo duniani. Unavyowatesa wengine leo, kuna siku unaweza kukutana na matokeo ya matendo yako. Na kama wewe hutayashuhudia, huenda kizazi chako kikakutana na matokeo ya maumivu uliyowasababishia wengine. Usimdharau mtu kwa sababu leo hana nguvu ya kukulipa. Usimnyanyase...
  5. Yoda

    Sheria za Mungu za kale za maadili zinaweza kuwa suluhisho kwa kizazi hichi?

    Tuchukue Sheria ya maadili ya ubikira katika Biblia tuichambue kama inaweza kutusaidia kudhibiti wanawake wa kizazi hiki ambacho vijana wanalalamika sana uchumi wa kupata bikira. Kumbukumbu la Torati 22: 13-21 13. Mtu akimtwaa mke, akaingia kwake, kisha akamchukia, 14. Na kumsingizia mambo ya...
  6. adriz

    Millennials ndio Kizazi kilichofeli zaidi katika malezi ya watoto

    Moja kwa moja ; Tunapozungumzia Millennials tunamaanisha wale waliozaliwa kuanzia 1981 mpaka 1996 , kumekuwa na trending ya kulaumu watoto katika mmomonyoko wa maadili na kusahau chanzo kikuu ambacho ni wazazi wao . Millennials wengi ndio wamezaa watoto waliozaliwa kuanzia 2010 walioanza...
  7. Eli Cohen

    France walijifanya vinara wa uhamiaji. Leo hii kizazi cha wahamiaji kutoka North na West Africa wanaunguza nchi. UK wao ni ubakaji umeongezeka

    Katika mipango ya kisasa ya EU ilikuwa ni kukumbatia sera la mlengwa kushoto (liberalism), ambao maudhui na haki za mashoga, kuspport course ya palestine na kupokea wahamiaji kiholela ndio zikawa focal points zao. Poland na hungary zilikata uhuni huu kwa kukataa sera za liberalism ambazo...
  8. Gunner11

    Kizazi kilichopoteza chimbuko ndo chanzo cha matatizo mengi

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la atheist nyakati hizi za kukuwa kwa technogy. Yaani wanaishi kwa Mitongozo ya screens and mashines Ila wa nasahau kuwa wazee wa zamani walijua kuwa mwanadamu hawezi ku replicate nature, nature ina rhythm maridhawa na inajua kuishi kama wewe unavyo pumua nayo...
  9. M

    Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

    Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi. Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona. Millennials wengi wakaingia kwenye...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Kigwangala: 2015 niliamini ningekuwa rais mzuri wa kizazi chetu

    "Mimi nilikuwa kuwa mwanasiasa kijana machachari nimeingia bungeni nikaona kuna fursa ya kuomba ah nafasi ya kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania..." "Mbali na kwamba ah ilikuwa ni haki yangu ya kikatiba nilikuwa na sifa zote lakini pili mimi ni mtu ninayependa kudhubutu.
  11. MakinikiA

    Kizazi cha Ufisadi hakitaisha.....

  12. Kazanazo

    Hivi kikitoweka hiki kizazi cha wahenga JF itakuwa na watu gani tena wa kuichangamsha au ndio itajifia

    Humu kuna wahenga wa JF katika majukwaa mbali mbali yani kila uzi wachangiaji ni wao na kazi yao kubwa ni kuji-update kwa kubadili Id's lakini wapo humu JF toka inaitwa jambo forum huko Hao ndio huifanya jamii forum kuwa forum iliyochangamka hasa majukwaa ya siasa, mahusiano, michezo, chitchat...
  13. N'yadikwa

    MAAFISA HABARI, KIZAZI KIMEBADILIKA: WATU HAWATAKI PRESS RELEASE KILA SIKU

    Kuna jambo nimekuwa nikilitafakari siku hizi kuhusu namna taasisi za umma zinavyowasiliana na umma, hasa kupitia social media. Kwa kweli naamini kuna haja kubwa kwa maafisa habari kubadilika na kuanza kuelewa vizuri hisia, tabia na matarajio ya audience wanayoihudumia. Dunia imebadilika...
  14. Waufukweni

    Utafiti: Gen Z ndiyo Kizazi kikubwa zaidi Duniani, Kikiwa na Watu bilioni 2.04

    Kizazi cha Gen Z sasa ndicho kizazi kikubwa zaidi duniani, kikiwa na wastani wa watu bilioni 2.04 — sawa na 24.8% ya idadi ya watu wote duniani. Kinafuatiwa na Millennials wenye watu bilioni 1.87 (22.6%), huku Gen Alpha ikiwa na watu bilioni 1.74 (21.1%). Kwa pamoja, vizazi hivi vitatu vina...
  15. A

    KERO TCRA na Serikali mnapambana na JF mmewaacha Meta waue kizazi chetu?

    Ukiingia WhatsApp Channels, Meta wana mkakati wa makusudi wa kupendekeza channels za ajabu kwa watanzania. Hiki kitu ni cha makusudi kabisa lakini TCRA na mamlaka za Serikali wako kimya. Wao adui mbaya kwa Taifa ni anayewakosoa sio anayefanya mambo kama haya ya Meta. Nimeangalia simu ya...
  16. livingroom_espionage

    Vizazi vyenye Bahati toka kuumbwa kwa ulimwengu, Je kwanini sio kizazi chetu hiki ?

    Wakuu salama. Tafakari kizazi Adam na Hawa kabla ya dhambi, Ebu assume walivyokula bata. Tazama kizazi kipindi cha Yesu Kristo (Mungu katika mwili) na mtume Mohamad (mwenye kheri na utukufu) angalia watu walivyoshuhudia miujiza na matendo makuu ya Mungu. Tazama kizazi kitakachoona mwisho wa...
  17. papag

    Wazazi wa sasa na kizazi chao

    Habari wazazi wa kipindi hichi cha zama za tekelinalokujia. Siku hizi mtoto si wa jumuia kama enzi zetu. Popote utakapo kutwa na mzazi yeyote waweza tumwa au kuadhibiwa. Ila kizazi hichi thubutu uone rangi za wazazi. Sasa hivi ukimfungia mtoto ndani kwenye mageti ni SHIDA na pia ukimuacha huko...
  18. Yoda

    Kizazi cha Kanaani bado kinaendelea kuathiriwa na laana ya Nuhu mpaka leo?

    Kulingana na maandiko ya Biblia kati ya Watoto wa watatu wa Nuhu mmoja alilaaniwa vibaya sana na baba yake. Mtoto aliyelaaniwa bado kizazi chake kinaendelea kuishi chini ya laana? Wazao wake Kaanani leo hii ni wapi ? Mwanzo 9: 25-27 25: Alaaniwe Kanaani; Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake...
Back
Top Bottom