kiwanja

  1. Plot4Sale Kiwanja Mwembe Mdogo Kigamboni Bei chee

    Pata kiwanja kwa Bei chee Mwembe Mdogo Kigamboni 696 square meters Kimepimwa +255714908121 Bei (3700000)
  2. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa - Bagamoyo Kilomo

    Kiwanja kinauzwa heka 4, kipo bagamoyo kilomo kilometers sita kutoka barabara kuu ya bBgamoyo, upande wa kilomo shule ya msingi, ukienda Bagamoyo upande wa kushoto, uliza kilomo shule. Bei ni milioni 13. Kwa mawasiliano piga namba 0686 351 253.
  3. Kajenga katika kiwanja cha mwanamke kinachomtokea utamhurumia

    Rafiki yangu Leo nimemsikia akiniambia sauti anazotoa yule mke wangu chumbani zinaweza kuniua. Fikiria nyumba moja mmegawana vyumba wewe na aliyekuwa mkeo baada ya kuachana. Wamepatana kila mtu awe huru na maisha yake. Anachofanya huyu mwanamke kaleta mwanaume anaishi nae inapofika usiku...
  4. Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  5. Kiwanja pembezoni mwa barabara cha biashara

    Wapendwa, Kinahitajika kiwanja kinacho face barabara ya lami hapa Dar es salaam. Ukubwa ni wowote Ila ni vema kuwe na mpaka unaojulikana wa barabara ili kuepuka kubomolewa. Bajeti iliyopo ni 20m.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…