Nimefuatilia leo kwenye sherehe za kumuaga Rais Mtaafu BW Mkapa. Kilichotokea ni kuwa Rais ameamua kuwa Uwanja wa Mpira Uitwe Uwanja wa Mkapa kama watu wengi walivyopendekeza.
Pia, alisema kuwa Mzee Mkapa hakupenda jina lake liwe kwenye kumbukumbu kama hizo lakini kwa vile hayupo basi ameamua...
Wadau Naombeni msaada kidogo pengine hapa naweza kusaidiwa hata mawazo, hili jambo limenitesa sana nimekuwa nikifuatilia kupata hati ya eneo langu ambalo limepimwa na nimelipia kila kitu na risiti ninazo ila changamoto nilizokutana nazo mpaka nafanikiwa kupata invoice ya kwenda kulipia na kupata...
Habari ndugu,
Mimi ni kijana niko katika harakati za kujenga maisha japo kwa kujitutumua sana natafuta kiwanja kisichozidi bei ya 5mil Tsh maeneo ya Tabata au Kinyerezi, kiwanja kilichopimwa na size ianzie angalau 600 Sqm kwa ajili ya makazi. Mwenye kujua kinauzwa au kipo anicheki DM
Shukrani.
Kiwanja kinauzwa kipo eneo la mawelewele Iringa manispaa kimepimwa na kinafikika kwa barabara ya lami urefu ni 40m na upana 20m eneo la tambarare.
Bei 28,000/= kwa meta moja ya mraba
Eneo: Chanika mwisho mtaa wa zogoali kwa wambili.
Bei: Tsh. 950,000/=
Umeme Upo na maji visima vipo karibu
Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18
Hakuna Dalalii
Piga namba 0627864823
Huduma za kijamii kama shule na zahanati zipo karibu.
Nina likizo ya kama siku 21, sasa nina kajisenti hapa ka kula burudani kwa muda huu wa likizo kisha nirudi kuendelea kutumika kwa mwajiri.
Kwanza mimi situmii aina yoyote ya kilevi ila nina kilevi changu.
Sasa naomba kujua kati ya maeneo haya ya burudani wapi napata kilevi changu au vilevi...
Kiwanja kipo Kimbiji kwa Moriss,km30 kutoka Kigamboni.Ukubwa ni mita20 kwa 20. Kipo jirani na barabara kuu lakini nje ya mawe ya hifadhi ya barabara.Kipo jirani na ufukwe(beach).
Panafaa kwa minara ya simu,fremu za maduka, mashine za kusaga,duka la hardware,hoteli ,baa,kufyatulia na kuuzia...
Habari .
Natafuta kiwanja kuanzia maeneo ya Goba/Bunju/Salasala/madale nk ambacho kipo pembezoni mwa barabara kubwa.
Kiwanja kinachofaa kwa kuweka biashara.
Mwenye nacho ani DM.
Shukrani.
Eneo: Mtaa wa kwa wa mbili - Zogoali
Bei: Tsh. 1,300,000/=
Umeme Upo na maji yapo
Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18
Hakuna Dalalii
Piga namba 0627864823
NATAFUTA KIWANJA , SHAMBA , ARDHI MOROGORO MANISPAA
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, natafuta Kiwanja, Shamba au Ardhi ya kununua Morogoro Manispaa.Ardhi ninayohitaji iwe aidha imepimwa (i.e Surveyed land) au haijapimwa (i.e unsurveyed land or Squatter ), isipokuwa kitu cha...
Kwa sisi tunaopenda kusafiri,tukifika huko tuendako huwa tunapenda kufahamu sehemu ambazo tutafurahia maisha tukiwa huko ugenini.Moja ya vitu tunavyopenda ni kwenda kwenye viwanja vyenye watoto wakali,hata kuwaona tu ni raha vyakula na vinywani vinashuka vizuri.Miongozo yenu ni muhimu kuwaza...
Kiwanja kipo Mbezi Mwisho kilometa moja na nusu kutoka Morogoro Road njia nane na kilometer 2 kutoka Kituo kipya cha mabasi Ubungo .
kiwanja kimepimwa
Maji ya dawassa
Umeme
Na huduma zote za kijamii zipo
Ukubwa wa kiwanja ni 50 kwa 22 sawa na sqm 1100.
Bei ya kiwanja ni 28 million Tshs...
naombeni ushauri wenu ndugu, ninakiwanja cha 20:30 square meter, uwezo wa kujenga nyumba kubwa kwa haraka sina na maisha ya kupanga siyapendi, je mnanishauri nini? nijenge ndogo tu kwa nyuma kwanza nihamie au nivumilie nijenge kubwa ingawa itanichukua muda mrefu kutokana na hali ya kipato, na...
Habari.
Natafuta kiwanja kuanzia sqm 350 kuwndelea kwa ajili ya makazi kuanzia maeneo ya kibaha kwa matias kwenda hadi kiluvya pande zote pia hadi vikawe. Kilichopimwa au hakijapimwa.
Ni PM km unajua kama kipo kinachouzwa
Ninauza Kiwanja number 36 kilichopo Mkundi, Morogoro mjini, umbali mita miambili toka Dodoma road. Kina hati rasmi, siyo squatter. Gharama ya kubadilisha jina la hati itakuwa juu yako ambayo haizidi laki mbili na nusu.
Ukubwa wa kiwanja ni 400 mita za mraba ( 20 kwa 20) . Bei ni Milioni tatu...
Kiwanja chenye ukubwa wa 1242m² kinauzwa maeneo ya Lukobe Morogoro Manispaa, kipo jirani na barabara kimepimwa na kulipiwa ada zote. Bei Tsh 6,000 000. Piga +255754202507 kwa maelezo zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.