kiwanja

  1. Msaada: Namna ya kuangalia uhalali wa kiwanja kwa smart phone

    Wakuu habari zenu, nawasalimu, pia niki wapongeza kwa kumaliza matumizi ya mshahara bila maumivu. Ok naomba kujuzwa, je inawezekana kuangalia barcode au mawe ya viwanja vilivyopimwa kwa kutumia App au formula yoyote ile kwa simu janja. Naomba msaada wenu juu ya hili.
  2. B

    Waziri Lukuvi, sio lazima kisheria jina la mke na mme kuwa kwenye hati ya kiwanja

    NDG. LUKUVI, SIO LAZIMA KISHERIA JINA LA MKE NA MME KUWA KWENYE HATI YA KIWANJA. Na Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Lazima tunapotoa kauli tuwe tunatofautisha matamanio yetu, na kile sheria inachosema. Tuangalie haya 6 kuhusu kauli ya ndg Lukuvi. 1. Mpaka sasa hakuna sheria...
  3. R

    Waziri Lukuvi: Kuanzia sasa ukiwa na kiwanja kinatakiwa kiitwe kwa jina lako na la mke wako

    Serikali imesema sheria inaruhusu hati ya kumiliki viwanja kuandikwa majina ya familia ikiwemo mume, mke pamoja na watoto hatua ambayo itasaidia kuondoa migogoro ya mirathi. Akizungumza leo Jumamosi Desemba 19, mkoani Kilimanjaro. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliamu Lukuvi...
  4. M

    Phone4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Magogoni

    Eneo Lilipo: Kigamboni Magogoni Aina ya eneo: Eneo la makazi Ukubwa wa kiwanja: 1350 sq meters Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu Umbali kutoka ferry km 5 na umbali kutoka barabara ya lami ni mita 150 Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo Nyaraka: Full Documents...
  5. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 70 kwa 70 Kigamboni Mwembe Mdogo

    Habari wadau! Nauza kiwanja changu mwembe mdogo kigambo mbele kidogo na ya Dege umbali kutaka Ferry nikama km 25 kufika kwenye kiwanja. 1.UKUBWA hatua 70 kwa 70 2.MUONEKANO Kiwanja kiko tambalale akuna milima wala mabonde kimenyooka 3.DOCUMENTS Hati za serekali...
  6. Kubadilisha hati ya kiwanja ya kijiji/ kitongoji kuwa legal doccument

    Habari wataalam, Kuna sehemu nimeomba mkopo ila katika kipengele cha dhamana (Collateral) nina hati ya kiwanja kupitia serikali ya kijiji, wahusika wamenambia ili waikubali niipeleke kwa mwanasheria ili iwe legal doccument. Sasa nnachotaka kujua hii hati yangu nikiipeleka kwa mwanasheria...
  7. Naitaji Kiwanja cha makazi na biashara Dodoma

    Salaam. Jaman naitaji Kiwanja kwa matumizi ya makazi na biashara Mjini dodoma Ningependa Sana ukubwa wa kiwanja uwe Sq m 1500 to 2000. Na maeneo ambayo naitaji ni ilazo, Nkuhungu, au nje ya mji kidogo njia ya kwenda Dar au Iringa. Kwa yeyote ambae anauza au anamjua anaeuza basi anijulishe...
  8. K

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbagala Chamanzi

    KIWANJA KINAUZWA KIPO-DAR ES-SALAAM Tz MAHALI-MBAGALA ENEO - CHAMANZI ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ UMBALI DK 4 TOKA BARABARA KUU YA LAMI __________ NYUMA YA SHULE YA SEKONDARI YA CHAMANZI _______ UKUBWA WAKE KIMEPIMWA #SQM_2643 _____ NYARAKA ZA UMILIKI KINA #HATI SAFI _____________...
  9. L

    Kiwanja kinauzwa mwanza

    Nauza kiwanja mwanza maeneo ya bwiru kwa maelezo zaidi nicheki
  10. Kubadirisha jina la kiwanja

    Habari zenu wakuu..! Mimi nimenunua kiwanja lakini hicho kiwanja kina mambo ya mirathi..Lakini kila kitu tumeweka sawa mahakani. Tatizo kubwa lipo kwenye kubadirisha jina kutoka kwa muuzaji kuja kwangu.Kiwanja nimenunua kwa Sh 4500000. Afsa Ardhi ananiambia gharama za kubadilisha majina ni Sh...
  11. Natafuta kiwanja Dar es Salaaam

    Wakuu natafuta kiwanja 25*30 au 30*30 kusiwe mbali sanaa na City center angalau 16-22km
  12. Natafuta Kiwanja cha kujenga jijini Dar. Nina Sh. Milioni 40

    Wakuu, Bajeti yangu ni TSH. 30,000,000 ingawa naweza kujivuta ikafika 40,000,000 nikipata kiwanja kizuri. Natafuta kiwanja kilichopimwa hasa maeneo ya Goba lakini maeneo ambayo tayari yameendelezwa. Kama unacho kiwanja (chako mwenyewe) au unamjua mwenye kiwanja maeneo haya, tafadhali...
  13. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Mwisho, Sqm 1100

    Nimeshauza tayari
  14. Plot4Sale Kiwanja chenye msingi kinauzwa - GOBA

    Tayari kimeuzwa
  15. A

    Ujenzi kwenye kiwanja chenye sqm 473

    Habari za wakati huu wadau, natumaini mpo salama. Naomba kufahamu kwa ukubwa wa kiwanja che nye sqm 473 ninaweza kuje nga nyumba yenye vyumba vingapi na nafasi ikabakia ya kutosha. Ninataraji kuanza ujenzi siku za karibuni. natanguliza shukran zangu za dhati.
  16. K

    Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na choo, msingi wa pili Ni wa vyumba viwili, ikiwemo master bedroom, sitting room jiko na choo.
  17. Yanga SC tununue hili shamba Kiluvia Makurunge tujenge uwanja tuuite Jakaya Kikwete

    Kichwa cha habari kinajieleza. Kwa nini kiwanja pande hizi? Jibu: Ni rahisi kufikika na mashabaki hata wa mikoani. Jiji la Dar linakua kuelekea Kibaha na Bagamoyo. Hivyo kujenga uwanja pande hizo kutaongeza ari ya mashabiki kuhudhuria uwanjani. Kwanini tuuite Jakaya Kikwete? Jibu: Ni rais...
  18. Pata ramani ya nyumba aina yoyote kwa bei nafuu

    Habari wakuu, Ninatoa huduma ya michoro ya ramani za nyumba. Ramani zipo nyingi za aina na ukubwa tofauti, hivyo nitatoa kulingana na mahitaji ya mteja na kufanya marekebisho kidogo ili kukidhi hitaji husika. Utanipa 'details' zako kamili na maelezo ya kiwanja chako. Marekebisho ninayofanya ni...
  19. Bei ya kiwanja Mbezi, Bunju au Kigamboni unapata nyumba Chanika au Mbagala

    Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure? Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana? Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na viunga vyake. Mimi nilinunua kiwanja 400 square miter chanika kwa 1 M. Tu tena kimepimwa. Nilinunua...
  20. Ushauri: Kiwanja cha bata leo

    Wadau habari zenu, ndugu zangu ni muda wa mwaka sasa nikiwa kikazi mkoani. Leo nimeingia jijini Dar es salaam hakika jiji linazidi kukua na kupendeza kila siku. Wadau nisiwachoshe naombeni mnielekeze kiwanja kilicho happen kwa sasa unakula bear huku unacheza na chenye watoto wakali wa kike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…