Katika product mbovu kutoka nchi ya Kenya ipo sokoni kwenye mzunguko kwa kiasi kikunwa basi ni Viberiti vyao vile vinaitwa Kasuku, aisee ni Product yenye quality mbovu sana!
Unaweza tumia njiti zake mda unawasha ile baruti ikapuputika, mara vinawaka kwa kuungua havitoi moto, mara kisiwake...