kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blasio Kachuchu

    Vodacom Tanzania Foundation yakabidhi Jengo la Kituo cha Rasilimali za Walimu Mbezi (TRC)

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando (aliyevaa skafu) akikata utepe kuzindua Kituo cha Rasilimali za Walimu (TRC) kilichofanyiwa maboresho na Vodacom Tanzania Foundation katika Shule ya Msingi na Ufundi Mbezi, Wilaya ya Ubungo. Uzinduzi wa jengo hilo umeambatana na makabidhiano ya vifaa vya...
  2. Zack Abdul

    Rais Samia akamilisha ujenzi wa kituo cha nishati jadidifu ATC wafikia asilimia 99

    Ujenzi wa Kituo cha Umahiri cha Nishati Jadidifu katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) umefikia asilimia 99, kikiwa na mtambo wenye uwezo wa kuzalisha megawati 1.6 za umeme. Mradi huo unatarajiwa kukamilika Desemba 2026 na kuunganishwa na Gridi ya Taifa kupitia TANESCO, hatua inayolenga kuimarisha...
  3. R

    Polisi waimarisha Ulinzi Kituo cha Treni Pugu

    Kikosi cha Polisi Reli kimeendesha doria za kiusalama kwa kutumia Mbwa wa Polisi katika Kituo cha Treni cha Pugu na Karakana ya Treni, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kuimarisha ulinzi na usalama wa miundombinu ya reli. Doria hiyo imefanyika Novemba 4, 2026, ikiongozwa na...
  4. Terrible Teen

    Tulia Kituo chako cha Kazi Dodoma

    Mheshimiwa Kituo chako cha kazi ni DODOMA, kuna ofisi kubwa na Serikali ipo huko, lakini kila siku misafara uwanja wa ndege kwenda Dar na kisha pwani. Gharama hizi wanabeba wanyonge walipa kodi. Tunachoka sisi, kaa utulie upate muda wa kutafakari mambo makubwa ya kuendeleza familia.
  5. N

    Dawati la jinsia Police Tanzania lina kazi gani ilhali kuna maafisa wa Ustawi wa jamii kila kata?? Mbona kesi za labor hazina dawati kituo cha Police?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Police Tanzania wao wana-deal na jinai (Crimes), masuala ya jinsia na watoto ni masuala ya maafisa wa Ustawi wa jamii waliopo karibia kila kata ndani ya Mkoa husika. Sasa lile dawati la jinsia katika ofisi ya OCS na OCD lina maana gani?? Mbona hakuna dawati la kesi...
  6. Sifi Leo

    Uwezi kutoa siku za ikulu ikabaki salama,R.I.P Mzee.

    Nina kusihii wewe aliyeenda nae ikulu mkaketi, uwe makini sana la sivyo watapita na wewe kama walivyopita nae chapu. Nakushii kuwa makini sana.
  7. Stunnaman008

    Zanzibar: Moto unawaka kwenye kituo cha umeme cha Forodhani

    Moto unawaka katika kituo cha umeme Forodhani
  8. A

    KERO Responded Utaratibu wa tiketi za magari Kituo cha SGR Morogoro uboreshwe, unasababisha Watu wanaganda kwenye foleni

    Nina kero kuhusu utaratibu wa ukataji wa tiketi kwa magari katika Stendi ya Jakaya Kikwete, mkoani Morogoro. Utaratibu uliopo si mzuri kwa sababu tunatumia muda mrefu kwenye foleni kusubiri kukata tiketi ili magari yaweze kutoka nje ya stendi. Changamoto hii inahusu magari yanayoleta na...
  9. A

    DOKEZO Ufanyike uchunguzi wa kina kuhusu uuzaji wa dawa katika Kituo cha Afya Katunguru

    Kuna malalamiko kuhusu mwenendo wa uuzaji wa dawa katika Kituo cha Afya Katunguru, kilichopo Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza. Tunaomba Wizara ya Afya na mamlaka nyingine husika zifuatilie suala hili ili kubaini ukweli na kuchukua hatua stahiki. Baadhi ya wafamasia wanapoingia zamu huleta...
  10. Roving Journalist

    RESOLVED Maboresho yafanyika katika Kituo cha Segerea (Dar es Salaam), mashimo yazibwa

    Julai 15, 2026, Mdau aliandika hoja kuhusu miundombinu ya Kituo cha Segerea kinachohudumia daladala za maeneo mbalimbali kuwa ina hali mbaya, alieleza kuwa imeharibika na kwamba hiyo haikuwa mara ya kwanza kuibuliwa kwa hoja hiyo. Hoja ya awali ~ Stendi ya Segerea - Dar kimeo sana, miundombinu...
  11. Parabolic

    Wilaya ya Tanganyika Yavuna Matunda Ya Biashara Ya Kaboni, Sh700 milioni Zajenga kituo cha Afya Katuma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akimkabidhi chandarua Mwananchi wa Kata ya Katuma Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi baada ya kukagua mradi wa Kituo cha afya kilichojengwa kutokana na fedha za Biashara ya Kaboni...
  12. A

    KERO Baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya Mbandе, Kongwa, Dodoma, wanatembea na dawa kwenye mabegi na kulazimisha wagonjwa kununua

    Kuna malalamiko kuhusu baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya Mbandе, kilichopo Wilaya ya Kongwa, Dodoma, kutembea na dawa kwenye mabegi na kuwalazimisha wagonjwa kuzinunua. Aidha, watumishi hao wanawajibu wagonjwa kwa lugha isiyo ya staha wanapouliza kuhusu upatikanaji wa dawa, wakiwaeleza kuwa...
  13. Parabolic

    Ujerumani, Tanzania wazindua Kituo cha Taarifa cha Serengeti

    SERENGETI. Tanzania na Ujerumani leo wamezindua rasmi Kituo kipya cha Taarifa cha Serengeti baada ya kukarabatiwa, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo katika uhifadhi wa bayoanuwai, utalii endelevu na maendeleo ya jamii zinazozunguka Hifadhi ya Taifa ya...
  14. M

    HOJA Tulipiga kelele za wezi kuzuia tukio lililoonekana ni la utekaji, nashangaa tumeitwa Polisi kwa ajili ya tukio hilo

    Jumamosi, katika eneo la Manzese, karibu na kibanda changu cha chipsi, kulitokea tukio ambalo lilitutia wasiwasi sisi tuliokuwa eneo hilo. Kulikuwa na bodaboda mmoja aliyesimamishwa na watu waliokuwa kwenye gari aina ya Noah. Mwanzoni, sisi tuliokuwa pale kijiweni hatukuhisi kwamba kuna jambo...
  15. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU. Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
  16. A

    DOKEZO Uchunguzi ufanyike Kituo cha Afya Fumagila. Kuna Wagonjwa wanatozwa fedha taslim badala ya Control Number

    Tunashukuru uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kufika katika Kituo cha Afya Fumagila wiki iliyopita na kutoa maagizo kuhusu changamoto zilizokuwa zikilalamikiwa, hususan suala la utoaji na upokeaji wa fedha kwa wagonjwa. Hata hivyo, baada ya viongozi hao kuondoka, hali inaonekana...
  17. Duh Aisee

    Mdude Nyagali alipotekwa nyumbani kwake akasema “CHADEMA wanajiteka, wameishiwa”, Mwanawe ametekwa kituo cha afya Nov 1 2025 mpaka leo hajulikai alipo

    Kuna mzee jirani yetu siku nimeonesha mwanaharakati Mdude ametekwa na video ya ushahidi pia akasema ooh hakuna kitu kama hicho huyo mdude ni kijana mdogo sana hawezi kutekwa ni chadema tu wanatafuta umaarufu. Ila kwa bahati mbaya, kipindi cha MO29 mwanae alipigwa risasi kwenye kibanda chake cha...
  18. Roving Journalist

    Responded TRC: Wananchi wawe na subira Kituo cha SGR Ruvu hakitumiki, kuna uboreshaji wa miundombinu

    Septemba 22, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Kituo cha SGR Ruvu hakifanyi kazi kwa karibu ya mwaka sasa, ni lini TRC itakifungua?” Katika maelezo yake Mdau aliendelea kueleza kuwa “TRC ituambie Kituo cha SGR Ruvu lini kitarejesha huduma ya kupandisha na kushusha abiria, kwa kuwa sasa...
  19. A

    KERO Kituo cha SGR Ruvu hakifanyi kazi kwa karibu ya mwaka sasa, ni lini TRC itakifungua?

    TRC ituambie kituo cha SGR Ruvu lini kitarejesha huduma ya kupandisha na kushusha abiria, kwa kuwa sasa ni karibu mwaka mmoja tangu kituo hicho kisimamishe huduma. Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, kituo cha SGR Ruvu hakipandishi wala kushusha abiria kufuatia ajali ya treni ya mchongoko iliyotokea...
  20. R

    Msaada please kupata case law hii kutoka kituo jumuishi Temeke (One Stop Centre temeke)

    please aliyeko Kituo jumuishi Temeke ie one sop centre temeke aliwekee acase law hii iliyohukumiwa na jaji Sarwat Miscellaneous Civil Application No. 25152 of 2024 kati ya Aloys rwehabura vs Perfectus Ruteganya Haipatijani TanzLii
Back
Top Bottom