kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Fun fact: Watanzania wengi hawajui 'Dam' ni kitu gani

    Watanzania wengi wanadhani kiswahili cha neno Dam ni bwawa. Wakisikia Mtera Dam basi wanajua kuwa kiswahili chake ni bwawa la Mtera. Ukweli ni kuwa dam ni ule ukuta unaojengwa kuzuia maji. Baadhi ya tafsiri za kiswahili zinaita ukuta huo Lambo. Huo ukuta hapo juu ndiyo unaitwa dam. Sehemu...
  2. Mwanaume kama sio lazima usimfanyie hiki kitu Mke wako

    Wanawake kwa hasili ni wavivu hasa hiki kizazi Cha kuanzia miaka ya 1990_2000 Most ya vitu wanavyovifanya ni vya kuiga tu yeye akishaona rafiki yake kapelekwa Serengeti National park naye analazmisha apelekwe ili mradi tu apate picha na video za kupost status na tick talk na vijembe juu Ili...
  3. Ni kitu gani umejaribu kuacha umeshindwa kabisa

    Wakuu kutekwa sasa basi kila mtu ajilinde anavyojua tutakwishaaaaa..... Hivi ni vitu nimejaribu kuacha na nimeshindwa kabisa 1. Kutosalimia salimia watu 2. Kutongoza mwanamke akizingua mara moja tu sihangaiki naye tena. 3. Kutamani na kuwala wake za watu 4. Kupenda sn muziki nipo tayari...
  4. H

    DOKEZO Jihadhari Sana na Kitu kinaitwa Vodabima. Unaweza Kupoteza Pesa Yako. Ni Mfumo wa Kubahatisha

    Sijui ni wangapi wamewahi kukumbana na na matatizo ya vodabima. Kwa uzoefu wangu, mara tatu imetokea unalipa bima ya gari kupittia vodabima. Unapata ujumbe kuonesha pesa imetoka kulipia bima ya gari fulani kuanzia kipindi fulani mpaka kipindi fulani, hakuna ujumbe mwingine. Kwenye mfumo wa...
  5. M

    Mke adai talaka na kugawana mali kwa kumzuia kutoenda msibani Hadi nitakapo rudi, nimemwambia chukua Kila kitu

    Habar wakuu nima mke na watoto 3Niko safarini kikazi,gafla ikatokea dharura nyumbani mke Wangu kafiwa na bibi yake mkoa mwingine akanitaarifa,nikamsihi asubiri ndani ya siku3 ntakua nimerud ila watoto wawe salama, Mke akagoma akasema hawezi akasubiria Hadi nije haiwezekani lazma ataenda na...
  6. Tunawaandama wakina ifropreneur, kiranga na eli cohen ila ni watu ambao wapo huru nafsini mwao tofauti na sisi tuliofungamana na dini za mchongo

    Kuna jamaa nimesoma uzi jana kuwa hata baada ya kupata mkopo wa 30mln akaenda kutoa fungu la kumi, leo analia anafirisika ila alipopeleka 3m wanasonga. Kuna mwingine niliona uzi anasema hakuna mahali kwwnye quran na bible imeandikwa kuwa ukioa msichana mdogo hata wa miaka 10 ni kosa. Sasa...
  7. AJIRA

    Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.? Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M + kwa 10 miezi = 9.6M kwa mwaka😀
  8. O

    “Kila kitu imepanda Kenya hadi stima except salary!”

    Kenyans wameamka tena na shock ya mpya kwa bill ya stima after EPRA kuongeza fuel charges, forex adjustment na WRMA levy. Hii inamaanisha every unit ya power imeongezeka cost before hata taxes zingine ziingie. Mtu wa bedsitter anayekuwa anabuy token ya KSh 500 sasa anaona units zikishuka faster...
  9. A

    Hii ni kitu gani wakuu?

    Habari wana jamvi, Takribani wiki mbili zilizopita nilikuwa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri; dhakari, maliwato na sehemu katikati ya mapaja na mbupu. Sikuota vipele isipokuwa tu sehemu ya kichwa cha dhakari ndio nilikuwa na vipele viwili tu ambavyo haviwashi wala kutoa uchafu. Nikajaribu...
  10. N

    Package ya kiongozi bora hapa tanzania ifanyiwe reforms. Awe anajua masuala ya kijamii,ngaz ya jamii yanavyotatuliwa.

    Wqkuu salama? Ni imani yangu tuko vizuri kwa namna yake. Wale wanaokutana na magumu kama ilivyo utofaut kat yetu, niwatie moyo! Nawaombea mpate salama, afua na siha iliyo njema mbeleni. Taifa linapitia mambo mengi sana yanayozua sitofahamu. Mfululizo wa maswali kulingana na matukio kadhaa...
  11. Gen Z, Kitu gani mnawashangaa Millennials?

    Kumekuwa na hali ya kila kizazi kukishangaa kizazi kingine, mfano Millennials wengi wanawashangaa namna Gen Z wanavyochukulia mambo, wanaona kama wanayachukulia kwa wepesi hata kama yanaonekana mazito na namna hawakubali kupelekeshwa ili akusikilize inabidi umpe sababu yenye mashiko haijilishi...
  12. Binti alinisema sana kuwa amenizidi maisha ingawa shuleni nilikuwa kinara leo ameuza kila kitu anapitisha daftari ya kuchangiwa, kila siku meseji

    Maisha ni muvi. Mtaa niliokuwa nimepanga classmate ndio amekuwa amejenga nyumba. Siku wahi kujua alipata wapi pesa za maana hivi ila nachojua ni mrembo sana na ana makebo makubwa. Kipindi napalangana kuielea familia yeye alikuwa anaielea bmw yake alafu gari anaipaki lilipokuwa dirisha la...
  13. M

    Kitu gani kilifanya uache kuhangaika na urembo na vipodozi?

    Zamani nilikua nahangaika sana na vipodozi, mie kutwa napambana na urembo yaani nikisikia hiki ninacho kile natafuta ili tu nisipitwe na fasheni ya urembo mjini. Siku moja nikaambiwa mafuta fulani yanafanya ngozi iwe na mnga'ao wa kuvutia sana nikayatafuta nikayatumia kilichonikuta yale mafuta...
  14. M

    Ukiwa na kiu kitu cha kwanza kujua: Sio kila anayekupa maji unywe, mengine kataa au yamwage

    Kiu ya Maisha Kila mmoja wetu hupitia wakati wa kiu. Kiu ya pesa, kiu ya kazi, kiu ya mapenzi, kiu ya mafanikio. Kiu inatufanya tuwe wanyonge, wenye pupa, na wakati mwingine tupofuke. Ndipo wengi hutunuku "maji". Maji yenye Sumu Lakini si kila anayekupa maji anakutakia mema. Kuna maji ya bure...
  15. Na hiki ndicho AI huweza kukifanya pindi unapoiacha ifanye kila kitu yenyewe

    Angalia hiyo code hapo imeandikwa na Claude AI, ni code ambayo ukiipitia mstari hadi mstari haina shida yoyote na hata ukiirun itafanya kazi vizuri kwa maana lengo la hiyo method litakua linatimia bila shida ambalo ni kutengeneza parent ambae ni user. Shida kubwa itaanza kujitokeza taratibu...
  16. U

    Upinzani sio kukosoa kila kitu

    Kuna haja ya kufundishwa siasa za kistaarabu za kisomi
  17. Hata yule Mfungwa wa Kike kumbe naye ni ASKARI !! Haya Majama yanayomzunguka Samia ni Majinga ,yanafanana Kila kitu

  18. C

    Kuna kitu kimoja kinanisumbua nahitaji ushauri

    Nina uwezo wa kupenda wanawake wengi sana hata 500 kwa pamoja, na nikishampenda mwanamke yeyote, hakuna kitachofanya niache kumpenda. Hii inaonekana nzuri lakini inaniletea tatizo moja, hata wanawake niliowahi kuwapenda nikiwa na miaka 9, licha ya kuootezana kwa muda mrefu bado nawapenda Hata...
  19. S

    DOKEZO Kwanini Tanzania imekuwa kama dump la bidhaa feki, almost kila kitu sasa hivi ni feki?

    Hali inatisha jamani sijui kam taifa tunaelekea wapi kila kitu ni feki kila kitu. Ukienda kununua dawa kwenye haya mapharmacy dawa nyingi ni feki hasa tunaopenda dawa za bei rahisi ila ubaya unauziwa feki kwa bei ya OG kama unajipenda nenda kwenye hospitali ghali alteast kuna dawa kule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…