kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanaowakataa watoto damu zao waliowazaa nje/kabla ya ndoa kuna kitu wanakijua ambacho sisi hatukijui

    Wanaume wanao wakataa watoto damu zao walio wazaa kabla ya ndoa au nje ya ndoa Kuna kitu wanakijua ambacho sisi viherehere tunao wakubali Na kuwalea watoto wa nje/kabla ya ndoa hatukijui. Please fungukeni wakuu ni kitu Gani hicho mnacho kijua ambacho sisi wengine hatukijui
  2. Mkuu wa nchi lazima awe mkali na aogopwe. Asipoogopwa kila kitu kitakwenda mrama. Hata hayati Julius Nyerere aliogopwa na alikuwa mkali

    Mkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania. Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza? Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu...
  3. Wafanyabiashara fursa ya kupandisha vitu bei wameitumia vizuri. Naona wako fasta sana, kila kitu kimepanda

    Wafanyabiashara wetu kweli hamna huruma maana vitu vimepanda na mnashindana kupandisha bei kweli. Hata kama mafuta yamepanda ila mbona nauli za magari azijapanda? Na pia kuna bidhaa tu za humu ndani ambazo hata hazitoki nje nazo mmeoandisha maradufu. Ila sawa tu, tutaishi tu amtukomoi
  4. T

    Ikitokea Rais Samia akasema 2025 anapumzika, kitu kizito kitatua kwa baadhi ya watu

    2025 ni mbali sana kuona kwa undani yatakayotokea lakini kwenye siasa ni muda mfupi sana. Katika timu ya ushindi ya Chama fulani ameingia straika hatari sana wa kufunga mbali na karibu. Mchezo unaanza kunoga kweli kweli. Ebu tutoke nje ya box kwa kumtazama mama panapo 2025 akaamua apumzike...
  5. RPC aliyetamani cheo cha IGP huenda kuna kitu kakiona kuwa hakipo sawa

    Wadau wametoa maoni yao juu ya kauli ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera (RPC), Wankyo Nyigesa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumteuwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania haliyakuwa (IGP) Simon Sirro bado anaihudumia nafasi hiyo. Baadhi wamesema siyo jambo baya kwa mtu kutamani cheo fulani...
  6. Kwanini wananchi hawana imani na awamu ya 6, kila kitu wanahisi wanapigwa?

    Kila nikijaribu kupitia maoni ya wananchi katika mitandao ya kijamii ni dhahiri wananchi wengi wanaonekana kukosa imani na serikali ya awamu ya sita. Ukiwasoma kwenye mitandao utaona wamekaa kimashaka-mashaka tu hivi. Kila serikali ikisema hivi kuhusu matumizi ya fedha na miradi basi wao...
  7. M

    Dstv kumbe hamna kitu, ni hovyo.Hongera Azam.

    Kwa gharama za vifurushi vyao kuacha kuonesha mechi kali kama za leo(kutoka Afrika) za kufuzu world cup ni kutothamini wateja. Congo vs Morroco Cameroon vs Algeria Ghana vs Nigeria Mechi kama hizi hamuoneshi mnabaki kuonesha mi mbio ya baiskeli, jirekebisheni.
  8. Ushauri: Ni heri ununue kitu cha gharama ndogo sawa na pesa yako kuliko kununua kitu mikononi mwa mtu. Unaualika umaskini ukutawale zaidi

    Habari! Nimejisikia kutoa ushauri katika jambo hili la kiuchumi. Kutokana na hali za maisha watu hujikuta wakinunua vitu vilivyotumika almaarufu used. Vitu kama sofa, simu, computer, baiskeli, gari, pikipiki n.k ili tu waendane na wakati au waendane na marafiki zao. Kwa kufanya hivyo hutatui...
  9. Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

    Habari wana jamvi. Kijana wenu nikiwa na umri wangu wa miaka 33 kamili, nimedhamiria kwa hiyari yangu mwenyewe, bila kushurutishwa wala kushawishiwa na mtu yeyote; kuacha kula kabisa vyakula vyenge wanga. Vyakula vyenye wanga kwa wingi ni kama mahindi, mpunga, mihogo, viazi, magimbi, ngano...
  10. Je, ni muhimu kusimuliana kila kitu na mwenzio mnapokua katika uhusiano?

    Kitambo nilipenda kusimulia kila kitu kwa mtu niliye mpenda kama sehemu ya kunogesha story na mahusiano lakini nimeona hio hali ni mbaya mno maana inaweza anzisha dharau ulizozipanda wewe mwenyewe. Unaweza sikia siku akipandwa mapepo ndo maana ulikuwa mpiga chabo janamume Zima hovyooo😂 Au ndo...
  11. Ni kitu gani ulitarajia kabla hujaanza mahusiano?

    Wakati niko shule niliwaona watu (couples) wakiwa na furaha nyakati zote, kusaidiana nyakati zote. Nikajipa matumaini na kusema mapenzi matamu Nami nitainjoy soon. Mda ukafika kila niliyokuwa naye sikuwahi pata Yale niliotarajia nikiwa shule. Nilijua kwenye mapenzi kuna. •Utulivu •Furaha...
  12. M

    Kitu gani cha thamani uliwahi kusahau au kudondosha na ukakipata au ukakikosa?

    Habari waungwa sana wa JF Leo nimeona nami nijaribu kushea tukio moja ambalo kila nikikumbuka nabaki kusema ni mungu tu. Siku hiyo asubuhi naelekea stendi kupanda gari ya kuelekea Dar es salaam. Siku moja kabla ya safari nilitanguliza mizigo miwili ya kukaa kwenye buti. Sasa asubuhi nilibeba...
  13. N

    Sio Mchechu tu hata uteuzi wa Peter Ulanga hamna kitu kabisa

    Huyu alikuwa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote. Ameutumikia Mfuko kwa takribani miaka kumi lakini baada ya kuondoka tu yeye ndiyo Mfuko ukaanza kujulikana. Yule dada aliyempokea nafasi Justina Mashiba angalau anaonekana kufanya kazi - kwa muda mfupi anaufanya Mfuko uonekane. Juzi...
  14. Hiki ndiyo kitu bora kabisa unachopaswa kufanya wakati huu wa vita ya Urusi na Ukraine

    Rafiki yangu mpendwa, Chombo kikubwa cha habari nchini China (Horizon News), kilichapa kwa makosa maelekezo yaliyokuwa yametolewa kwa wahariri wake. Pamoja na mengine mengi, maelekezo hayo yaliwataka wahariri kuhakikisha hawachapishi habari yoyote inayoichafua Urusi au kusiria upande wa...
  15. Nahitaji Mbolea ya Kuku pure isiyochanganywa na kitu chochote

    Waungwana Habari!! Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate Mbili, bei ni kiasi gani kwa gunia? Ni lini naweza kuanza kuifuata hiyo mbolea Nakutakia Jumapili...
  16. Nahitaji Mbolea ya Kuku pure isiyochanganywa na kitu chochote

    Waungwana Habari!! Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate Mbili, bei ni kiasi gani kwa gunia? Ni lini naweza kuanza kuifuata hiyo mbolea Nakutakia Jumapili...
  17. Taarifa za uongo ni silaha kubwa ya Mzungu tangu enzi

    WENGI wetu hata humu jukwaani wanameza kirahisi sana taarifa za habari za uongo na elimu za uongo, espesheli, historia. Ili mradi zimeletwa na mzungu... afu Cha kusikitisha, ndo wanakuwa wabishi wakubwa. Historia za uongo wa mzungu tunazijua sana sana, ila sielewi kwa nini kila kukicha akatoa...
  18. Jifunze kitu hapa👇👇

    Vijana wengi tunaona maisha magumu sana sio kwamba hatujitumi, hapana. Ila shida ni kutaka kujilinganisha na mafanikio ya watu waliokizi umri wa utafutaji, ingawa pia wapo tunajilinganisha na rika letu, hata hivyo tunasahau historia au hali ya uchumi wa familia zao Ninachoamini kipi? Kwangu...
  19. Rais Samia punguza upendeleo kila kitu kiwe Zanzibar

    Jambo hilo alipigiwa kelele sana Hayati Magufuli ajabu Samia naye amekuwa na aina ileile ya ufujaji mali za umma kwa safari zisizo na maana yeyote za huko kwao Zanzibar. Ki hafla kidogo tu tunaendelea kushuhudia hudhurio lake huko! Tunakoelekea huenda Samia atatumia ndege yetu kubwa kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…