kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Kipimo sahihi kwamba unapendwa na mpenzi wako au hupendwi ni pale unapokua huna kitu

    Hiki ni kipimo sahihi cha kujua kama mpenzi wako anakupenda kweli au anapenda tu pesa zako na hapa naongelea zaidi kwasisi wanaume. Unakuta mtu ana mpenzi wake wa kike na anajinadi kwa watu kwamba mimi mwanamke wangu ananipenda, umetumia kigezo gani kujiaminisha hayo unayotamka ? Umeingia...
  2. Kila kitu ni UONGO

    1. Maisha ya Duniani ni Uongo 2. Unachowaza ni Uongo 3.Umaskini ni Uongo 4.Utajiri ni uongo 5.Furaha niuongo 6.Huzuni ni uongo 7.Tarehe na siku ni Uongo 8.Usiku na mchana ni Uongo 9.Watakao zaliwa kesho watakutana na huu uongo...hadi pale wakifa 10.Kisicho hai ndo kinaishi duniani muda mrefu...
  3. J

    Video: Maajabu ya Uumbwaji Ulimwengu. Binadamu si kitu, Isa 40:28 "Akili zake hazichunguziki"

    From smallest atom to multiverse
  4. Birthday yangu inakaribia, sina amani wala furaha, na sifurahii kitu

    Sina mke licha ya kwamba nina watoto wawili kwa mama wawili. Nina madeni kila idara, biashara haziendi kabisa na sikopesheki tena. Nadaiwa NMB, NBC na Benki ya Maendeleo Bank Bank ya kanisa. Nina msongo mkali sana wa mawazo maana mpaka sasa malI zangu zimepotea kwa kuziweka kama collateral...
  5. D

    Ni kitu gani ambacho watu wengi hawakijui?

    (1) Kujifanya uko busy na simu yako ndiyo njia rahisi kwa watu wengi kuepuka hali au mtu mbaya (2) Huko Italia, sio kosa kuiba chakula ikiwa una njaa. (3) Kulingana na uchunguzi wa zaidi ya ndoa 3000, kadiri unavyotumia pesa nyingi kwenye pete ya uchumba, ndivyo uwezekano wa kuachwa...
  6. Kitu gani ulichonacho kilichokuhuzunisha zaidi maishani mwako?

    " KITU GANI ULICHOKIONA MAISHANI MWAKO KILICHOKUHUZUNISHA ZAIDI ?!" Peace be with you all, Maisha yana mengi ya kufurahisha, kushangaza, kuchekesha lakini pia kuhuzunisha. Leo niwashirikishe jambo lililonihuzunisha zaidi maishani, pia wewe tuambie nini kilikuhuzunisha zaidi. Mwaka 2009...
  7. Kwa wale mliwahi kucheat, hivi kuna fedheha kushinda hii?

    Kwa mwanamke Unamsaliti mumeo unaenda kwa mchepuko, hapo kichwani unawaza kwamba leo naenda kupewa show ya kukata na shoka. Kufika kwenye mechi jamaa mchepuko anapiga tako tatu, halafu anamwaga wazungu nje haooo. mapaja yote yamelowa mbegu... halafu anakuambia 'thank you baby kwa kuja' kwamba...
  8. Kwenye mfumo dume hakuna kitu kinaitwa Ushoga

    KWENYE MFUMO DUME HAKUNA KITU INAITWA USHOGA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Nimeona andiko la Kaka Mshana Jr akionesha masikitiko yake kuhusu janga la ushoga ambalo kwa kiasi linaongezeka hapa nchini. Nikaona nami niseme KITU. Familia, koo, makabila na mataifa yanayoendekeza mfumo dume...
  9. Kama masihara tangu msiba wa kitaifa 17-03-2021 wanawake wamepindua meza kwa kila kitu

    Hello mambo aje JF! Kama masihara ila ukiangalia kwa darubini kali kuna kitu kimejificha tangu tupigwe tukio la msiba wa kitaifa 17-03-2021 kuna namna wanawake wamepoteza Ile nafasi yao na heshima kwa wanaume na imekuwa kama masihara hata wao hawaamini kama meza imenduka na wana hali fulani ya...
  10. M

    Kitu kiko Jikoni tayari kinapakuliwa wakati wowote hivyo tuwapigie Simu Waganga wetu wa Kienyeji watuokoe ili tusinyolewe mazima

    Huenda kuna Mtu ama Watanzania tukaenda nae pamoja Kuhamia nchini Burundi na Basi la Esther au tukajikita zaidi na Kilimo cha Mafuta ya Alizeti au Kufuga Kuku Mkoani Singida.
  11. Ni kitu gani ulijifunza utotoni baadaye ukagundua ulipotoshwa na wazazi/walezi?

    Ebu shea na sisi pengine wale wanaorithi kila kitu toka kwa wazazi watakiepuka kwenye malezi ya watoto zao. Mimi nilikuwa nakatazwa sana kucheza kwenye majumba ya majirani. Wazazi wangu muda wote walitaka wanione nyumbani tena nikiwa mtulivu. Niliamini kutembea kwenye nyumba za jirani ni...
  12. Wanyakyusa mnaongea sana mnasalimia sana na mnajua Kila kitu! Sio fresh sio Poa!!

    Wanyakyusa aisee hebu rekebisheni hili ndugu zangu mnasalimia salimia Sana mnaongea sana Hadi mnakera na mnajua Kila kitu Yani ujuaji mwingi hii sio fresh sio Poa badilikeni bana!! Mods msifute huu uzi Mimi nilioa Kwa wanyakyusa ila nilimuacha dada Yao nikaoa mpare mwenzangu!
  13. Kitu kisicho cha kawaida chapatikana katika pwani ya bahari ya Japan

    Kugunduliwa kwa chuma kikubwa cha mviringo kinachofanana na mpira wa miguu katika mji wa pwani ya Japan wa Hamamatsu, takriban kilomita 200 kusini magharibi mwa Tokyo, kumezua wimbi kubwa la uvumi. Mamlaka za mitaa, polisi na kikosi cha mabomu walitumwa kwenye ufukwe wa Enshuhama kuchunguza...
  14. M

    Je, ulitumia mbinu gani kuingia kinyemela shuleni na kitu kisichotakiwa?

    Kuna dogo anasoma shule zenu za kishua ila zenye mitambo ya kukagua na ina walimu wanoko ila kaingia (kazama) getini na bangi na simu bila kugunduliwa na najua muda huu wa saa 4 kuelekea saa 5 ndiyo huwa mida yake ya kuvuta na kutupigia simu sisi washkaji na kaka zake wa mtaani tupige story...
  15. Tunawashukuru watu ambao mmeoa maana hata sisi tunafaidika mabachela tusio na kitu

    Endeleeni kuoa vijana , wake za watu sio wachoyo kabisa ngumu akubanie alichopewa bure labana awalinde pia endeleeni kuhudumia vizuri na sisi tule minofu .
  16. K

    VIDEO: Nyerere alishashauri elimu sio kitu cha kujigambia hata kidogo

    Alisema ni sawa na kujigamba una Afya. Maendeleo ndiyo kitu cha kujigambia
  17. Ni imani gani potofu uliiamini kwa muda mrefu halafu ukaja kujua si kweli?

    Dhana potofu ni imani zinazojengeka kwenye jamii ambazo si za kweli. Dhana hizi hurithishwa kwa vizazi na watoto hufahamishwa tangu wakiwa na umri mdogo. Mfano wa dhana potofu ni ugonjwa wa mabusha "Hydrocele" kusababishwa na unywaji wa maji ya madafu. Je, imani ipi potofu unaijua kwenye jamii...
  18. Chukua Dk chache usome huu ujumbe, naamini utajifunza kitu

    ✍ Chukua Dk chache usome huu ujumbe, naamini utajifunza kitu iko siku utasema Naam.. asante Mungu. 👇 Matatizo ya wanawake yanaonekana hadharani, ila sio wao tu hata ya wanaume yanaonekana sema tu kwasababu sisi wanaume tunayamaliza kiume. Ila wanawake mpaka misuto. 👇 Usitangaze mipango yako-...
  19. E

    Kitu kidogo tu, Mke analipuka zaidi ya Bomu!

    Nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Sasa unaweza ukawa unauliza kitu simple tu kwa wife (mfano ikiwa kakuandalia nguo za safari, Kama ameweza kwenda kufuatilia ulichomuagiza asubuhi). Aisee yatamtoka maneno Hadi unajuta kuuliza hata Kwa nini ulioa. NB: vijana chukueni tahadhari msije kukumbatia...
  20. Kwa mwendo huu kama Serikali ya CCM ikifika mpaka 2,500 tutegemee kila kitu kitakuwa na majina ya watawala na viongozi

    Kinacho wagombanisha viongozi wa CCM ndani ya serikali kila mtu kutaka jina lake liwe kwenye miradi ili kuonekana bora. Sishanagi mwengine njia ya kwenda Singida kajiandika kwenye mawe labda sababu mda wa kupata jina la mradi ujafika. Kupeana majina kwenye miradi leo ndio chanzo cha kuonekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…