kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Kila kitu kina mwanzo: Njoo hapa tupeane mawazo ya biashara ambazo bado hazijafika Tanzania tuziwahi fursa.

    Hizi tuziite ni biashara bikra huwa ni sawa na kuwa mwanaume wa kwanza. Ni biashara nyingi sana hazikuwepo Tanzania bali ziliingia kwa kucopy na ku paste biashara zinazofanywa nchi zingine. Uzuri wa kuanzisha biashara mpya unapata jina haraka sana (Monopoly) na uta enjoy super abnormal Profits...
  2. Nataka kuwa Vegetarian. Wenye uzoefu na hii kitu naombeni ushauri na maoni

    Nimepanga kuwa vegetarian kutokana na sababu za kiafya na nataka kuona kama nina nidhamu ya kuweza kuwa vegetarian. Naombeni maoni, elimu, ushauri na uzoefu wenu kwenye eneo hili maana sijui chochote kulihusu. Vyakula mbadala, misosi ya kivegan, kanuni za uvegan nk nk. Natanguliza shukrani.
  3. Wanajeshi wa Israel waanza kuingia kwenye mahandaki ya HAMAS, wafagia kila kitu

    Kuna sehemu nilisoma wanatumia aina fulani ya gesi kwenye hayo mahandaki inayofagia kila kiumbe na kuwawahisha kwa mabikira.... GAZA/JERUSALEM, Oct 31 (Reuters) - Israel said its forces attacked Hamas gunmen inside the militants' vast tunnel network beneath the Palestinian enclave of Gaza after...
  4. B

    Hakuna kitu kizuri kwa mwanaume kama kuwa na uhuru wa kihisia linapokuja suala la mapenzi

    Ninaposema uhuru wa kihisia namaanisha ewe mwanaume popote ulipo, iwe kazini, chuoni, mtaani hakikisha hawachukulii serious wanawake, yani moyo wako uwe kama jiwe, mtu asipoliondoa litabakia hapo milele, namaanisha uwe na mindset kuwa mdada yoyote nikimtongoza akinikubali sawa, asiponikubali...
  5. Video: Kutoa nafasi ya mapumziko (ceasefire) ni kuwapa zawadi Hamas. Mapumziko hayatakiwi mpaka zoezi likamilike

    Mama Hillary Clinton nae anasisitiza muda huu hakuna mambo ya cease fire, hii imezoeleka kuwa zawadi kwa Hamas kujipanga upya, Kwa sasa walichokianzisha ni mpaka kimalizike.
  6. B

    WanaCCM mbona kila kitu tunamwachia Makonda ataweza?

    Kama alishindwa miaka ile nini atakachoweza sasa hivi? Ule ujio wa Undertaker Kamanda RC wa zamani DSM Paul Makonda mapkezi yake ya leo ni warning sign. Yalikuwa Kiduchu sana hayaendani na promo. Kama anaweza kujipima basi ni leo. Waswahili husema Nyota njema huonekana asubuhi. Wanaccm...
  7. Kuwa na mzazi wa namna hii ni zaidi ya kero

    KUWA NA MZAZI WA NAMNA HII NI ZAIDI YA KERO. "NIMEKUBALI LAANA YA BABA" Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna kijana mmoja tumekuwa tuliwasiliana Kwa takribani mwezi sasa. Amekuwa akiniomba msaada wa ushauri wa namna ya kukabiliana na yale yanayomkabili ambayo kwake anayaona kama ni matatizo...
  8. O

    Kesi ya mjane wa Bilionea Msuya ngoma nzito

    Mjane wa Bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita (45) ameieleza Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, jinsi alivyoshiriki katika mgao wa mali za mume wake kwenda kwa ndugu wa Erasto Msuya. Amedai mgawanyo wa mali za marehemu mume wake, Erasto Msuya ulifanyika Februari 2014, ambapo baba na mama wa...
  9. Kitu gani kinafanya watu wa Asia Mashariki (Wachina, Wajapan, Wakorea) kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyingine zote duniani?

    Hivi ni kitu gani ambacho kinacho pelekea hawa watu kutoka mashariki mwa Asia wachina, wajapan, wakorea kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyengine zote duniani ? Hii ni kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, hivyo nilikuwa nauliza ni kitu gani kinacho pelekea hawa watu kutuzidi sisi wengine wote.
  10. I

    Kuwa wapenzi wa muda mrefu na hadi kufunga ndoa ni kitu kinavutia sana

    Nakumbuka mwaka jana nilihudhuria harusi ya rafiki wangu (wa kike),asee was very impressed kwa kweli. Si unajua pale tena harusi za siku hizi wale maharusi wanachukua time ya kuelezea familia zao na kujuana ndugu wa pande zote. Basi kwenye maelezo yule jamaa akasema alikutana na huyu manzi...
  11. Mungu anatuchukia Watanzania? Kama kuna kitu tulimkosea atusamehe

    Kuna mambo huwa yanatokea humu nchini kwetu mpaka nasema kuna siku hii nchi Mungu ataifanya kama Sodoma na Gomora. Tulimkosea nini Mungu? Atudamehe, inatosha sana. Au ni Nyerere kugombana na Waisrael au ni nini? Au ni ule mwenge wa uhuru. Zile takwimu za nchi ambazo hazina furaha Tanzania kila...
  12. Nimejifunza kitu ukimya ni hekima na silaha ya kumjibu mjinga

    Haya hapa mambo 10 yaliyozingatiwa mkataba wa bandari Dar Mama nilishakuambiaga piga kazi usisikilize kelele za makondakta wanakulazimisha gari la kupanda wakati umekata ticket na basi lako unalijua. Au Kelele za chura zisikutishe wewe kunywa maji mungu akujalie hekima zaidi ya ulizonazo.Watu...
  13. Kushindwa hakuumizi sana, lakini kushindwa kunakotokana na usaliti inauma kuliko kitu chochote

    Kwema Wakuu! Katika vita vya kisiasa kuna kushinda na kushindwa. Kushindwa ni sehemu ya ushindi ikiwa mlipigana kwa umoja na ushirikiano kwa pamoja kama jeshi imara. Lakini kushindwa kunakotokana na usaliti sio tuu inaumiza bali pia inaua nafsi na roho. Fikiria mtu uliyekuwa unamuamini na...
  14. Dini ni moja ya kitu cha "KIPUUZI" kupata kuletwa

    Kati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani. Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani. Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki. Dini ni kitu kinacho fanya mwenye...
  15. Uchawi kitu kibaya sana, wachawi wakishikilia maisha yako hutoboi ng'o

    Kazi unafanya lakini hutoboi Kusoma umesoma lakini huajiriwi Kuajiriwa umeajiriwa lakini hali yako ni kama jobless. Biashara unafanya miaka nenda rudi lakini hustawi. Wachawi watu wabaya sana.
  16. Hizi takwimu zinaonyesha kuwa Dar ndiyo kila kitu nchi hii

    Kwa tunaotangazaga biashara mitandaoni tutakuwa tumeshuhudia hili. Zaidi ya asilimia themanini ya wateja wa mitandaoni wanatoka Dar. Hii inaonyesha ni jinsi gani Dar ilivyoiacha mmbali mikoa mingine yote. Hizi hapa ni takwimu za matangazo ya biashara instagram.
  17. Pamoja na huo utu uzima wako, ni kitu gani bado unakiogopa

    Ni kitu gani unakiogopa tangu utotoni umeshindwa kuacha kukiogopa Najua kuna wengine mpaka wanafaika 30 bado wanaogopa sindano (manesi wana siri nyingi), siwezi kuwacheka maana tunatofautiana tu vitu vya kuogopa. Binafsi huyu mdudu wa kuitwa nyigu akiingia chumba nilichomo huwa nakosa amani...
  18. Madogo mnatudharua Mabroo zenu kisa tumeshindwa karibu Kila kitu

    Mpo Pouwa. Haya bhana! Yote Kheri. Mungu ndio anajua. Dharau mlizonionyeshea hakika kama kungekuwa na uchawi ningewaloga wote Mbuzi nyie, watoto niliowaona mkizaliwa, tukawakuza wenyewe, leo ninyi ndio wakuturushia mavi usoni? Kweli! kweli? Kisa mmeshaanza kuzivua Sketi za Wadada sio? Au nini...
  19. D

    Kuelekea 2025: Kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri

    Wadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri. Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
  20. Kila nikiona kitu cha hatari natamani kujitupia nife

    Hii hali maranyingi hunitokea nikiwa navuka bara bara nikaona gari linakuja kwa kasi kuna sauti inanijia nijitupe humo linipitie. Kuna wakati inanibidi nirudi nyuma kabisa ili kuishinda hii sauti inayo niamuru kufanya hivo. Au shimo refu au nikiwa juu daraja au kitu chochote bacho ni hatari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…